simu

  1. JamiiForums Tanzania Airtel "Imeolewa" na Diamond - lakini Je, huduma zimeboreshwa?

    Nimeamka asubuhi nikakutana na ujumbe kutoka kwa rafiki yangu ambae ni mfanyakazi wa Airtel (TSM), akiwa amenitumia Tangazo jipya la Joti. Nikatabasamu kwa kuwaza kwamba Airtel wamefanikiwa kumnyofoa Joti kutoka Tigo; nikawaza au labda huyu muwekezaji mpya alieingia Tigo amechagiza jamaa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msukuma wa Ushirombo na Afisa wa FFU kwenye simu

    Mayaya Jembeulaya – Harooo… hapo ni Ghasia? Inspekta Marwa – Ndiyo, Fidi Fosi mkoa wa Geita, mimi Inspekta Marwa, una shida gani? Mayaya Jembeulaya – Nimetoka Dsm nimekuta mtu anahujumu uchumi wa taifa, baghosha! Inspekta Marwa – Anahujumuje uchumi wa taifa? Mayaya Jembeulaya – Anaitwa...
  3. JamiiForums Tanzania MSAADA : Extension Kwenye Namba za Simu Huwa Zinakuaje Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu. Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana gani kwenye namba za simu wakuu...? Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thanks.
  4. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo avunja simu ya shabiki wa Everton, aomba radhi, Polisi waingilia kuchunguza

    Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja. Tukio hilo inadaiwa lilitokea jana Aprili 9, 2022 baada ya Man United kufungwa bao 1-0 na Everton kwenye Uwanja...
  5. JamiiForums Tanzania Wauza simu wa dar pitia hapa tufanye biashara.

    Habari za wikendi wakuu. kwa wale wafanyabiashara wa simu za jumla mimi natafuta mtu ambaye tutafanya nae biashara niwe nachukua simu kwake kwa bei ya jumla hata kama upo mkoani hasa wa iringa mjini au mafinga na makambako njoo inbox tuyajenge. Simu ndogo za batani ndo ninazotaka. Nawatakia...
  6. JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na kutukanwa kisa kutoa maoni

    Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia. Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Afungua kesi Mahakamani kupinga usajili mpya wa laini za simu, ataka picha za wateja zifutwe

    Karanja Matindi, raia wa Kenya, Eliud anayeishi Uingereza ameifungulia mashitaka Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kwa kuagiza watumiaji wote wa laini za simu kujisajili upya, akitaka Mahakama ipinge maamuzi hayo kuwa ni kinyume cha katiba. Mamlaka ilitoa tangazo kuwa laini ambazo...
  8. JamiiForums Tanzania Simu ya tsh 240,000/= kutoka Tecno yenye sifa kubwa zaidi

    Hii ni habari njema kwa watumiaji wa simu janja. Kampuni ya yetu imezindua simu janja SPARK 8C ambayo inapatikana kwa bei poa kabisa ya Tsh 240,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 2GB na Tsh 290,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 3GB. Katika simu hiyo kuna teknologia ya “Memory fusion”. Unaweza...
  9. JamiiForums Tanzania Ukitoa namba ya simu na usipotafutwa potezea; amekuepusha kwenye matumizi ya ovyo

    Wengi tunajua mahusiano ni gharama, hasa kwa upande wa wanaume. Kutumia maelfu, milioni n.k ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano. Mbaya zaidi, ufujaji wa hizo fedha hauendani na uingiaji wa hizo fedha katika akaunti yako. Utokaji unakuwa ni mkubwa sana kuliko uingiaji. Tunajua ni hisia pamoja...
  10. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutozima Simu usiku

    Salaam wana jukwaa,Kuna hii tabia ya kuzima simu usiku mwa kuepuka usumbufu wa calls na sms. Je, ulishawahi kuzima simu usiku then ukajutia? Tujitahidi kuacha simu zetu on kila wakati. Mimi Kuna siku nilizima simu usiku then nikalala,kumbe usiku wa Kama saa sita Kuna gari ilikuja ikapaki...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye: Miamala ya simu kutungiwa Sheria iwe 'Dhamana ya Mikopo Benki'

    Serikali imeeleza kuwa ongezeko la matumizi ya miamla ya fedha kwa njia ya simu imewapa wazo la kutunga sheria kutambua njia hizo zitambulike ikiwezekana kwa kuangalia uchumi wa mtu na itumike kama dhamana wakati wa kukopa benki. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Mawasiliano jitahidini meseji zenu za malipo ya huduma mbalimbali zifike kwa wakati

    Nawasalimu wote wananchi ambao ndio wenye nchi wanaostahili kupata huduma nzuri na kwa wakati kutoka kwa watu waliokabidhiwa dhamana ya kuwaongoza. Na sio hao waliokabidhiwa ndio wapate huduma bora kwa kuwa wana. Niende kwenye mada. Nadhani kwa sasa duniani hakuna kitengo muhimu na chenye...
  13. JamiiForums Tanzania NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20 Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada wa wataalamu jinsi ya kuondoa hiki katika simu

    Msaada
  15. JamiiForums Tanzania TCRA: Tumia simu vizuri, ukimdhalilisha mwanamke mtandaoni jela inakuhusu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewaonya watu wanaofanya vitendo vya udhalilishaji kwa wanawake mitandaoni, ikisema kufanya hivyo ni kosa la kihalifu kwa mujibu wa sheria za nchi na kunaweza kumpelekea mtu kutozwa faini, kufungwa jela au vyote kwa pamoja. Wito huo umetolewa hivi...
  16. JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba Call Recorder Nzuri Kwa Simu za Android Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba mnijulishe kuhusu Call Recorder nzuri kwa Simu za Android inayoweza ku-rocord simu zote zinazopigwa na kupigiwa ili niweze ku-install kwenye simu yangu na niwe na uwezo wa ku-record kila simu inayoingia na kutoka kwenye simu yangu wakuu. NAWASILISHA.
  17. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari waruhusiwe kutumia simu Mashuleni?

    Haka kamjadala kamenifikirisha sana, Je! waruhusiwe kutumia simu mashuleni? Naskia mashule ya mafeza boys, mshuke ya st. nani huko wanaruhusiwa kutumia simu ndomana wanafaulu sana ni kweli? Akili ya wanafunzi wetu + smatphone what the output, sindo diamond atakuwa anaimba darasani Unaruhu simu...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu juu ya hili kwenye simu za XIAOMI

    Kama bango linavyosema Wajuzi naomba mnifahamishe juu ya hizi simu za xiaomi ambazo ni chinese version, zinasuport huduma za google? Na je zinautofauti gani mkubwa na zile za global version?
  19. JamiiForums Tanzania Wakazi: Diamond Platnumz ni maarufu ila hajui kuimba, "ukweli unauma mpaka mnanipigia simu za vitisho"

    Msanii kutoka Tanzania, Wakazi amesema kwamba Diamond Platinumz ni maarufu ila sio mzuri katika uiambaji. Kupitia ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter, Wakazi alisema kwamba kuna tofauti kubwa kati ya umaarufu na ubora wa msanii, na hivyo kuwa maarufu haimaanishi kuwa mzuri katika...
  20. JamiiForums Tanzania INAUZWA Minara ya radio na simu

    Habari wakuu, kwa wanaohitaji Mnara wa radio au simu. Nauza mnara napatikana Mbezi, Kimara Suca. Dar es Salaam. Mnara una kila kitu chake. Machine zote. 0783985530
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…