simu

  1. JamiiForums Tanzania Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

    Habari wadau wa JF! Naomba kuuliza kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya hili. Hivi tukifuta PICHA kwenye Simu huwa zinakwenda wapi? Kuna PRIVACY kweli kwenye vifaa hivi? Msaada kwa anajua
  2. JamiiForums Tanzania Wawili wakamatwa mkoani manyara wakiwa na pesa za kitanzania na simu 27

    Jeshi la polisi mkoani manyara linawashikilia watu wawili, mohamed said na diana lozi wakazi wa dsm kwa tuhuma za kukutwa na fedha taslimu za kitanzania wakihiswa ni za wizi na simu za mkononi 27 , katika nyumba ya kulala wageni mjini babati. Mwenye taarifa kamili tunaomba msaada.
  3. JamiiForums Tanzania Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

    Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi! Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?! Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi hapa namba za WhatsApp za Huduma kwa Wateja Mitandao ya Simu

    Airtel Customer Care WhatsApp Number Vodacom Customer Care WhatsApp Number Tigo Customer Care WhatsApp Number:0675-100-100 Halotel Customer Care WhatsApp Number: 0620100100
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

    😁
  6. JamiiForums Tanzania NEMC watoe mawasiliano ya kiofisi public wapewe taarifa nyingi kuhusu sehemu zenye uchafuzI wa mazingira uliokithiri

    Kazi nzuri ambayo inafanywa na Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) inatakiwa kuwa na mwendelezo. Uwepo wao umekuwepo kwa muda lakini yawezekana hawajasikika muda mrefu kwa kuwa hawakuwa wameamua kuonesha majkumu yao hasa katika kulinda mazingira ni yapi. Hivi karibuni jina la...
  7. JamiiForums Tanzania Amesema anaenda kusalimia ndugu, baada ya kufika hapokei simu

    Njia nzima tunawasiliana, najua anaenda kwa ndugu, meseji yake ya mwisho ni kua amefika, baada ya hapo hapokei simu. ni nini kitakua kinaendelea ndugu zangu? Nimejiridhisha na hata aliempokea ni mtu ambae nilikua namtilia mashaka, inaonekana amepiga ndege wawili kwa jiwe moja. Uamuzi mwingine...
  8. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Geita walalamikiwa kupiga simu Zimamoto mara kwa mara kuwasalimia Askari

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu simu yao haipokelewi. Mwenye namba ya CEO wao tafadhari anisaidie

    Hii Bodi ni bora ivunjwe isukwe upya. Wakati wa marejesho ya mkopo walizidisha miezi kadhaa kunikata. Nilipofika ofisini kwao wakasema niingingie online kudai kiasi hicho kilichozidi. Wangerejesha baada ya miezi 3 ( siku 90) tangia 3 Sept 2022 nilipo jaza hizo taarifa. Baada ya muda huo...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu cha simu ya kifo

    Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura. Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya. Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872. Asante.
  11. JamiiForums Tanzania Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

    Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi 1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi 2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi kuna simu janja ya kufuta msg juu kwa juu??!

    Salama humu. Kwenye hizi simu janja msg inapoingia inaonekana juu kwenye bar.Ukislide chini inaonekana kidogo siyo yote then kuna option pale ya 'mark as read' Swali lifuatalo ni je hakuna simu janja yenye option ya delete. Unajua huwezi kuzuia hii mitandao ya simu kutuma msg zao maana nao...
  13. JamiiForums Tanzania Apple yaongoza kwa mauzo ya Simu duniani, Samsung yaongoza Afrika

    Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolea na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha kampuni ya Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishi nafasi ya pili kwenye soko la Dunia nzima. Kampuni ya #Apple ikiwa na Simu za iPhone iko nafasi ya 2...
  14. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

    Amani kwenu wana jukwaa Direct kwenye mada… Wewe kama member Umewahi kujiuliza siku ukifariki nani ataishika simu yako? Wiki hii kuna taarifa zimetokea hapa jukwaani, zimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama na usiri wa JamiiForums members. Kuna thread humu baadhi ya watu wali-challenge...
  15. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Rukwa na Morogoro kinara kwa utapeli kwa njia ya simu

    Katika mambo yanayofikirisha sana , kwa mara zaidi ya tatu mfululizo mikoa ya Rukwa na Morogoro imeongoza kwa utapeli kwa njia ya simu. Swali la kuijiuliza ni: 1. Mikoa hii inakaliwa na wajanja wengi sana yaani matapeli? 2. wakazi wengi wa mikoa hii ni washamba sana kiasi cha kutapeliwa...
  16. JamiiForums Tanzania NIDA wahuishe taarifa za usajili wa namba za simu ziendane na zilizoko mitandao ya simu

    Nimefuta usajili wa namba ya simu tangu mwaka 2020, lakini hadi leo ukiangalia usajili wa namba zote zilizosajiliwa kwa namba ya NIDA, unaletewa na namba ambazo ulishazifuta, mbaya zaidi namba uliofuta unakuta imeshasajuliwa tena na mtu mwengine. Ushauri ni kua, NIDA wawe na utaratibu wa ou...
  17. JamiiForums Tanzania Watu wanaoishi karibu na minara ya simu wengi wao hawana Akili?

    Naomba mnisaidie hii kitu maana nimekuwa wakubwa eti kuna ukweli wowote?
  18. W

    JamiiForums Tanzania Nimekamata Ujumbe Katika Simu ya Mke Wangu Akimtumia Mama Yake Majina ya Wanawake Anaohisi Kuwa ni Michepuko Yangu, Nimeshangaa na Kufadhaika.

    Msaada wenu tafadhali. Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta. Majina haya...
  19. JamiiForums Tanzania Tigo yaongoza kwa simu za kitapeli Report ya Quarter ya 3 TCRA

    Report ya Quarter ya 3 ya mwaka 2022/2023 yaonesha Tigo kinara simu za kitapeli yaonesha pia TTCL kushuka sana kimapato na internate penetration
  20. JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

    Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…