simu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki ambaye kila ukiona tu simu yake unajua ana shida na inakuwa kweli

    UMEWAHI KUWA NA RAFIKI AMBAYE UKIONA TU SIMU YAKE UNAJUA NI YA SHIDA. Taarifa mbaya kuhusu watu hao ni kuwa sio marafiki bali wanakutumia tu kwa maslahi yao mapana. SIFA ZA WATU HAO 1.Wakiwa hawana shida wanapunguza ukaribu kwako tena wanakuwa bize hatari. 2.Wakikaribia mazingira ya...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Nawezaje kucheza game ya kwenye simu yangu kupitia smart tv yangu

    Wakuu, Nina Smart tv hapa inch 32 ( Alitop ). Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-connect simu na tv Ili nicheze game kwenye simu ila display ionyeshe kwenye tv. NOTE: Tv ni Alitop , simu ni Infinix hot 20i
  3. JamiiForums Tanzania Upacha mpyq wa mgao wa namba ya simu na mpango kazi wa maokoto

    Wanawake Mungu anawaona unakuta kadada kana sura na muonekano wa kilokole, thubutu !!! Kachatishe Whatsapp au normal text ndio utajua wanawake ni mashetani yaliojificha kwenye miili ya watu. Sasa msitulaumu tukiwanyanndua na kusepa nina hasira kuna pisi nilikuwa na mpango wa kukaa yenyewe...
  4. JamiiForums Tanzania Dokta Greyson: Kula huku unachezea simu hupunguza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio Times Fm, amesema kuwa tabia ya wanaume kula wakati wanachezea simu zao hupelekea tatizo la nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kama Makonda ana uthubutu, ajaribu kumpigia Nape simu akiwa jukwaani

    Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine. Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea. Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi...
  6. JamiiForums Tanzania SSP. Selestino Sylvester: Kupekuwa simu ya Mwenza wako ni kosa la jinai

    Upo msemo unaosema kuwa ili ndoa iweze kudumu kwa muda mrefu, mke usishike simu ya mme wako, na Mme usishike simu ya Mke wako. Lakini kwa watu wengine Mke au Mme hushika na kuperuzi simu za wenza wao. Mkuu wa Polisi Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu SSP. Selestino Sylvester kwa wenza, amefafanua...
  7. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Energizer imeanza kutengeneza Simu ya Smartphone Yenye Uwezo wa kukaa na Chaji kwa Muda wa usiopungua Siku 50 bila kucharge tena

    Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako. Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Suluhisho tatizo la simu kukwama (ku-stuck)

    Habari zenu wakuu, Simu yangu (Infinix Smart 6) inakumbwa na tatizo la ku-stuck mara kwa mara. Nifanyeje kuondoa tatizo hili??
  9. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukosea muamala wa kiasi gani kwenye simu yako?

    Habari za jioni wana JF.. Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima.? Kwa upande wangu, nilishawahi kukosea kutuma kiasi cha elfu themanini ila kwa bahati nzuri ile...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna Uhalali au ulazima kwa kampuni za simu kutoa namba za simu za mtumba (zilizotumika na watu wengine walio hai au kufa)?

    Wasalaam wana JF Nilikua nachangia kwenye uzi mmoja uliokua unajadili ulazima wa kuhifadhi number za simu za marehemu, nikawaza kwa maandishi, JE KUNA SABABU GANI YA KAMPUNI ZA SIMU KUTOA NAMBA ZA SIMU ZA MTUMBA? Kwangu mimi, kumiliki number ya simu ya mtumba (iliyotumiwa na mtu mwingine aliye...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dakika 6 za simu ya Makonda kwa Bashe akidai utatuzi wa bei ya sukari

    Sikiliza Dakika 6 za Paul Makonda akiongea na Bashe kuhusu sukari kwenye video hapa Chini: Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewahakikishia Watanzania kuwa hali ya upatikanaji wa bei ya sukari itatengemaa ndani ya mwezi ujao akiwataka kutokuwa na hofu Waziri Bashe ameeleza hayo leo Januari 23...
  12. JamiiForums Tanzania Nimepoteza laini ya simu. Natoa ofa ya 100,000/= kwa mtu alieiokota

    Juzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni. Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo. Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed. Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 100,000/= #Nitaifuata hapo kwa Gharama za...
  13. JamiiForums Tanzania Line ya Simu Cm Card. imepotea Mtu ambayo ameokota. Kuna Offer Tsh 50,000/=

    Juzi nilidondosha Simu ndogo/Kitochi Nokia 3310.Mda wa saa Kumi jioni Maeneo ya Mwera darajani Kibada(Kigamboni) kabla ya kulikaribia Daraja Au Baada ya Daraja Mitaa hiyo. Hiyo line Ni ya Halotel inapasswed. Kama Kuna mtu ameokota Natoa Offa ya Tsh 50,000/= #Nitaifuata hapo kwa Gharama...
  14. JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali apiga Marufuku Watoa Huduma za Afya kuongea na Simu Binafsi Kazini

    Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu, ametoa agizo la kupiga marufuku matumizi ya simu na mazungumzo ya kibinafsi kwa watumishi wa afya wakati wa kazi katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Agizo hilo limekuja baada ya ongezeko la malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu udumavu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya mawasiliano ya simu mnapopunguza dakika vifurushi vyenu toeni taarifa pia

    Salaam humu. Kuna jamaa amekuja kwangu nimuungie kifurushi kwenye mtandao mmoja pendwa nikajifanya kama mjuaji sana na madoido yangu nikamuungia akaondoka zake. Baada ya dakika tano karudi analalamika nimemuungia kifurushi siyo chenyewe kuja kuangalia kweli dakika zimepungua nikatoa macho...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na simu haina bando la mawazo waweza stuka umelala saa kumi alfajiri, wewe ni mmojawapo?

    Muda huu ni saa tisa na nusu nipo kwenye internet tangu saa tano nilipoingia kitandani. Nahama mitaa ya reddit naingia youtube, naingia Twitter, naingia Netflix, sasa nimekuja kuchungulia JF Hali hii tunaipitia wangapi? MUHIMU: Sijaajiriwa nina biashara yangu nayoamua niende muda gani naotaka.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vituko nilivyomfanyia huyu demu kwenye simu jana hatawahi tena kunitafuta

    Mzuka wanajamvi. Huyu demu tulikutana naye njiani mwaka jana mwezi wa 8. Nikampiga sound aka tick. Akawa girlfriend wangu. Ila baadaye akaanza kiburi na mimi nilishaanza kufall in love. Hanijibu msg zangu hanipigii simu mara kwa mara kama mwanzo namuona yuko online WhatsApp lakini hanijali...
  18. JamiiForums Tanzania Suala vifurushi vya huduma za simu kupanda bila taarifa, nani anafaidika?

    Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka. Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda ampigia simu Waziri Silaa, amtaka akatatue migogoro ya ardhi Bunju

    Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho. Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
  20. JamiiForums Tanzania Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?

    Kwenye ulimwengu wa sasa kuna kipindi unachukua namba ya mtu na unashindwa kumsave kwa jina lake, sometimes husababishwa na majina kufanana au kutomfahamu vizuri aliekupa namba. Ni jina gani la ajabu umesave kwenye simu yako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…