simu

  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ilivyopoteza wateja

    Ripoti mpya ya Robo ya tatu ya Mwaka 2021 iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonyasha kuwa kumekuwa na panda shuka ya wateja wanaofanya miamala kwa njia ya simu za mkononi. Aidha, ripoti hiyo ya miezi mitatu kuanzia Julai hadi Septemba 2021 inaonysha kuwa wateja wa M-Pesa...
  2. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu simu

    Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo la mwisho ni Huawei p 10 lite Chief-Mkwawa msaada tafadhali
  3. ragin

    JamiiForums Tanzania Angalia namba zako 3 za mwisho za simu zina maanisha nini

    mimi 111😂😂😂
  4. kagombe

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza hii simu

    Nauza simu bei poa Nimu ni Nokia original Model 1280 Nataka tsh 25000/= 0679 100 690
  5. R

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa makampuni ya Simu, Tigo, Vodacom, Airtell, Halotel etc: Kama mnaweza tutengenezee VIBUBU vya kwenye simu/Mtandao

    My point is this: Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa. SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya...
  6. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
  7. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Airtel "Imeolewa" na Diamond - lakini Je, huduma zimeboreshwa?

    Nimeamka asubuhi nikakutana na ujumbe kutoka kwa rafiki yangu ambae ni mfanyakazi wa Airtel (TSM), akiwa amenitumia Tangazo jipya la Joti. Nikatabasamu kwa kuwaza kwamba Airtel wamefanikiwa kumnyofoa Joti kutoka Tigo; nikawaza au labda huyu muwekezaji mpya alieingia Tigo amechagiza jamaa...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Msukuma wa Ushirombo na Afisa wa FFU kwenye simu

    Mayaya Jembeulaya – Harooo… hapo ni Ghasia? Inspekta Marwa – Ndiyo, Fidi Fosi mkoa wa Geita, mimi Inspekta Marwa, una shida gani? Mayaya Jembeulaya – Nimetoka Dsm nimekuta mtu anahujumu uchumi wa taifa, baghosha! Inspekta Marwa – Anahujumuje uchumi wa taifa? Mayaya Jembeulaya – Anaitwa...
  9. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA : Extension Kwenye Namba za Simu Huwa Zinakuaje Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu. Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana gani kwenye namba za simu wakuu...? Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thanks.
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo avunja simu ya shabiki wa Everton, aomba radhi, Polisi waingilia kuchunguza

    Polisi wa Merseyside wamethibitisha kuwa wanafuatilia taarifa ya tukio ambalo Cristiano Ronaldo wa Manchester United anatuhumiwa kwa kuikwapua simu ya shabiki wa Everton na kuivunja. Tukio hilo inadaiwa lilitokea jana Aprili 9, 2022 baada ya Man United kufungwa bao 1-0 na Everton kwenye Uwanja...
  11. Mnazinguakinoma

    JamiiForums Tanzania Wauza simu wa dar pitia hapa tufanye biashara.

    Habari za wikendi wakuu. kwa wale wafanyabiashara wa simu za jumla mimi natafuta mtu ambaye tutafanya nae biashara niwe nachukua simu kwake kwa bei ya jumla hata kama upo mkoani hasa wa iringa mjini au mafinga na makambako njoo inbox tuyajenge. Simu ndogo za batani ndo ninazotaka. Nawatakia...
  12. kokudo

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na kutukanwa kisa kutoa maoni

    Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia. Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Afungua kesi Mahakamani kupinga usajili mpya wa laini za simu, ataka picha za wateja zifutwe

    Karanja Matindi, raia wa Kenya, Eliud anayeishi Uingereza ameifungulia mashitaka Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) kwa kuagiza watumiaji wote wa laini za simu kujisajili upya, akitaka Mahakama ipinge maamuzi hayo kuwa ni kinyume cha katiba. Mamlaka ilitoa tangazo kuwa laini ambazo...
  14. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Simu ya tsh 240,000/= kutoka Tecno yenye sifa kubwa zaidi

    Hii ni habari njema kwa watumiaji wa simu janja. Kampuni ya yetu imezindua simu janja SPARK 8C ambayo inapatikana kwa bei poa kabisa ya Tsh 240,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 2GB na Tsh 290,000/= kwa SPARK 8C yenye 64GB + 3GB. Katika simu hiyo kuna teknologia ya “Memory fusion”. Unaweza...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ukitoa namba ya simu na usipotafutwa potezea; amekuepusha kwenye matumizi ya ovyo

    Wengi tunajua mahusiano ni gharama, hasa kwa upande wa wanaume. Kutumia maelfu, milioni n.k ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano. Mbaya zaidi, ufujaji wa hizo fedha hauendani na uingiaji wa hizo fedha katika akaunti yako. Utokaji unakuwa ni mkubwa sana kuliko uingiaji. Tunajua ni hisia pamoja...
  16. Lastmost

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kutozima Simu usiku

    Salaam wana jukwaa,Kuna hii tabia ya kuzima simu usiku mwa kuepuka usumbufu wa calls na sms. Je, ulishawahi kuzima simu usiku then ukajutia? Tujitahidi kuacha simu zetu on kila wakati. Mimi Kuna siku nilizima simu usiku then nikalala,kumbe usiku wa Kama saa sita Kuna gari ilikuja ikapaki...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye: Miamala ya simu kutungiwa Sheria iwe 'Dhamana ya Mikopo Benki'

    Serikali imeeleza kuwa ongezeko la matumizi ya miamla ya fedha kwa njia ya simu imewapa wazo la kutunga sheria kutambua njia hizo zitambulike ikiwezekana kwa kuangalia uchumi wa mtu na itumike kama dhamana wakati wa kukopa benki. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Mawasiliano jitahidini meseji zenu za malipo ya huduma mbalimbali zifike kwa wakati

    Nawasalimu wote wananchi ambao ndio wenye nchi wanaostahili kupata huduma nzuri na kwa wakati kutoka kwa watu waliokabidhiwa dhamana ya kuwaongoza. Na sio hao waliokabidhiwa ndio wapate huduma bora kwa kuwa wana. Niende kwenye mada. Nadhani kwa sasa duniani hakuna kitengo muhimu na chenye...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20 Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wataalamu jinsi ya kuondoa hiki katika simu

    Msaada
Back
Top Bottom