soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kozi ipi ya Art ina soko kwa level ya diploma?

    Wakubwa samahani, Mimi nimemaliza form four mwaka 2023 na nimepata division 2 point 20 nataka kwenda chuoni moja kwa moja. So Nilikuwa naomba mnijuze kozi za art ambazo soko lake la ajira sio gumu.
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

    Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy. Basi nikapewa list ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Anaupiga Mwingi: Wakulima wa Tanzania sasa ruksa kushindana kwenye Soko la Kenya kwa Fair competition!

    Bajeti ya Serikali ya Kenya 2024/25 imeruhusu mazao ya Kilimo kutoka Tanzania kupata Ushindani wa Haki kwenye Soko la Kenya Kwa awamu zilizopita pamekuwepo na ugumu kwa wakulima wa Tanzania kuuza mazao yao Kenya Mungu wa mbinguni awabariki Rais Samia na Rais Ruto Kamwene 😃😃
  4. JamiiForums Tanzania Fahamu Mbinu za Kupenya ktk Soko lenye Ushindani

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na shughuli za ujenzi wa Taifa. Kwanza kabisa nianza kwa kuanza kuwapongeza wote ambao mnapambania Biasha zenu.Mungu awasimamie na kuwapa Ushindi. Leo naleta mjadala unahusu eneo nyeti sana katika biashara.Eneo hili linahusu...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama online courses serikali ya Tanzania inazi acknowledge kwenye soko la AJIRA

    Naomba kwa mtu anayejua kama hizi course zinatambulika au laa linapokuja swala la kutafuta AJIRA bongo maana nimeona course Fulani zinatolewa na GOOGLE, MICROSOFT,COUSERA,IBM,UDEMY N.K ziko vizuri na certification wanatoa Je, nikipiga hii course na Cheti nikapata nitatambulika kwenye soko la...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za China kuwa na soko kubwa barani Afrika ni jibu zuri dhidi ya madai kwamba eti "Uzalishaji kupita kiasi"

    Kujibu kile kinachojulikana kama "uzalishaji kupita kiasi wa China" ambacho kimechochewa hivi karibuni na baadhi ya nchi za Magharibi, Bw. Ayodeji Dawodu, ambaye anafanya kazi na kushughulikia mambo ya Afrika katika benki ya uwekezaji ya BancTrust yenye makao yake makuu mjini London alisema...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Soko la Alozera

    Wapendwa poleni sana na majukumu ya kikazi. Mimi ni Mjasiriamali ambaye nimejikita haswa kwenye Biashara ya Mazao. Kwa sasa natafuta Soko la Alozera, kama unahitaji takuuzia kwa Tsh. 5000 bei ya jumla, asanteni.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili elimu ya Tanzania iende na mahitaji ya soko la Ajira?

    Habari wakuu, nina marafiki wengi walio hitimu chuo mwaka jana lakini mpaka sasa wanahangaika sana na suala la ajira. Nimekuja kugundua kwamba elimu ya Tanznaia haizingatii mahitaji ya soko la ajira kwa sasa na bado tunatumia elimu ya wakolonia aisee. mimi ningeshauri hatua zifuatazo zifanyike...
  9. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo soko la mabibo inasikitisha sana serikali fanyeni jambo hapa

    hii hali sio nzuri na haipendezi kabisa hapo mabibo ni mjini kabisa ila mvua kidogo tu hali uwa kama hivi hapo tunahatarisha maisha ya watu wengi sana maana hilo soko linategemewa karibu na dar zima..
  10. JamiiForums Tanzania Serikali Kuwasaidia Wajasiriamali Kuzalisha Bidhaa Bora Ili Kupata Soko la Uhakika

    Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Mhe. Kigahe amabainisha hayo Aprili 16,2024 katika Ukumbi wa Bunge jijini Dodoma wakati akijibu swali la msingi la...
  11. JamiiForums Tanzania Kariakoo ni soko kubwa sana na litanufaisha watanzania kama serikari mambo kadhaa

    kariakoo hii Mpya ambayo inaweza kufunguliwa hivi karibuni, inaweza kuwa na Fursa nyingi kwa vijana na kwa watanzania kwa ujumla kama serikali itaacha mambo kadhaa yafuatayo 1. Kubana uhuru wa wafanya Biashara wadogo wadogo 2. Kupunguza tozo za biashara 3. Kutengeneza miundombinu itakayovutia...
  12. JamiiForums Tanzania Huu ndiyo muonekano wa soko jipya la Kariakoo

  13. JamiiForums Tanzania Sababu ya madini mengine kukosa soko na changamoto zake

    Kwa nini Tanzania madini mengine yanakosa soko hapa ndani ukilinganisha soko la dhahabu. Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuchangia aina fulani za madini kutokuwa na soko kubwa ndani ya Tanzania ikilinganishwa na dhahabu. Baadhi ya sababu hizo ni pamoja na: Ubora na Wingi wa Malighafi: Baadhi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini serikali haifanyi uchunguzi na kuchukua hatua dhidi ya mila hizi potofu?

    Yah habar ndio hio, wakati Dunia ikizidi kusonga mbele Kwa science na technology, tz 🇹🇿 Hali ni tofauti kabisa , Wao wanarudi zama za mawe (stone Age). Hii habari ime reportwa shinyanga mwaka 2023 July na BBC Swahili, Lakin hatukusikia tamko la serikali, la kufanya uchunguzi AU Hata kukemea...
  15. JamiiForums Tanzania Je kwa Tanzania kuna soko la city gani hasa toka nchi kama US?

    Nipo huku kwa Biden najaribu kuangalia fursa za kuleta nyumbani ila ni vizuri kujua demands za soko la nyumbani. Naomba maoni yenu juu ya bidhaa, biashara au huduma zinazoweza kuletwa Tanzania toka USA. Currently nafanya issue ya kupokea oda ya vitu mbali mbali toka kwa watu kisha kuwatumia...
  16. N

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya, mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi

    Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi. Hali Soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi inasikitisha hasa kipindi hiki ambacho mvua inaendelea kunyesha kwa mfululizo, karibia kila kona kwenye soko hilo ni tope tope, katika hali ya kushangaza...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata soko la Upupu (Velvet Beans), au Mucuna

    Habarini za muda huu naombeni mawazovyenu nimelima upupu au velvet beans naombeni msaada wa soko, black Velvet ipo ya kutosha zaidi ya tani kumi, nahitaji wanunuzi =========
  18. L

    JamiiForums Tanzania China inabadilisha ukiritimba wa soko la magari barani Afrika

    Chombo maarufu cha habari kuhusu nishati mpya Cleantechnica hivi karibuni kilisema “sekta ya magari ya umeme ya China inayoendelea kwa kasi inaleta athari kubwa kwa Afrika na kukuza mageuzi ya nishati ya kijani." Jijini Nairobi, Kenya, ukienda kwenye uwanja wa ndege, huenda unaweza kutumia...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Soko la Karume limejaa madalali ambao wamekuwa kero kwa wanunuzi

    Soko la Karume limejaa madalali wengi sana (Mawinga) hawa mabwana wamekua Kero sana kwani wanakuvutavuta kukuita na makwazo mengi sana. Ifahamike kile mteja aanajua bidhaa anayohitaji lakiji hawa wanakuvuta huku mara kule yaani wamekua kero sana. Wengi wao ni walevi na wavuta bangi. Pia...
  20. JamiiForums Tanzania Smart TV yenye DVB T2/S2 Ina Faida gani Kwa Soko la Tanzania ikiwa Channels zimezuiliwa kuonekana kwa kutumia builtin Decorder? Wizara Husika?

    Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi naambiwa hizo channel Sasa hazipatikani zimezuiliwa na Serikali. Hivi Sasa Kuna TV nyingi sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…