soka

Mchezo wa mpira wa miguu.
  1. Mgeni rasmi kwenye soka ni wa kazi gani, Mbona Ulaya hawapo?

    Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar. Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi. Swali langu ni hili, hivi kazi...
  2. Mashabiki wenzangu wa Soka, huyu mwamba ni nani?

    Jina lake kwa sasa ni kubwa kwenye Ulimwengu wa Soka na anatajwa takribani kila wiki, amecheza soka Hispania, Ufaransa, Scotland na England. Timu alizocheza Barcelona B Paris Saint-Germain Rangers Real Sociedad Everton Arsenal
  3. K

    Tujadili soka la tanzania kwa ajili ya kutoa kipaumbele kuibua vipaji

    WATANZANIA TUWE CHAWA WA KUIBUA VIPAJI VYA SOKA Soka letu,hususan ligi kuu,ni kama biashara ya machinga. Namaanisha kuchuuza bidhaa usizozalisha. Ligi kuu ambayo inatawaliwa na Simba na Yanga na kidogo Azam, wachezaji wa vilabu hivyo wanaoongoza ni raia wa kigeni. Wachezaji kutoka Tanzania...
  4. Kila mtu ni mchambuzi wa soka

    Sijui itakuwaje miaka ijayo maana hii leo kila mtanzania anajua high pressing, low block, back three na mengine yote. Ifikie wakati pundits watoshe tubaki mashabiki.
  5. Rais Samia awataka TFF wakarabati viwanja kwa kuwa wao ndio wanapokea mapato ya viwanja hivyo

    Anataka TFF wakarabati nyumba za mtu ili iweje? Alichozungumza Rais kwenye video hiyo ni kuwa mara kadhaa ameambiwa aukarabati uwanja wa Taifa. Hata hivyo alihoji kuwa viwanja hivyo huwa vinatumiwa na watu wanaoingia huwa wanalipa fedha, alihoji fedha hizo ziko wapi ili zikarabati uwanja...
  6. Wanasimba Mmeyakubali Maisha Bila Soka Biriani?

    Siku moja nikiwa naangalia Soka pale Gentlemen Sports Lounge (Sinza) huku najipongeza kidogo baada ya mihangaiko ya hapa na pale, nilimsikia jamaa mmoja meza ya pembeni akisema "Hii siyo Simba naijua mimi, Sisi hata tukifungwa ila tukiwa tumepiga soka safi "Sexy football au pira biriani basi...
  7. M

    Watanzania wengi leo wamefurahia Taifa Stars kufungwa na Morroco, sababu kubwa ni TFF kuruhusu siasa kwenye soka

    Kila vijiwe watu wanachekelea tu Ziech ziech. Huu upuuzi umefanya stars kuchukiwa.👇
  8. Haya ndio matukio 8 ambayo hayawezi sahaulika kwa wadau wa soka Tanzania na kote Duniani

    1. Ghana vs Uruguay World cup 2010 south africa, suarez alinawa mpira makusudi uliokuwa ukizama kambani . ikatengwa penati na Asamoah Gyan akaenda kukosa nakumbuka braza angu alilia sana coz ile gemu ingetusaidia wa africa kuingia nusu fainali. 2. Fabrice Muamba,alidondoka uwanjani gemu...
  9. J

    Refa mwingine tena atiwa hatiani na kamati ya Ligi kwa kuipendelea Yanga, afungiwa kuchezesha soka

    Huu ni mfululizo wa maamuzi yenye dosari ya kuipendelea Yanga unaofanywa na marefa katika ligi yetu, Kamati ya ligi naona umeamua kutokucheka na kima, ili kuokoa ligi yetu kumezwa na rushwa kutoka kwa wawekezaji wahuni wanaotumia njaa za marefa na wachezaji wa timu ndogo
  10. UEFA yaipongeza Tanzania Kukuza Soka la Wanawake

