Singida, is a city in central Tanzania. The city is the location of the regional headquarters of Singida Region as well as the district headquarters of Singida Urban District. The region and district are named after the town.
Wakuu mambo vipi?
Mapema mwezi October nina ndugu yangu wa karibu anaoa huko Singida maeneo ya Itigi.
Ninapaswa kuhudhuria hiyo harusi sasa nauliza kwa wazoefu kutoka Dar mpaka Singida hapo Itigi niandae bajeti ya mafuta kiasi gani?
Gari ni Toyota Mark II grande engine beams 2000, cc 1990 au...
03 September 2022
Kigali, Rwanda
SINGIDA BIG STARS ARRIVES IN KIGALI TO TAKE ON RAYON SPORTS
Klabu ya Singida Big Stars imewasili mjini Kigali Rwanda kwa mchezo wa kirafiki kufuatia mwaliko wa timu ya Rayon Sports ya Rwanda.
Bodi ya wakurugenzi ya timu ya Singida Big Stars imeishukuru...
Watu wa Soka,
Tunapenda kuwafahamisha wapenzi, wadau na mashabiki wa klabu ya Singida Big Stars kuwa tumepokea mwaliko kutoka kwa wenzetu Rayon Sports FC ya nchini Rwanda kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kimataifa.
Timu yetu inatarajia kusafiri kuelekea Rwanda siku ya Ijumaa ya tarehe...
Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi.
Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue.
Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo...
Tumeona usajili ambao Timu Hii imefanya, na sote tunajua gharama za kulipa mishahara wachezaji kaliba ya akina Kagere, Wawa, na mastaa wengine!
Basi Jana usiku nikawaza kuwa Hii Timu ya Singida Big stars ni Sisi ndio tunaitunza kupitia hizi tozo..
Kwa wale mliosoma Cuba mmeelewa
N.b tukoment...
Heshima na burdani kwa wanasingida inayoletwa na team ya singida big stars ni kubwa mno
Team imesajili wachezaji ghali inawalipa mishahara mikubwa sana hapo pia kuna wa brazil watatu wanaajua mpira saanaa
Pongezi kwa mzalendo wa tozo ubunifu wako umefanikiwa team yako ya kitajiri tozo...
Watu wa Soka,
Tumejiandaa vya kutosha kuanza mchezo wetu wa kwanza wa Ligi Kuu kesho dhidi ya Tanzania Prisons.
Mashabiki wetu tunawakumbusha kukata tiketi mapema kupitia N-CARD kisha mjitokeze kwa wingi uwanja wa LITI (zamani Namfua) kesho mapema sana kuisapoti timu yetu. Hakutakuwa na tiketi...
Watu wa Soka,
Salamu kutoka Singida Big Stars.
Ratiba ya Ligi Kuu imeshatoka na mechi yetu ya kwanza tumepangiwa kucheza uwanja wa nyumbani na Wajelajela Tanzania Prisons siku ya Jumanne Agosti 16, 2022.
Nafahamu kwamba Mashabiki wetu, watanzania na watu kutoka mataifa mbalimbali siku hizi...
Ajali mbaya iliyo husisha gari dogo aina ya Raum imetokea wilayani Mkalama katika mkoa wa Singida.
Chanzo cha ajali ni mwendo kasi.
Mzee Kinana nilikwambia kupitia uzi fulani hapa, kazi iendelee.
========
Watu sita wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum...
Watu wa Soka,
Nina salamu maalum kwa mashabiki, wapenzi na wadau wa Singida Big Stars.
Naomba niwafahamishe tu kuwa taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu Winga wetu Dario Frederico sio za kweli. Dario ni mchezaji mwenye kandarasi ya miaka 3 na klabu ya Singida Big Stars.
Tunafahamu, uwezo...
Watu wa Soka,
Jana Agosti 4 katika Siku yetu maalum ya BIG DAY tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco FC kutoka Zambia na tukaibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri (1-0) katika dimba letu la nyumbani la LITI (zamani Namfua).
Tumelinda heshima ya nchi lakini pia tumeisitiri sherehe...
Ma viwanja mengi yako hivyo,pitch ina afadhali,vyumba vimekarabatiwa sehemu ya kukimbilia ni pachafu vumbi kabisa
Si waweke moramu zile chengachenga zilizisagwa au wamwagie mchanga
Ni timu iliyopanda daraja lakini tayari ina wadhamini wa kutosha. Wapo Sportpesa, TBL, Maji ya Uhai, Simba Cement pamoja na GSM.
Niwape heko Singida Big Stars, hakika mnaupiga mwingi sana
Watu wa Soka,
Sisi ni wasikivu.
Tumeamua tukio la BIG DAY lirushwe LIVE kupitia @azamtvtz ili wadau wote na mashabiki wetu watakaoshindwa kufika uwanjani, waweze kushuhudia burudani zote popote walipo!
Hivyo, matukio yote ya BIG DAY ikiwemo mechi yetu ya kirafiki dhidi ya Zanaco FC itarushwa...
Watu wa Soka,
Nawaletea taarifa kuhusu Singida 𝐁𝐈𝐆 𝐃𝐀𝐘 tarehe 4/8/2022 katika Uwanja wa Liti (zamani Namfua).
Tumeamua tuwe na siku yetu maalum kama walivyofanya wenzetu Simba na Yanga, tukachagua jina iitwe BIG DAY, halafu kwa mara ya kwanza tunaifanyia Singida.
Matukio yatakuwa mengi na...
Watu wa Soka,
Tunapenda kuwataarifu wapenzi na mashabiki wetu kwamba Jumatatu ya Agosti 01, 2022 timu yetu iliwasili salama Makao Makuu mkoani Singida, ikitokea jijini Arusha ilikoweka kambi kwa ajili ya maandalizi kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu 2022/23.
Ratiba ya mazoezi ya kuinoa timu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.