simu

  1. OGTV

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuseti muda wa kutumia application fulani kwenye simu yako kuepuka addiction

    Hii inasaidia sana kuwa productive na kuweza kufocus na mambo muhimu badala ya kukesha instagram au ukicheza candy crush saga. Ingia settings bofya screen time turn on screen time kama hujawasha bofya App limits bofya add limits chagua application yako kisha set muda wako unaotaka utumie hiyo...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Inadaiwa kutokea Kisumu, kibaka akwapua simu za wazungu kwenye mgahawa

    Kijana wa Kikenya amelitia Taifa hilo katika aibu baada ya kukwapua simu mbili za watasha waliokuwa wakipiga stori sogozi kwenye mgahawa. Kijana huyo aliyeingia ndani ya eneo hilo akiwa anaongea na simu na kwenda kukaa karibu na watasha hao lakini ghafla alikwapua simu hizo na kufanikiwa kukimbia.
  3. Conwel Ngani

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yameamua kwa makusudi kupunguza kasi ya internet?

    Leo siku ya tatu nina experience low speed ya internet, awali nilidhani nilijua shida ni airtel nayotumia nikaunga voda bado nikapata tatizo lile lile. Nilipouliza na wengine malalamiko ni hayo hayo. Vipi kwako hali ikoje? Kama sote iko hivyo je ni maagizo ya TCRA? Maana juzi niliona...
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Katavi: Wananchi wa Mishamo waomba kuwekewa minara ya simu, mawasiliano ya Radio

    Baadhi ya wananchi kutoka katika vijiji tofauti tofauti katika makazi ya Mishamo mkoani Katavi katika wilaya ya Tanganyika, wanakosa huduma muhimu za mawasiliano ya Radio na simu. Wanakijiji hao kutoka katika vijiji vya Mgansa, Isubangala, Bujombe na vijiji vingine jirani wamekuwa wakikosa...
  5. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tanesco na tenda kwa kampuni binafsi; TTCL na kampuni binafsi za simu kuanzishwa TCRA

    TANESCO NA TENDA KWA KAMPUNI BINAFSI;TTCL NA KAMPUNI BINAFSI ZA SIMU KUANZISHWA TCRA. Leo 12:15pm 03/05/2022 Tanesco wameazimia kuongeza ufanisi na kasi katika kuunganisha umeme kwa wateja,Tanesco itaanza kutoa tenda kwa kampuni binafsi kufanya kazi hiyo huku wao wakijikita kwenye uzalishaji...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Baada ya kuwashughulikia machinga sasa ni zamu ya wauza simu feki wa Kariakoo na Makumbusho

    Serikali baada ya kuwashughulikia machinga naomba tuwashughulikie wauza simu feki wa Kariakoo, Makumbusho na maeneo mengine. Saivi kuna sumsung, iphones na nyingine nyingi, zote hizo ni feki. Serikali iangazie jicho pale Makumbusho, Kariakoo na maeneo mengine mwaga vijana wa TCRA na TBS...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TCRA inachunguza mabadiliko ya mabando ya simu yaliyofanyika kimyakimya

    Baada ya malalamiko mitandaoni kuwa kampuni za mawasiliano ya simu Nchini Tanzania zimefanya mabadiliko ya kushusha vifurushi vya huduma za intaneti (mb's) pasipo kutoa taarifa kwa wateja wao, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema inafuatilia. TCRA imesema: “Tumeona malalamiko kutoka...
  8. N

    JamiiForums Tanzania WATANZANIA NI HOVYOO: TUHURUMIE MAKAMPUNI YA SIMU

    Mbona tunakuwa kama siyo waelewa,kuna vita vya ukraine , mafuta ya magari yamepanda, kwa nini bando zisipande kwanza bei za Tz zipo chini sana Mheshimiwa Nape ni vyema bando la gb 1 liwe tshs 7000 itainua mapato ya nchi na vilevile itapunguza usumbufu mitandaoni Bando ziendelee kupanda nakazi...
  9. Mr Kazembe

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Graphic card nauza 400k pia nafanya exchange na simu na pesa

    Graphic card: amd radeon rx 470 4GB Wale wapenzi wa games 3d & graphics basi hii kitu ni mwisho wa matatizo yako Bei 400000/= Karibu whatsapp number 0759377457 tembelea hapa kupata specification zake https://www.amd.com/en/products/graphics/radeon-rx-470
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mzungu hatopokea Simu!

    Binadamu hurudia makosa yake yake kila siku, wengi hawaelewi Capitalistic system, Capitalist atakutumia na kukumwaga, ila siku unaotumika kuwakandamiza na kuwadharau wakija juu, Jew hatopokea Simu yako na hatokujua. San Suu Kyi wa Mynamar mpaka alipewa Nobel prize leo hii yuko Jela na Mzungu...
  11. Bossprota

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

    Habari Wadau! Mimi ni kijana mtafutaji wa hali ya chini kwanza niseme jamii forums n8 sehemu iliyonifanya nipate wazo hili ambalo naweza sema lime badilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa! Mnano mwaka jana mwezi wa 9 nilifanikiwa kupata uzi hapa jf wenye ushauri juu ya biashara ya ufundi simu...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu ilivyopoteza wateja

    Ripoti mpya ya Robo ya tatu ya Mwaka 2021 iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeonyasha kuwa kumekuwa na panda shuka ya wateja wanaofanya miamala kwa njia ya simu za mkononi. Aidha, ripoti hiyo ya miezi mitatu kuanzia Julai hadi Septemba 2021 inaonysha kuwa wateja wa M-Pesa...
  13. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu simu

    Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo la mwisho ni Huawei p 10 lite Chief-Mkwawa msaada tafadhali
  14. ragin

    JamiiForums Tanzania Angalia namba zako 3 za mwisho za simu zina maanisha nini

    mimi 111😂😂😂
  15. kagombe

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza hii simu

    Nauza simu bei poa Nimu ni Nokia original Model 1280 Nataka tsh 25000/= 0679 100 690
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa makampuni ya Simu, Tigo, Vodacom, Airtell, Halotel etc: Kama mnaweza tutengenezee VIBUBU vya kwenye simu/Mtandao

    My point is this: Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa. SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
  18. Aizi Azma

    JamiiForums Tanzania Airtel "Imeolewa" na Diamond - lakini Je, huduma zimeboreshwa?

    Nimeamka asubuhi nikakutana na ujumbe kutoka kwa rafiki yangu ambae ni mfanyakazi wa Airtel (TSM), akiwa amenitumia Tangazo jipya la Joti. Nikatabasamu kwa kuwaza kwamba Airtel wamefanikiwa kumnyofoa Joti kutoka Tigo; nikawaza au labda huyu muwekezaji mpya alieingia Tigo amechagiza jamaa...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Msukuma wa Ushirombo na Afisa wa FFU kwenye simu

    Mayaya Jembeulaya – Harooo… hapo ni Ghasia? Inspekta Marwa – Ndiyo, Fidi Fosi mkoa wa Geita, mimi Inspekta Marwa, una shida gani? Mayaya Jembeulaya – Nimetoka Dsm nimekuta mtu anahujumu uchumi wa taifa, baghosha! Inspekta Marwa – Anahujumuje uchumi wa taifa? Mayaya Jembeulaya – Anaitwa...
  20. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA : Extension Kwenye Namba za Simu Huwa Zinakuaje Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu. Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana gani kwenye namba za simu wakuu...? Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thanks.
Back
Top Bottom