    Shirikisho la Mpira barani Ulaya (UEFA,) limeipongeza Tanzania kupitia Taasisi isiyo ya kiserikali ya Karibu Tanzania Organization (KTO,) kwa jitihada zinafanywa katika kukuza soka la wanawake na wasichana katika ngazi mbalimbali za Elimu kwa kuanzia ngazi ya Elimu Msingi. Hayo yameeelezwa na...
  11. Unadhani huyu ni Mchezaji gani ambaye amecheza soka kwenye Nchi 7

    unadhani huyu ni Mchezaji gani ambaye amecheza soka katika Klabu 12 ndani ya Nchi 7 ikiwemo katika Bara la Ulaya na Asia?
  12. MAP, utatu hatari unaosumbua Soka la Tanzania na utakaotawala Soka la Afrika

    MAP - Max, Aziz Ki na Pacome Huu ni utatu /Ramani ya hatari sana na kwa wale wenye macho ya ndani tunaona kabisa kwamba utatu huu utaendelea kufanya mambo makubwa mno pengine kuwahi kutokea Tanzania, Afrika Mashariki hata Afrika kiujumla. Uzi huu ubaki kama kumbukumbu.
  13. Kwanini Nyota wa Soka wa Amerika Kusini wanachukiana Ulaya?!

    Kwa wageni wa Soka na watoto waliouvamia mchezo huu kwa kusukumwa na shetani la kamari ndio wanaweza kushangazwa na umwamba wanao wekeana nyota wa klabu ya PSG Edinson Cavani raia wa Uruguay na Neymar jr raia wa Brazil. Lakini kwa wenyeji wa mchezo huu, ambao tulianza kuufuatilia mchezo wa...
  14. Pre Season 2024/2025 Simba inaweza kuileta klabu kubwa ya soka kutoka EPL

    Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba. Kwa namna Simba walivyo na mikakati naona moja ya mazungumzo/maombi ya Simba kwa Mhe. Balozi itakuwa...
  15. S

    Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

    Matokeo ya mechi za AFL ni ushahidi tosha kuwa Waarabu wanatawala sana soka la Afrika na kwa sasa ni timu za Yanga na Mamelodi pekee zinazoweza kuleta heshima ya mtu mweusi katika soka letu. NB: Enyimba (timu jina kama ilivyo Simba) anaecheza na Wydad Casablanca muda huu, ameshakula tatu mpaka...
  16. Sidhani kama simba wamefanya sahihi kwenye hili!!

    Zimepita siku kadhaa, Simba SC walitangaza Jezi ambazo watazitumia kwa ajiri ya Michezo ya AFRICAN Football League ambazo Zilitakiwa kuwa na Logo za Wadhamini wa Mashindano na Logo ya shindano lenyewe. Lakini Cha Kushangaza Katika Mchezo Wa marudiano hapo Jana Dhidi ya Al Alhly, Simba SC...
  17. Oscar Oscar uache kuwaita wachungaji ni matapeli! Chambua soka, achana na wachungaji kabisa

    Huyu ni Oscar Oscar wa wasafi media! Akishakaa kwenye mic za WCB! Anaona anaweza kukanyaga kitu chochote! Maandiko yanasema ONDOA kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utazame boriti kwenye jicho la mwenzako, Osca analalamika kwamba sadaka zimekuwa sehemu ya utapeli makanisani, kama ni hivyo...
  18. Al Ahyl kucheza na Simba na Yanga, atakayempiga home and away ndio Kidume wa Soka la Bongo

    Huyu ni Bingwa wa Soka la Afrika, hivyo kama ingekuwa masuala ya kisiasa tungesema huyu ndio Raia namba moja wa Afrika. Sasa hapa Bongo Al Ahyl atakuja mara mbili, ya kwanza kucheza na Simba, na ya pili kucheza dhidi ya Yanga. Al Ahyl kufungwa hapa Bongo siyo jambo geni, alishafungwa na Simba...
  19. Umewahi kutana na tukio lolote lilikouacha na mshangao mkubwa katika soka!!?

    FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi). ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo 🇵🇹 kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
  20. Kilimanjaro: Padri Soka aliyedaiwa kubaka Watoto ashinda kesi 3 za Ubakaji, sasa yupo huru rasmi

    Padri Sosthenes Soka (42) wa Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, sasa yuko huru, baada ya kupangua kesi zote tatu za ubakaji zilizokuwa zikimkabili mbele ya mahakimu watatu tofauti katika Mahakama ya Hakimu Mkazi na Wilaya ya Moshi. Hii ni baada ya kuachiwa huru leo Septemba 29, 2023 katika kesi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…