Natafuta simu bajeti laki mbili Mbeya

Nipe 70000 infinix smart hd,ina miezi 5,ina kreki moja kwa mbaaali inatumika fresh tu haina kipengele chochote,betri 5000 mah,GB 32 storage...ipo njombe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom