Ikicheza kwenye Uwanja wa ugenini, Manchester United imefungwa magoli 4-3 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Kundi A.
Magoli ya Bayern yamefungwa na Leroy Sane, Segre Gnabry, Harry Kane na Mathy Tel wakati United wafungaji ni Rasmus Hojlund na Casemiro (mawili)...