simu

  1. JamiiForums Tanzania WanaJF, Msaada Tutani 🤔.

    Habari wanajamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Simu yangu imeleta mushkeri kidogo, najua kuna wataalam kwenye masuala ya simu. Tatizo hili nimeliona Asubuhi nilivyo amka, jana nilitumia simu mpaka mida ya Sita usiku, nilivyo itumia ikabaki asilimia 10%, hivyo ikabidi niweke...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Afungwa Kifungo cha Maisha Baada ya Kulipiwa Umeme (Luku) kwa Simu ya Magaidi

    Unakumbuka tukio la kigaidi lililotokea Kampala, Uganda wakati wa mechi ya fainali ya World Cup 2010, kati ya Spain na Holland? Tukio lile lilimfanya mtangazaji wa Radio Salaam FM ya Mombasa, Habib Suleiman Njoroge kuingizwa kwenye kesi ya ugaidi wa tukio lile, na sasa anatumikia kifungo cha...
  3. JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixel zina shida gani?

    Wadau wiki mbili zilizopita, dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua China plaza. Walipompeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla, wanajaribu kupasha motherboard kwa masaa 24 labda zitawaka. Juzi rafiki yangu, google pixel 7...
  4. JamiiForums Tanzania Ipo haja faini za barabarani zinazohusu speed kwenda automatic kwenye simu ya mmiliki

    Ili kuondoa mianya ya rushwa, mabishano nakadhalika. Polisi Usalama Barabarani wabaki kukagua mambo mengine, zitegwe speed detectors, ukizidisha mwendo message inakuja tu kwenye simu yako unapambana na hali yako, askari wapungue road wabaki vehicle inspectors tu na wakaguzi wa makosa mengine...
  5. JamiiForums Tanzania Simu inakata ku instal apk

    Jambo wa ndugu zangu Nakuja kwenu ku omba msaada Kama kuna mtu anajuwa solution ya SIM yangu Nina SIM yangu TECNO POVA aita ki ku instal application mpaka ni Download kupitiya Playstore tu
  6. JamiiForums Tanzania Ukikutana na abiria anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?

    Baadhi ya abiria wamekuwa na tabia hii ya kuchungulia kinachoendelea kwenye simu za majirani zao wanapokuwa kwenye usafiri wa umma bila kujali hawapaswi kufanya hivyo. Ukikutana na abiria kama huyu akiwa anachungulia unachofanya kwenye simu yako bila ridhaa yako unafanyaje?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?

    Naishi mbali na mke wangu, kila napompigia simu yake inatumika nifanyaje nimechoka?
  8. JamiiForums Tanzania Simu aina ya Samsung nimeidharau sana. Wenye infinix bakini nazo nafuu

    Yaani nimetumia hii aina kwa mara ya kwanza. Ina upuuz mwingi sana. App lazima uzipe ruhusa. Yaani ni kama upuuzi. Haya mambo ya katalog eti sijui kuonekana unamiliki uninga mtupu
  9. JamiiForums Tanzania Matapeli wa simu wamekuja na mbinu mpya

    Unatumiwa msg unaambiwa kama unahitaji mkopo jibu MAX kwenye hii msg halafu utapata mkopo was sh 3000. Ukijibu MAX unapata msg ambayo inasema umefanikiwa kupata mkopo. Halafu ukijaribu kuingia katika internet unashindwa. Line yangu ni ya TIGO. HII ni mara ya pili napata matatizo na TIGO...
  10. JamiiForums Tanzania Taliban wapiga marufuku wanawake kupiga simu redioni

    Taliban imepiga marufuku wasichana kupiga simu redion ✍🏻Kwamba wana hamsha ari za wanaume na kuwafanya wawaze ngono ✍🏻Inawaondoa wanaume kwenye mood wawapo kazini ✍🏻Kwamba dini ya Kiislamu si kwamba hairuhusu maumbile tu ya mwanamke kuonekana, Bali hata Sauti ya Kuvutia inamfanya Mwanaume...
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kutumia Simu wakati wa Kulala kunaharibu Moyo, Ubongo na Macho yako

    #AFYA: Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na Taasisi za All India Institute Of Medical Science (AIIMS) na Cleveland Clinic, Watu wanaotumia Simu za Mkononi 'Smartphone' wakati wa Kulala, wako hatarini zaidi kuharibu Afya za Moyo, Ubongo na Macho. Utafiti huo umeonesha matumizi ya Simu muda ambao...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Simu ya mkopo imepotea. Naipataje?

    Habarini za Asubuhi wana JF Niende direct kwenye jambo Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza simu ya mkopo, nawezaje kuipata? Sijapata msaada wa kutosha kutoka polisi pamoja na kampuni iliyonipatia mkopo

    Habarini za Asubuhi wana JF, niende direct kwenye jambo. Nilichukua simu ya mkopo ila ndani ya mwezi ilipotea (niliibiwa ) mahali, tar 24.2.2024). Ile simu kwa wakati huo wote kupitia google find my device ilikuwa inaonekana kwa dkk kama 30 hv kisha ikazimwa (wakatoa line, ikwa offline ndio...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jisajili sasa UWT kiganjani kwako kupitia simu janja yako popote ulipo

    JISAJILI SASA UWT - KIGANJANI KWAKO Jisajili kuwa MWANACHAMA WA UWT kwa kutumia Simu Janja (Smart phone) Yako popote ulipo mkononi Kwako. #UWTJisajiliKidijitali
  15. JamiiForums Tanzania Yusuf Bakhresa pokea simu ya Mudathir kabla mambo hayajazidi kuwa mabaya

    Mudathir wakati yupo Azam FC alikuwa mwishoni wa mkataba wake akaenda kuzungumza na uongozi wa Azam kuhusu kuingia mkataba mpya na akataka kuongezewa mshahara. Viongozi wa Azam FC na tajiri wao Yusuf Bakhresa wakamwambia sawa ila nenda tunajadili kisha tutakupigia simu. Baada ya muda akiwa kwao...
  16. JamiiForums Tanzania Hii Alert kwenye Simu ni Nini?

    Salaam Wadau, Siku za hivi karibuni nimekuwa nikipata hii alert kwenye moja ya simu zangu ninazotumia, simu yangu ni Redmi Note 12. Je ina maanisha nini? Cc: Chief-Mkwawa
  17. JamiiForums Tanzania Anayejua ubora wa smartphone za Kingkong

    Wakubwa naomba kwa mwenye uzoefu na hii simu anipe ABC nimeikuta sehemu nimependa tu ukubwa wa betri ila mambo mengine sijajua naomba kwa ambaye ameshatumia au anatumia anipe ubota/udhaifu wake
  18. JamiiForums Tanzania Mwanga wa Bluu kutoka Simu na Taa za LED za Ofisi Unaweza Kuwa 'Sumu', Wasema Wanasayansi

    Utafiti uligundua kwamba kufichuliwa kwa muda mrefu kwa mwanga mkali wa 'bluu' unaotolewa na simu za mkononi na taa za ofisi zenye taa za LED kunaweza kuwa 'sumu'. Kuwashwa kwa mwili na mwanga wa speshi ya bluu kwa muda wote kunaweza kuvuruga kazi za kawaida za mwili na kusababisha kutokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

    Habari wadau, Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
  20. JamiiForums Tanzania Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia?

    Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia .? If there's a phone in heaven , I could be in touch with my Grand-father ili kumjulisha kuwa yale mashamba yake makubwa tumeyauza na kujenga visima vya maji Kama alivyoacha ametuambia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…