Napenda kujua tafsiri ya expire date kwenye kadi ya simu

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
10,690
9,869
Napenda kujua tafsiri ya expire date kwenye kadi je? Ikifika muda huo nini kifanyike?

Na kama upo nje ya nchi itakuwaje? Na je? Siku namba yangu ya voda ikifungiwa au akapewa mtu mwingine vipi usalama wa maokoto yangu? Maana yake details zangu namba yangu ya voda inatumika wakati wa ku deposit through remitly.

MAJIBU TAFADHALI
 
CRDB na bank nyingine, expire date ukifika ile card haitumiki. Unaenda tawi lililo jirani wanakupa kadi mpya, ila account ile ile.

Laini ya voja sijui ila uwa hazi expire unless usiitumie musa sana. Kama vipi iweke hela ukiweka hela nasikia hawaifungii.

Na mwisho, uko hakuna fursa man tushike mkono wanao uku bado hakueleweki kama ulivoondoka aisee.
 
Kwa hiyo card iki expire naweza kuendelea deposit?
Kuhusu fursa zipo kama .......huchagui kazi.
Muhimu kukwepa marafiki vibwengo na starehe.
 
Attachments

  • 20230912_130557.jpg
    20230912_130557.jpg
    566.5 KB · Views: 1
Napenda kujua tafsiri ya expire date kwenye kadi je? Ikifika muda huo nini kifanyike?

Na kama upo nje ya nchi itakuwaje? Na je? Siku namba yangu ya voda ikifungiwa au akapewa mtu mwingine vipi usalama wa maokoto yangu? Maana yake details zangu namba yangu ya voda inatumika wakati wa ku deposit through remitly.

MAJIBU TAFADHALI
Napenda kujua tafsiri ya expire date kwenye kadi je? Ikifika muda huo nini kifanyike?

Na kama upo nje ya nchi itakuwaje? Na je? Siku namba yangu ya voda ikifungiwa au akapewa mtu mwingine vipi usalama wa maokoto yangu? Maana yake details zangu namba yangu ya voda inatumika wakati wa ku deposit through remitly.

MAJIBU TAFADHALI
Hiyo expire date ya SIMCARD huwa haina maana yeyote baada ya simcard yako kuwa activate kipindi kile ulipoinunua. Simcard ikishakuwa ACTIVATED tu dakika chache au masaa nachache baada ya kuinunua hiyo expire date yake inakuwa meaningless kwa mtumiaji.

Kama huwa hufanyi international calls au texts, Jitahidi kufanyafanya miamala hata midogo midogo, jinunulie salio toka m-pesa, kila baada ya muda fulani simcard haitafungiwa.
 
Shukran sana kwa kunitoa hofu
 
Mkuu,

Line za simu hufungwa kweli. Usidanganyike hata kidogo. Mathalani, kwa mitandao kama Voda, Airtel na Tigo, line isipofanya huduma yeyote kama kuweka salio, kufanya miamala ya Mobile wallet, ndani ya miezi mitatu na ikawa haipatikani basi wanaifunga na kumpa mwingine.

Hiyo imenitokea mara kadhaa na ilibidi niliporudi, nilienda kwenye ofisi zao. Nikawapa taarifa na hawajawahi kuifunga tena.

Kwa sasa unachopaswa kufanya ni kuwa, walau mara chache ndani ya miezi mitatu basi waambie nduguzo Bongo wakununulie hata vocha. Na iwe hewani kwa muda kidogo tu.

Hawataifunga. Sikushauri uweke hela maana kuna uhuni unafanyika sana. Wanapita nayo.
 
Back
Top Bottom