simulizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania “Everyday” ya Phil Collins: Simulizi ya Maumivu na Kumbukumbu za Mapenzi

    “Everyday” wa Phil Collins Wimbo “Everyday” wa Phil Collins ni mojawapo ya nyimbo zenye hisia nzito zinazozungumzia maumivu ya moyo baada ya mahusiano kuvunjika. Wimbo huu ulitoka mwaka 1993 katika albamu yake Both Sides, ambayo ilijulikana kwa mtazamo wake wa kibinafsi na wa kina wa hisia...
  2. Xav Emmanuel

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: KANGA SEASON 01

    HADITHI FUPI - S01E01 "KANGA" - [Rudisha Kwa Mhusika] Mtunzi. Xavery Luoga (Mkandarasi) Na. +255672493994 ___________________ Atuganile Chamse, mrembo aliyeshindana na mumewe kwa muda mrefu, muda huu alikua anamalizia kupanga vitu vyake kwaajili ya kumkimbia huyo mumewe. Safari yake ya siri...
  3. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Simulizi: My family 02

    Simulizi: My family Sehemu ya pili Mtunzi: Kijana Masikini ILIPOISHIA "Daa Qashy nae akapanda bodaboda na kumpa ishara dereva aifate pikipiki aliyopanda yule mzee. Muda huo watu walikuwa wanaendelea na shughuli zao kama kawaida, mimi nikaenda sehemu aliyotupa simu...
  4. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Simulizi: My family

    Simulizi: My Family Sehemu ya kwanza Mtunzi: kijana Masikini UTANGULIZI. Wamakonde tunasema "nnume alage mmahe anyete" Yaani "Mwanaume apambane hadi kukonda ili mwanamke anenepe" Simulizi hii ni zawadi ya valentain day kwa mtu mmoja humu jamii forums, Kama olivyo kwa konde boy ndivyo ilivyo...
  5. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Kuna simulizi naitafuta humu. Title nimeisahau nakumbuka habari za mtunzi

    Wakuu napenda sana simulizi. Hii simulizi mhusika alienda kijijini kwa babu yake. Akaenda kuishi pangolin siku tatu. Alipewa ufunua na kuona ambavyo wengine hatuvioni. Kwa kifupi ni simulizi ya kweli kwa.mujibu wa mtunzi. Naomba ambaye anaifamu anitag nayo. Wasalaam
  6. GadoTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi, Mikasa, Vitimbi na Visa vya wasanii wa zamani wa bongo fleva - A special thread

    Hii ni thread maalum ya simulizi mbalimbali pamoja na visa, mikasa na vitimbi vya wasanii wa zamani wa bongo fleva. Stay tuned....
  7. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Tenjee na Zingota

    TENJEE na ZINGOTA (Sehemu ya 1) MSITUNI KWA ZINGOTA** Jengo la lililochakaa katikati ya msitu wa kale uliokauka. Kulikuwa na wanawake wawili katika jengo hilo, mmoja ni binti mdogo na mwingine mtu mzima. Binti mdogo mrembo, alikuwa amelala, wakati mkubwa alikuwa mzee sana hata hakuweza...
  8. Cecil J

    JamiiForums Tanzania John Wick 2014 haina simulizi inayoeleweka! Storyline yake ni mbovu!

    Awali ya yote kwa yeyote aliyekuja pupa ili kunijibu nina maneno mawili tu, "Punguza spidi", rejea kichwa cha uzi kisome vizuri kisha urejee tena. Nakiri kwamba sikuwahi kuangalia filamu ya John Wick hapo awali, nilikutana na Posters zake tu ila sikupata muda wa kuitazama. Siku ya juzi...
  9. Abou Shaymaa

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Nyuma ya mlango wa adui

    Naam Kwa Wale Wapenzi Wa Simulizi Mtumzi Wetu EDGAR MBOGO ametuandalia Kigongo Kingine Hichi Sio Cha Kukikosa Kitakujia Hapa Hapa Jamii Forums, Kwa Wale Ambao Wamesoma Simulizi Ya (Asali Haitiwi Kidole) Huyu Deusi Frank Nyati Atakaetajwa Humu Ndio Kaka Yake Edgar Na Shemeji Yake Radhia Sasa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Eti ni kwanini ndani ya BIBLIA hakuna simulizi za utani Wala mzaha, tunapata fundisho Gani?

