Rahidin73
Member
- Oct 25, 2024
- 23
- 30
NANI ALISTAHILI 🎵🥱
Sehemu ya Kwanza
MTUNZI: Madodi ✍🏼
WHATSAPP: 0655 969 973
Mambo??
Habari??
Hi??
Zilikuwa jumbe tatu nilizozikuta upande WA messenger katika account Yangu ya
Facebook Kutoka Kwa Rick. Nilijiuliza 'nani huyu?? Mbona jina jipya simfahamu?' Niliamua kujibu Kwa sms moja
"Safi nani"
Niliutuma ujumbe ule Kisha nikaendelea na Kaz zingine maana hakuwa hewani. Baadae nilipoingia kuangalia simu nilikuta friend request ya yule mtu niliyetoka kumjibu ujumbe muda mfupi. Hapa Sasa nilipata wazo la kumkagua niligundua ombi la urafiki lilikuwa na siku 3 nyuma na jumbe zile zilikuwa za Jana yake tu.
Jambo lingine ni kwamba tulikuwa tunashare na baadhi ya marafiki wa Fb yaani "mutual friends zaidi ya 60, nilipokagua niligundua ni wanafunzi niliokuwa nimehitumu nao advance. Hapo ilikuwa mwezi wa 8 tu na mtihani nilitoka kufanya mwez wa 7 hivyo nilifikiria huenda ni classmate ameanua kutumia jina lingine ama alikuwa mchepuo (combination) mwingine maana wanasayansi wengi sikuwa nikiwafahamu kutokana na wingi wa wanafunzi pale shuleni.
Cha kwanza nilimkubalia ombi la urafiki bila hata kujiuliza sana Kisha nilitoka hewani. Jioni ya siku hiyo mida yaa saa 1 jioni niliingia Tena Facebook nilishangaa kukuta jumbe kama mbili hivi akiwa ameomba radhi Kwa kuchelewa kujibu ujumbe wangu.1 Pia alinipa maelezo Kwa ninialichelewa kujibu ujumbe ule. Nilimjibu sawa haina shida kama ishara ya kumtoa wasiwasi.
Muda huo huo alijibu ujumbe ule (kumbe alikua Online) nilimwambia simfahamu, akajitambulisha
"Mi naitwa Rick, kwetu ni Mtumba ila pia sikufahamu"
Pia aliomba kunifahamu kama nipo mtumba. Mtumba ni shule niliyosoma advance huko sumbawanga.
Basi nilimuelewesha kuwa nilishaondoka pale na tayari nikawa na majibu kuwa alinifahamu tu kupitia mutual friends. Tulichaty kidogo kama dakika 10 nikamuaga kuwa Niko bize anitafute saa 3 usiku, aliuliza na dakika ngapi??
😌😛mwee Mimi na haya mambo ya kupewa care wapi na wapi jamani??? Kitambo sana hamna wa kuniambia saa ngapi niwe on time huyu veeepe. Nikamjibu saa 3 na dakika 5😌 Niliondoka zangu nikaenda ukumbini kuendelea na kazi zingine za mapishi. Mpaka kufikia saa tatu na dakika 20 nilikuwa free nikaenda chumbani kwangu nikachukua simu KHEEE.......... 🙄🙄🙄🙄 😍nikakuta sms, mwamba kashanishtua😛 nilikagua kwanza profile yake nione kama yaliyomo yamo 😛alooh niliona yamo yamo japo siyo kilokole ila yamo yamo.
Nikajibubana,"hello nambie”
Hapo tulifungulia chating rasmi😛(jamani nilishamiss haya mambo ya kubebika kitambo sana hahahah. Hata sijatongozwa jaman eti kubebika eeh hivyo hivyo niliwaza bana ila sijui anataka nini kaka wa watu mstaarabu huyu mweee nmesahau hapo nilikuwa nachatia kichatio jamani lkn kinaingia fb🤣na picha naona na kutuma natuma alafu free mode watoto WA 2005 hawajanielewa lakini ilikuwa hivyo.
Basi akaomba namba nikatoa chap, siyo eti nilikuwa nashoboka No unajua kichatio kule fb Kiko slow halafu maandishi madogo yanaumiza macho so nikaona Bora sms za kawaida. Sasa nilitoa namba jaman🤣tukahamia normal, Mungu wangu tulivyofika huwezi kuamini............ITAENDELEA.
Unajua kwanini Inaitwa "NANI ALISTAHILI.." UTAJUA KWANINI COVER INA WANAUME WAWILI.
HIVI UNAJUA MWAMBA KAMAFANYAJE. NDIO KWANZA INAANZA HUMU NDANI KUNA UTAMU MWINGI SANA.
UTABURUDIKA, UTAJIFUNZA NA UTATAMANI USOME YOTE KWA WAKATI MMOJA.
NUKUU "Mapenzi ya kweli hayajaandikwa yatatokea wapi, mpenzi wako wa kweli hujui atatokea mazingira gani? Unaweza mpata kwenye daladala bila kutarajia, unaweza kumpata online na mkaishi milele. Kikubwa usimdharau usiyemjua kwani hujui nia na dhamira yake ni ipi kwako"
,