Samsung yaachia Operating system update Andorid 12 kwa simu S21 Ultra

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Kampuni ya Samsung wameachia updates ya os ya Android 12 ama UI 4 kuanzia tarehe 15 mwezi huu kwa simu za Samsung Galaxy S21 Ultra. Ila hii updates ilianzia huko Marekani, Ulaya na Korea Kusini kwenyewe.

Naona kadri siku zinavyoenda inasambaa kwa mataifa mengine. Leo mimi simu yangu imepata update kwenda UI 4. Wale wenye simu za S21 mnaweza kuangalia updates kama zimefika kwenu.
Screenshot_20211118-124924_Software update.jpg

Ila nimependa Samsung simu kama s10 inapata updates za os 4, zilitoka na Android 9, zikapata update ya Android 10, 11 na sasa Android 12 na usishangae hata Android 13 zikapata mwakani.

Ukitaka kufurahia simu nunua simu ambayo inaweza kupata software updates angalau 3 ama 4 hivi.
 
yah.miaka 3 update inatosha sana.

ingawa apple wanaa kishenzi mpaka miaka 7 simu bado inapewa.
 
huwa tunawaambia humu kuwa brand za simu ni 2 tu yaani samsung& iphone12&13 tu hayo mengine ni mamikebe ya kutunzia laini

iPhone hata za chini mostly huwa zinapata updates...acha zako kwahiyo iPhone 11 nayo ni Mkebe? kuna brands kama.. one plus, vivo high-end kibao ziko vizuri na kuna latest Google pixel, inaonekana hujui unachosema

*Mda mwingine ni bora kubaki kimya ili usijiaibishe kuwa ni wa kiwaki
 
Ila nimependa Samsung simu kama s10 inapata updates za os 4, zilitoka na Android 9, zikapata update ya Android 10, 11 na sasa Android 12 na usishangae hata Android 13 zikapata mwakani.

Ukitaka kufurahia simu nunua simu ambayo inaweza kupata software updates angalau 3 ama 4 hivi.
Apple ni mzuri kwa hilo. Simu inakula update mpaka inataka kutapika.
 
Sio kwa mwaka huu, hiyo ni jumla mkuu. Note series samsung imeachana nazo kabisa.

Binafsi Samsung hapa wameniboa yaani Wanaua Note series wakati ndio ilikuwa ina premium look.. chukua S20 au hata 21 na Note 20 ultra angalia muonekano na utaona Note ni way better, sasa wanatengeneza hiyo mi Galaxy Fold ambayo gharama zaidi na mibovu.. sijapenda walichofanya
 
Back
Top Bottom