simu

  1. JamiiForums Tanzania Fundi simu anahitajika, nina ofisi nahitaji fundi

    Fundi simu anahitajika kama kichwa ya habari inavyosema hapo juu,fundi ninae muhitaji ni fundi makini,anaejua kazi,anaejua majukumu ya kazi yake Maeneo yote mawili software na hardware. Japo matatizo ya software sio mengi lakini fundi mwenye anajua basic tips za kuondoa FRP,FLASHING TOOLS,nk na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza sana Polisi wetu kwa utaratibu mpya wa kumuita mtu kwa barua au kupiga simu

    Utaratibu huu wa polisi wa kumuita mtu kwa kumpigia simu au barua afike kituo cha polisi ni utaratibu mzuri sana kwani unalinda staha na heshima ya mtuhumiwa. Na ni utaratibu wa kistaarabu sana. It is a civilized form of summoning the accused person. Katika hili nawapongeza sana polisi. Mambo...
  3. JamiiForums Tanzania Maoni ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kuhusu tozo za miamala ya simu

  4. JamiiForums Tanzania App ya Tigopesa ni best kuliko App zingine za mitandao ya simu

    Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando. Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia fingerprint au face id kutokana device yako. Nini maoni yako
  5. JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS ya I miss you kwenye simu ya mpenzi wangu, nifanyaje?

    Chai ni tamu ikiwa ya moto, ikipoa sasa umeme na gesi vyote vikawa vimeisha ndio utajua hujui. Haya sasa, kwa mnaonifahamu ingawa mimi sio mwamba. Msaidieni mwenzenu apashe kiporo au?
  6. JamiiForums Tanzania Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

    Kijana David Ruya mkazi wa Tunduru Mjini – Ruvuma anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku. Baada ya kukamatwa mwanafunzi huyo mwenye umri wa miaka 12 alikana kuingiliwa kimwili na mtuhumiwa huyo, lakini baada ya vipimo ilibainika kuwa walisema...
  7. JamiiForums Tanzania 4G router ya kampuni gani ya simu inafaa kwa Smart TV

    Wakuu nisiwapotezee muda, kwanza kabisa nikiri kuwa sina utalaamu na mambo ya watoa huduma za mawasiliano hapa Tanzania hasa makampuni ya simu. Tatizo langu ni kuwa nilinunua smart tv na kuja nayo huku wilayani nikitegemea nitaweza kutumia intanet ya TTCL kupitia simu za waya kama vile...
  8. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, leo Julai 8, 2023 amesema kuwa tozo kwenye miamala ya kutoa pesa haijafutwa. "Tozo imefutwa kwenye utumaji ama usafirishaji wa fedha kupitia kwenye mifumo, ukituma wewe fedha kupitia kwenye simu yako kwenda kwenye simu nyingine, ile tozo tuliyokuwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Wilbroad Slaa: Viongozi wakubwa serikalini na CCM wapatao 38 wamenipigia kuniunga mkono katika kupinga uuzwaji wa bandari za Tanganyika

    Ameyasema hayo katika Club House. Amesema, wakuu katika serikali na wakuu katika CCM wamesema katika hili hakuna cha itikadi za vyama, dini, ardhi hii haina vyama bali ni ya Watanganyika. Wamemuhimiza asirudi nyuma katika hili. Nikiweka clip (link) Mods watafuta thread. Let me try
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kipande Cha Barabara Kuu Arusha-Moshi- Tanga, kina network ya simu njia nzima, safi Nape

    Nimetembea sehemu mbalimbali Tanzania, hasa katika Nchii hii ambayo ni huru, Maeneo Mengi nchi hii mtandao bado ni shida. Ila Cha ajabu Kuna route moja imenishangangaza katika njia zetu kuu zote za Barabara , nimeshangaa napata network Barabara nzima Kwa umbali mkubwa sana jambo ambalo si...
  11. JamiiForums Tanzania Umewahi kutumia VFD yaani kutumia simu kutoa risiti za EFD? Tupe experience yako