    Salaam,Shalom!! Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha? Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake? Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi? Wana...
  11. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones

    Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones, ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia. Alikwama mahali ambapo hakuweza kutoka alikuwa hawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Baada ya...
  12. Rahidin73

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli : Nani alistahili?🎵🥱 (Kisa cha mapenzi chenye kusisimua)

    NANI ALISTAHILI 🎵🥱 Sehemu ya Kwanza MTUNZI: Madodi ✍🏼 WHATSAPP: 0655 969 973 Mambo?? Habari?? Hi?? Zilikuwa jumbe tatu nilizozikuta upande WA messenger katika account Yangu ya Facebook Kutoka Kwa Rick. Nilijiuliza 'nani huyu?? Mbona jina jipya simfahamu?' Niliamua kujibu Kwa sms moja "Safi nani"...
  13. Rahidin73

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Naitwa mume zoba kwa kumpenda mke wangu. (kisa cha kweli cha kusisimua)

    SIMULIZI: NAITWA MUME ZOBA KWA KUMPENDA MKE WANGU. SEHEMU: 1 MTUNZI: Madodi ✍🏼 Whatsapp: 0655 969 973 Naitwa Iqram, kijana mrefu, mweusi mwenye tabasamu la kuvutia ambalo lilikuwa na uwezo wa kuwatoa watu wasiwasi hata kwenye hali ya huzuni. Nilikuwa na bahati ya aina yake kwa kumwoa Zuhura...
  14. X

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa waoaji: Kuna tofauti ndogo sana kati ya haya makundi 4 ya wanawake

    Kuna haya makundi 4 ya wanawake yanafanana sana Mwanamke mcheza porno Mwanamke mcheza onlyfans Malaya anayejiuza Mwanamke asiye bikira (mdangaji) hili ndilo kundi ambalo wanaume wengi miaka hii wanaoa Jambo kuu wanalofanana hao wote ni kwamba wanaitumia miili yao ili kuingiza pesa na pili...
  15. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Simulizi za kijasusi kutoka kwa Patrick C.K

    Jipatie simulizi za kijasusi Ambola Mwamba The last chapter Scandal The football Peniela Queen monika Miss tanzania Capture or mission Kiapo cha jasusi Kikosi cha siri Dear mathew mulumbi BY Patrick c.k kwa mfumo wa soft copy PDF mwanzo mpaka mwisho kwa bei nafuu TSH 1500 WhatsApp 0658068872
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Uhuru wa Watumwa

    Na James Mbotela. MUHTASARI WA MAISHA YA MWANDISHI Mwandishi wa kitabu hiki, ni mzaliwa wa Frere Town, Kisauni, Mombasa. Baba yake ni Myao, akiitwa Mbotela ambaye alikuwa mmoja wa vijana wale waliookolewa baharini na Wazungu wa manowari za Waingereza zilizokuwa zikizuia biashara ya watumwa...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Uhuru wa Watumwa

    Unaweza kusoma na kusikiliza kitabu hiki bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore Na James Mbotela. MUHTASARI WA MAISHA YA MWANDISHI Mwandishi wa kitabu hiki, ni mzaliwa wa Frere Town, Kisauni, Mombasa. Baba yake ni Myao, akiitwa Mbotela ambaye alikuwa mmoja wa vijana wale...
  18. Tanki

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni hii audio. Kisha nipeni ushauri. Je, nafaa kuwa muhadithiaji wa hadithi au simulizi?

    Ninaplan ya kuanza kujirecord nikisimulia hadithi au matukio. Hii audio hapa nilikuwa natest tu nione ninavyosikika. Nimeamua kushare na nyinyi mnichane nafaa ?? Niongeze nini??? Nipunguzie nini???? Note: NIMERECORD KWA SIMU, na EDITING ni simu pia.
  19. Asali ya limao

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Kijasusi: Giza la Wasaliti

    SURA YA KWANZA ASUBUHI YA HEKA HEKA Utangulizi. Richard Dawson, mrakibu mwandamizi wa jeshi la polisikanda maalum ya Dar es salaam, miaka mitano tu tangu ajiungena jeshi hilo, lenye jukumu la kulinda raia na mali zao lakiniilitosha jina lake kusemwa katika korido za makao makuu yajeshi hilo na...
  20. nasrimgambo

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Bosi kapenda mke wa mtu

    KARIBUNI KUSOMA SIMULIZI HII SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni siku ya joto na jua kali, huku kama kawaida watu walikuwa wengi, wakiwa kwenye pilika pilika, wengine wakiwahi usafiri na wengine wakishuka kwenye mabasi na daladala wakiwa wamewasili. Wafanyabiashara wadogowadogo walikuwa bize na...
Back
Top Bottom