OFFICIAL : Samsung watoa simu yenye 7000mAh muda mfupi uliopita(M51)

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
6,653
20,966
Screenshot_20200831_154506~2.jpg
Screenshot_20200831_154541~2.jpg

Kwa mara ya kwanza Katika ulimwengu wa kampuni KUBWA na MAARUFU za Simu(Tuelewane hapo, usikimbilie ligi uje unitajie Doogee, Energizer au ulefone).

Hatimaye leo mchana samsung ametoa ingizo jipya katika series yake ya 'M', series inayojuulikana kwa kutoa simu zenye battery kubwa.
Hii ni Samsung M51 yenye ukubwa wa 7000mAh,
Screenshot_20200831_162036~2.jpg
huko German.

Ni mwezi haujapita ter 6 mwezi huu alitoa M31s yenye 6000mAh, na hapo nyuma alikua na M30s, M31 zote zikiwa na 6000mAh.

Ili kuokoa mda wanakupa fast charge ambayo itahitaji takribani saa moja na nusu kuijaza charge,
Screenshot_20200831_154829~2.jpg

Ukiachana na Battery ambayo ndio inayoitambulisha hii simu zaidi, tukiangalia specs nyingine tunaona....

Camera 4 za nyuma, ikiwemo ya 64MP
Screenshot_20200831_154849~2.jpg

Selfie ya 32MP
Screenshot_20200831_154629~2.jpg

Processors ya pekee katika M-series maalumu kwa ajili ya gaming
Screenshot_20200831_162146~2.jpg
kutoka katika kampuni ya kimarekani Qualcomm Snapdragon 730G, katika mid range smartphone hii si haba.
Screenshot_20200831_154801~2.jpg

High build quality wakitumia
Glastic(glass+plastic) katika rangi mbili nyeusi na nyeupe.
Screenshot_20200831_154711~2.jpg

Display : full HD+ Super Amoled + infinity - O display.
RAM 6/8GB(market dependable)
Storage 128GB,

Kioo cha 6.67 inch
Screenshot_20200831_162708~2.jpg

Face unlock na side fingerprint
Screenshot_20200831_154702~2.jpg

Na specs nyingine nyingi..

Naomba ieleweke, hii ni MID range smartphone SI flagship, na kwa kujua kuna wapenda ligi humu pia ieleweke sijasifia simu, sijasema ni the best bali nimetaja specs zake, hasa hasa nikilenga battery..
Najua na Unajua kuna simu bora zaidi ya hii nyingi tuu.

Bei ni Tsh laki 9,
Ni Hayo tuu kwa wapenda simu zenye battery kubwa.
 
Sawa kongole kwao.....sisi wa mbagala tunaisubili ishuke maana iyo mia tisa si ni bei ya jumla maana huku itakuwa kwenye milioni na.......
 
View attachment 1554305View attachment 1554306
Kwa mara ya kwanza Katika ulimwengu wa kampuni KUBWA na MAARUFU za Simu(Tuelewane hapo, usikimbilie ligi uje unitajie Doogee Na ulefone).

Hatimaye leo mchana samsung ametoa ingizo jipya katika series yake ya 'M', series inayojuulikana kwa kutoa simu zenye battery kubwa, Samsung M51 yenye ukubwa wa 7000mAhView attachment 1554328huko German.

Ni mwezi haujapita ter 6 mwezi huu alitoa M31s yenye 6000mAh, na hapo nyuma alikua na M30s, M31 zote zikiwa na 6000mAh.

Ili kuokoa mda wanakupa fast charge ambayo itahitaji takribani saa moja na nusu kuijaza charge,View attachment 1554335
Ukiachana na Battery ambayo ndio inayoitambulisha hii simu zaidi, tukiangalia specs nyingine tunaona....

Camera 4 za nyuma, ikiwemo ya 64MPView attachment 1554308
Selfie ya 32MP
View attachment 1554310
Processors ya pekee katika M-series maalumu kwa ajili ya gamingView attachment 1554327kutoka katika kampuni ya kimarekani Qualcomm Snapdragon 730G, katika mid range smartphone hii si haba.View attachment 1554311
High quality build body wakitumia
Glastic(glass+plastic) katika rangi mbili nyeusi na nyeupe.View attachment 1554317
Display : full HD+ Super Amoled + infinity - O display.
RAM 6/8GB(market dependable)
Storage 128GB,

Kioo cha 6.67 inchView attachment 1554330
Face unlock na side fingerprintView attachment 1554332
Na specs nyingine nyingi..

Naomba ieleweke, hii ni MID range smartphone SI flagship, na kwa kujua kuna wapenda ligi humu pia ieleweke sijasifia simu, sijasema ni the best bali nimetaja specs zake, hasa hasa nikilenga battery..
Najua na Unajua kuna simu bora zaidi ya hii nyingi tuu.

Bei ni Tsh laki 9, ni Hayo tuu kwa wapenda simu zenye battery kubwa.
Inapatikana globally au India tu kama kawaida ya m series zote
 
Mkuu nataka kuagiza Doogee N20 ram 4, ROM 64, rear camera 16MP na front 8 kwa 218000/=

Na kuna ule phone ina specifications kama izo kwa 237000/=

Nipe neno Mkuu
processor ya sd730g inaweza kukaa zaidi ya Siku mbili kwa betri la mah7000 , kuna jamaa yangu alikuwa na ulephone ilikuwa inakaa Siku mbili kwa betri la 6000mah na processor ilikuwa ni Mediatek ya 14nm,
Sd 730g Ina 8nm Kama sikosei , lazima itakuwa very power effient
 

Similar Discussions

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom