siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna siri Seif na Mbowe kuhusu kudai Katiba Mpya

    Kwa mawazo yangu ukitaka kuvunja muungano basi uwe na Serikali ya Tanganyika yenye madaraka ya ndani makubwa sawa na ile ya Zanzibar. Ukifanya hivyo utabakia na serikali ya muungano yenye kudhibiti Wizara chache hazizidi kumi. Serikali ya muungano itakuwa dhaifu tegemezi. Kama tanganyika...
  2. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Viapo vya Utii na Maadili mtumishi akitoa siri za Umma nini kitamtokea?

    Wakuu habari, Nimetafakari leo viapo vya utii na maadili kwa mfano ikatokea ukatoa siri za kambi nini kinatokea? Kwa mfano Bwana Paul Makonda akaamua kutumegea nini kipo huko akatoa siri za mabaya yote ya ofisi ya mkoa na aliyoamrishwa kufanya inakuwaje? Kuna Sheria inayombana au kumfunga kabisa?
  3. JamiiForums Tanzania Mpenzi ni yule ambaye mnaweza kufanya tendo la siri kisha mkatawanyika kwa furaha hata kama mmoja hajapewa fedha

    Kuna watu wajinga sana kwenye suala liitwalo mapenzi. Anamwita demu mpenzi huku K anaipata kwa kutoa fedha. Unaweza kutoa fedha lakini isiwe ndio mchezo kwamba usipotoa pesa demu hakuelewi. Mwanamke ambaye mnaweza kukutana kimapenzi kisha mkatawanyika bila mmoja kupewa pesa then akatoka...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA kuwa na nguvu baadhi ya miji michache tu Tanzania na kutokuwa na nguvu vijijini Tanzania ndio siri yao ya kushindwa uchaguzi ujao

    Miaka yote Chadema imekuwa ikijijenga kwenye miji michache mno Tanzania Ilichagua vimiji vichache tu kwa mikoa michache tu ya Tanzania na kujijenga na kuacha miji mingine ya mikoa. Ukienda baadhi ya mikoa wanakosema Wana nguvu unakuta mkoa una miji mfano minne wanachagua mji mmoja wanajijenga...
  5. JamiiForums Tanzania Rungu la TCRA lawashukia Wasafi Tv, Clouds FM, Carry Mastory, Radio one na RFA kwa kurusha maudhui yaliyo kinyume na Sheria

    TCRA imetoa onyo kali na kuziweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu Radio Free Africa na Radio One Stereo kwa kukiuka kanuni za utangazaji viliporusha kipindi cha Amka na BBC ambapo Tundu Lissu aliituhumu serikali kuwazuia viongozi wa Chadema kumuaga Hayati Rais Benjamin Mkapa. Wasafi Media...
  6. JamiiForums Tanzania Watengenezaji wa pombe walioipa jina linalomaanisha ''nywele za siri'' waomba msamaha Canada

    Watengenezaji wa pombe nchini Canada wamelazimika kuomba msamaha kwa kuipatia pombe jina ambalo katika jamii ya Maori kwa kawaida hutumiwa kutaja ''nywele za sehemu za siri''. Watengenezaji wa pombe wa kampuni ya Hell's Basement Brewery mjini Alberta walisema kuwa walitangaza kinywaji...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kikao Cha Siri Cha Membe na JPM

    Ni kweli?
  8. JamiiForums Tanzania Siri ya bandari ya Dar kuwa bora kuliko ya Mombasa

    Tuangalie upande mmoja wa gharama; Kutokana na ripoti ya 'Central corridor Transport observatory' wastani wa gharama ya usafirishaji mizigo ni $ 1.90 kwa km 1 kutoka Dsm hadi Kigali kulinganisha na $ 2.10 kwa km 1kutoka Mombasa hadi Kigali Gharama ya Dsm kwenda Bunjumbura ni $ 1.80 kwa km 1...
  9. JamiiForums Tanzania Siri saba (7) ambazo ni lazima umfahamishe mwenza wako

    Uaminifu ni msingi wa mapenzi, wako wanaodhani mapenzi yanaweza kushinda kila jaribu lakini ukweli ni kwamba bila uaminifu mapenzi hayana afya njema 1. Usimfiche mwenza wako hali yako ya kifedha. Kama una madeni, kipato kimepungua, unaweka pesa kwa aajili ya kitu fulani. Yawekeni wazi. 2...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Baba amuua binti kwa kipigo na kutaka kumzika kwa siri

    Maurice Owino Owaga Mkazi wa Muhoroni, Kisumu anashikiliwa na polisi kwa kosa la kumpiga binti yake wa miaka 15 na kumsababishia kifo. Mtu huyo alikamatwa akiwa anajiandaa kumzika kwa siri Baba huyo alimpiga binti yake kwa kosa la kulala kwa mwanaume bila kuwa na idhini yake. Kaimu Kamanda wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Utafiti unaonyesha baadhi ya majimbo kura za maoni za CCM hazikuwa za siri tena, waliotoa rushwa waliwatisha wapiga kura endapo wasingewachagua