    VFD ni mfumo uliothibitishwa na TRA wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au kompyuta, huu mfumo ni Bora kabisa na rafiki kwa wafanyabiashara utakaokuwezesha kutoa risiti bila kikomo, Kupunguza garama kwa zaidi ya 50%, kutoa risiti za Softcopy na HARDCOPY, na sasa unaweza kutoa risiti ambayo...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali yaridhia kufuta tozo kwenye miamala ya simu

    Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Injinia Kundo Mathew amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Wizara hiyo chini ya Waziri Nape Moses Nnauye la kufuta tozo katika miamala ya simu. Naibu Waziri Kundo ameyasema haya leo July 04, 2023 akiwa katika ziara...
  13. JamiiForums Tanzania Nasikia Mkoa wa Pwani unajiandaa kuanza Kutengeneza Simu

    Yaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu. Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
  14. JamiiForums Tanzania Tsh. 300,000/- ipo mfuko wa shati, nani aniuzie simu yake iliyotumika?

    Naam pesa taslimu Tsh. 300,000/= ipo nahitaji kupata simu used kutoka mtumiaji wa Tanzania achana na hizi used from Dubai. Leta ofa yako tufanye biashara 🤝🏽
  15. JamiiForums Tanzania Naomba wanaume tuje tubuni mbinu mpya za kuomba namba za simu.

    Salaam! Imani yangu inaniambia Jf wengi wao ni watu mordenized ones......kwa heshima hii nawapa. Sasa naomba wakaka wa kisasa tubuni namna ya kuomba namba kwa hawa wadada. Hizi ni tabia za kijinga kwa wakaka washamba na limbukeni. 1. Kila demu anayepita unajeuza shingo au kumtolea mimacho...
  16. JamiiForums Tanzania Inawezekana kurudisha namba ya simu ambayo ameshasajiliwa mtu mwingine?

    Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine. Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali iweke asilimia 20% kwenye vifurushi na miamala ya simu itakayokwenda kwa mteja

    Watu wengi wamekuwa wakilalamika sana kuhusu kuhusu ununuzi wa VIFURUSHI na makato kwenye miamala ya simu wakiona kuwa wanapata faida ndogo hususani kwenye VIFURUSHI ukilinganisha na gharama wanayotoa! Naishauri SERIKALI waweke ASILIMIA kwenye gharama anayotoa MTEJA Ili irudi kwa MTEJA kama...
  18. R

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jinsi application ya simu inavyoweza kutatua tatizo la ajira nchini

    JINSI APPLICATION YA SIMU INAVYOWEZA KUTATUA TATIZO LA AJIRA - CAREER APPLICATION Utangulizi Upatikanaji wa ajira umekuwa ni changamoto kubwa kwa mataifa mengi duniani ikiwemo Tanzania. Hii ni kutokana na ongezeko kubwa la watu hususani vijana ambao huhitimu masomo yao huku nafasi za ajira...
  19. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tumeshusha mzigo wa Simu za Mezani na Simu nyingine zote pamoja na tablet

    Habari wakuu, Tumeshusha mzigo mpya wa simu simu zote mpya pamoja na used. Simu za mezani, unaweka laini yoyote inakaa na chaji si chini ya siku nne kwa matumizi ya nyumbani na ofisini. Tumeshusha tablet zenye keyboard na zisizo na keyboard kwajili ya watoto,watu wazima na ofisi. Bei za simu...
  20. JamiiForums Tanzania Pata Simu za Samsung Note 5, Toleo maalum linalodumu

    nchi ya China, inatengeneza bidhaa kwa ubora aina 2, kuna ambazo made for china (kwa matumizi ya ndani ya china ,zinakuwa imaa mno na mara nyingi hazina box. Pia kuna aia ya pili made for out of china(kwa kuuza nje ya China) zinakuwa na ubora wa kawaida na box. Leo natambulisha kwenu samsung...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…