sinza

Sinza is an administrative ward near the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 36,469.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

    Silaha tajwa tayari imeshaondoka na roho mbili na tayari iko mikononi mwa jeshi la polisi.. Haijajulikana kama mmiliki alinunua 'used' au brand new! Kama kanunua mtumba ni kwamba hapo kabla ilishawahi kutumika mostly ilishauwa.. Wangapi? Haijulikani..labda mpaka kupata historia yake..! Kama...
  2. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania TV4Sale LG TV 50" 4K kwa 920,000. Sinza Dar

    Tv lg smart nch 50 4k Iko bomba Bei 920k tu,,, dukani unaipata kwa 1,250,000 Location, Sinza Dar Njoo ununulie nyumbani 0683011003 piga hii
  3. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Siku ya nne sasa hakuna maji hapa Sinza-Palestina. DAWASCO ipo?

    Salamu Maeneo tajwa hapo juu tulishasahau adha ya kukatika kwa maji. Ila sasa tupo siku ya nne maji hayatoki na hata hakuna taarifa kwanini hali imekuwa hivyo. Wiki mbili zilizopita yalikatika kwa siku mbili japo ilitangazwa maana ni almost Mji mzima haukuwa na maji. DAWASCO mpo wapi? Waziri...
  4. B

    JamiiForums Tanzania RC Makala, Tunakujulisha kuwa fidia hazijalipwa Sinza

    Zile fidia ulizowaelekeza TARURA-DMDP Kinondoni kwa ajili ya wakazi wa Sinza wawe wamelipa mpakaJumatatu ilopita 31/5/21 mpaka leo hii hizo pesa za fidia hawajalipa. Mkuu fuatilia hawa watu hapa kuna sintofahamu kwa sababu taarifa tulizo pata ni kuwa zile pesa za fidia zilihamishwa toka...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Sinza, Dar: La Chaaz Bar yateketea kwa moto

    Chanzo Radio live nipo ndani ya daladala =====
  6. J

    JamiiForums Tanzania KKKT Sinza wachukua tahadhari ya Corona waanza na maji tiririka na social distancing ibadani!

    Ni jambo jema. Kinga ni bora kuliko tiba. Niwapongeze sana Kanisa la KKKT Sinza kwa umakini wenu katika kukabiliana na wimbi jipya la Corona. Nawatakia Dominica yenye baraka.
  7. Dick Monger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Naandika kwa masikitiko, yaani najihisi kama mimi ndiyo nimetendewa ukatili huu! Stori ipo hivi, juzikati nilimtembelea shoga'angu mmoja ambaye anaishi Sinza, stori zikanoga huko na kwa sababu sikuwa na kitu cha msingi cha kunifanya nirudi kwangu, hasa kwa kuwa ilikuwa wikiendi, nikaamua ngoja...
Back
Top Bottom