    Baadhi ya wana CCM wamekipaka matope sana chama chetu sababu ya ubinafsi wao. Kilichotokea kwa baadhi ya majimbo husuani Sengerema ni aibu. Mabepari na watoa rushwa hasa jimbo la Sengerema waliwahonga wapiga kura kila kata. Masharti yalitolewa kwa makatibu kata na viongozi wengine wanapokwenda...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Siri 21 za mafanikio za mamilionea

    SIRI/KANUNI 21 ZA MAMILIONEA WALIOJITENGENEZA. (Tafsiri ya kitabu The 21 Success Secrets Of Self Made Millionaires- by Brian Tracy) ************ Utangulizi: Kanuni ya Kisababishi Na Matokeo Kile unachojaribu kujifunza katika kurasa hizi kinaweza kubadilisha maisha yako. Mawazo haya, ufahamu...
  13. JamiiForums Tanzania Tabora: Mwanamke afikishwa Mahakamani kwa kuwaingiza vidole sehemu za siri watoto wa majirani zake

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Irene James mwenye miaka 36 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Tabora kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono watoto saba (7) wa kike wenye umri kati ya miaka Minne (4) hadi Saba (7) ambao ni watoto wa majirani zake. Akisoma maelezo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Ujio wa Lissu na siri katika namba

    Kumekuwepo na nadharia (conspiracy theories) kuhusu namba kwenye Muda (Mwezi, Siku na Saa) kubeba siri nyingi za matukio mbalimbali yanayotokea dunia. Matukio yanaweza kuwa ni vifo nk. Je, ni kweli kuna siri katika namba au fikra zetu tu katika kujenga taswira kuhusu matukio? Lissu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wahandisi wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni ipi hasa?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Kwanini ENGINEERS wazuri sana duniani (Magari, Mitambo) wanapatikana nchini Ujerumani? Siri yao ni nini hasa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa viongozi wetu (hasa Marais na Wake zao) kutibiwa katika hospitali za 'Siri' na Watanzania 'kufichwa' pia ni sehemu ya tatizo

    Ni Hospitali ambazo naziheshimu sana japo najua ni za Watu fulani fulani kutokana na Umuhimu wao hapa nchini Tanzania. Sikatai kuwa Kifo huwa hakina aina ya Hospitali bali muda wa ' Israeli Mtoa Roho ' ukifika tu hata ukiwa Umelaza katika Hospitali yenye Hadhi duniani 'utaondoka' tu kwenda zako...
  17. JamiiForums Tanzania Ninaamini kuna kanuni za siri tena rahisi zinazoratibu mambo haya ya Ulimwengu hasa Teknolojia

    Baada ya salamu naomba kushare nanyi jambo hili ambalo nimekuwa nikilitafakari kwa siku nyingi sana. Kuhusu mambo ya kilimwengu hasa haya mambo ya sayansi na technolojia.tukiangalia namna tunavyopata picha katika tv kupitia ving'amuzi mbalimbali na sauti na watu tukawaona live pale kwenye...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kama David Silinde aliitumikia CCM kwa siri kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni inawezekana sasa anaitumikia CHADEMA akiwa CCM

    Maneno huumba. David Silinde kwa kutamka hadharani kwamba yeye ni "Chawa" kwa miaka 5 aliyokuwa Bungeni alikuwa akiitumikia CCM kwa siri amefungua mlango kwa maadui wa CCM kuweza kumtumia kwa sababu anaweza "kutumika" Binafsi sikutegemea kauli kama hii itoke kwa mwanasiasa kijana, hata hivyo...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kubwa huwa imejificha nyuma ya Walinzi 'Mabodigadi' wa Marais (Viongozi) ulimwenguni?

    1. Anaweza kusimama muda mrefu bila kuchoka wala kutikisika hata kama Inzi ametua Mdomoni au Jichoni. 2. Hasikii Haja Ndogo mara kwa mara kama tulivyo Sisi wengine ambao kila baada ya dakika 45 tunaenda Kukisalimia Choo. 3. Hata ikitokea akasikia (akapatwa) na Haja Kubwa awapo Kazini kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Siri yafichuka: Katibu Mkuu CCM Taifa, Dkt. Bashiru alitaka kujiuzulu baada ya kutoelewana na Mwenyekiti wa CCM

    Wanabodi salama? Kumbe yanayoendelea nyuma ya pazia ndani ya CCM ni makubwa na yanaogofya. Kumbe hata Dkt. Bashiru yalishamshinda kufanya kazi na Magufuli na alitaka kujiuzulu? Huu uchaguzi una mengi yaliyojificha nyuma ya pazia na ambayo yanaweza kuwashangaza watu matokeo yakitoka. Kama una...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…