sinza

Sinza is an administrative ward near the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 36,469.

View More On Wikipedia.org
  1. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kwanini frame za Sinza Kodi ipo juu Lakini sioni muingiliano wa watu madukani?

    Kuna dogo mmoja yupo Hapo sinza kwa remmy dukani kwake Kuna t-shirt kama 12 Lakini analipa Kodi laki 3 kwa mwezi, kiukweli mjini ingia na yanayokuhusu yasiyokuhusu achana nayo. Hapa frame ni laki saba kwa mwezi kwa mwaka ni million 8 na laki 4. Maeneo kama kariakoo unaweza shawishika kulipa...
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Sinza baadhi ya watu acheni kukaa uchi, yaani wake kwa waume

    Hellow Africa, Kuna mavazi ya kuvaa ukiwa kwenye hadhara ya watu na mengine sio mavazi rasmi kabisa ya kuvaa kwa watu. Sinza nowadays unakuta mwanaume kavaa boksa na kaoshi anazulula mtaani wala hana hofu yoyote ukipita uku unakutana na wadada nao wanavaa ivyo ivyo wengine taiti tu kitu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dar: Mitaro ya kupitisha maji Sinza hali mbaya

    Kwa kifupi, Dar es Salaam sehemu nyingi hali ya mazingira ni mbaya sana na hiyo inafanya ugonjwa wa Kipindupindu kuendelea kututesa. Tazama hapo ni Sinza, Barabara ya Mori, mitaro ina uchafu hadi inatia kinyaa. Sijui wahusika kama wanalifahamu hili.
  4. aka2030

    JamiiForums Tanzania NMB Sinza Mori mna huduma mbovu sana

    Hili tawi nimekuwa nalitumia kutokana na urahisi wa shughuli zangu ila kwa kweli lina huduma mbovu Kuna madirisha ya teller zaidi ya 6 ila kila siku unakuta yupo mmoja wakizidi wawili wakati Upande wa customer care unakuta wamejaa wakutosha Huduma za tawi hili kama za wakala tu
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makusanyo Soko la Sinza Makaburini yanaenda wapi? Hakuna vyoo wala sehemu za kutupa taka

    Nimeona taarifa hii kuhusu Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini Jijini Dar es Salaam kulalamika kuwa juu ya ubovu wa miundombinu ya soko hilo, ikiwemo uchakavu wa vyoo pamoja na kukosekana kwa sehemu maalum ya kutupa taka. Kuna Mfanyabiashara Robert Swai ambaye amehojiwa na kusema soko...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Soko la Sinza walalamika kufanyiwa ubabe wa kulazimishwa kusaini mikataba viongozi wa Halmashauri ya Ubungo

    Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia. Baadhi ya Wafanyabiashara wamesema viongozi wa Halmashauri hiyo wakiongozana na Askari Polisi, Mgambo na Mwanasheria...
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Coco Beach pajengwe Shopping Mall

    Ukipita pale Coco Beach utagundua like eneo halitumiki ipasavyo. Kwanini pasijengwe Shopping Mall kubwa ili watalii wapate nahitaji yote hapo huku waki-enjoy upepo wa bahari? Pichani ni Water Front Shopping Mall, Cape Town, SA
  8. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania BATTLE: Sinza kwa wajanja & Kinondoni kwa watukutu

    Kwema ndugu, natumai kila mtu ni mzima wa afya. Sinza na Kinondoni ni kata mbili tofauti zilizopo katika mkoa wetu mzuri wa Dar es salaam. SINZA ambayo inatambulika kuwa kwa wajanja, ipo katika wilaya ya Ubungo na ni miongoni mwa maeneo yenye starehe nyingi na kubwa hapa Dar es salaam. Sinza...
  9. co fm

    JamiiForums Tanzania Vijana waliofanikiwa maisha

    Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;- 1. Anakaa sinza 2. Anamiliki crown au Mark x 3. Anafanya kazi posta na hii sio lazima sana anafanya kazi bank. vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
  10. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania House4Rent Eneo la Bar/ Mgahawa unapangishwa Sinza

    Mgahawa/ Bar ipo maeneo ya sinza mugabe. Kodi ni laki tatu na nusu maongezi yapo. Unakodishiwa viti pia na eneo ni kubwa la kutosha.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa saluni ya kike Sinza adaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake

    Matukio ya wanawake kuuawa kikatili na wapenzi au waume zao yameendelea kutikisa, baada ya mwanamke mmoja mmiliki wa saluni ya Madam Beauty Point iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam anayefahamika kwa jina la Leonia Julius, kudaiwa kuuawa kwa kunyongwa na mpenzi wake wakiwa hotelini. Inadaiwa...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Nataka Jeans Kali niende Kariakoo au Maduka ya Sinza?

    Wakuu. Nataka jeans kali kama 5 hivi. Budget ya 20,000 mwisho. Najiuliza, niende Kariakoo au nikaoambane maduka ya Vunjabei na Boss Kalewa?
  13. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ukahaba imekithiri Sinza na kusababisha wakazi kuhama nyumba zao

    Dar es Salaam. Biashara ya ukahaba imevamia kwa kasi baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam, na kusababisha kero na adha kubwa katika makazi ya watu, hasa eneo la Sinza kiasi cha kuzifanya baadhi ya familia kuhama nyumba, Mwananchi limebaini. Wazazi na walezi wanasema hali hiyo pamoja na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Sinza kuwa na mashoga wengi

    Sinza kuna mashoga wengi kwa sababu aina ya maisha ya kule yapo juu sana. Kumbi za starehe zipo kila mtaa na zinapiga siku zote j Jumatatu mpaka Jumatatu yani hamna kupoa Vijana wanatafuta kila namna wavimbe kila siku ndo utakuta wengine wanakuwa matapeli wengine wanakuwa machawa wengine...
  15. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ajeruhiwa kwa risasi za polisi maeneo ya Sinza Dar es salaam

    Mwanamke aitwaye Mariam mkazi wa Sinza Lion Dar es Salaam, amejeruhiwa kwa kupigwa risasi maeneo ya begani katika harakati za Polisi kuwatuliza raia wenye hasira kali waliokuwa wanataka kumpiga mwizi aliyekwapua simu kwenye bodaboda majira ya saa 12:00 asubuhi ya leo Mei 20, 2022 Kwa maelezo ya...
  16. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Mgahawa unapangishwa Sinza

    done
  17. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Mgahawa unapangishwa Sinza

    done
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Kitambaa Cheupe Sinza kunafurika kila siku?

    Yaani hii sehemu si J3, si J4, si J5, si Alhamis, si Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ndiyo usiseme kabisa, yaani eti hata pa kukanyaga hamna, ni nini hiki? Mmechinja mkamtoa kafara hapo au kuna nini jamani?
  19. I

    JamiiForums Tanzania Fremu inakodishwa Sinza Legho Tsh 450,000 kwa mwezi

    Fremu ipo mita 30 kutoka barabara ya lami ya shekilango road, nyuma ya rombo green view hotel mkabala na legho hotel. Kodi ya miezi 3/6/12 ndo inayopokelewa. Karibu kwa mawasiliano 0672037238
  20. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Sinza na Mwenge kuna matatizo makubwa sana

    Thread was deleted
Back
Top Bottom