simu

  1. Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  2. S

    Mwenye namba ya simu ya mkononi ya receptionist PSRS

    Habarini wadau naomba kwa mwenye namba ya mpokezi pale sekretarieti ya ajira anisaidie Juzi nilikuwa pale nilisahau kuchukua, lengo nataka niwe namwuliza maswala yangu ya ajira. Niliitwa katika taasisi hiyo nipeleke changamoto na malalamiko nilijibiwa vizuri ila tu nilichoona haswa nilipaswa...
  3. Je, hakuna uwezekano wa mitandao ya simu kuruhusu kufuta au kuhariri ujumbe mfupi (sms)?

    Sina ujuzi wowote kwenye masuala ya mawasiliano lakini najaribu kuwaza kama kwenye WhatsApp kila siku maboresho yanafanyika why not kwenye jumbe za kawaida za simu? Kwani hakuna uwezekano wa kutufanyia tuweze kurekebisha ujumbe tunaotuma. Kwa mfano mngeweka mtu aweze kuhariri au kuufuta kabisa...
  4. Warranty ya simu refubrished ina msaada kwa mnunuzi endapo muuza simu akikataa kuitimiza pale simu itakapohitaji warranty?

    Habarini wakuu wa tech Tanzania, Kulingana na nilivyouliza swali hapo juu kwa yule mwenye uzoefu aliyekwisha wahi kukutana na kadhia kama hiyo.
  5. Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

    Wakuu habari za muda huu, Kwa wale wajuzi wa simu naombeni mnipatie muongozo wa aina gani ya simu ninunue kwa bajeti ya 300,000/- mpya/used. Vipaumbele vyangu ni; 1. Battery nzuri at least kuanzia 2500Mah na kuendelea. 2. Simu iwe na display nzuri. 3. Iwe na camera nzuri. 4. Internal...
  6. K

    Msaada: Nawezaje kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu?

    Kwema, Msaada jinsi ya kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu. Yaani nikiwasha data matangazo ya hovyo yanakuja mara 1× bet, yaani ya hovyo hovyo tu. 😫😫😫 Msaada please.
  7. Nahitaji fundi mzuri wa kuflash simu

    Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash. Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa. Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi. Pesa ipo mfuko wa shati
  8. Mafundi simu (software) pitieni hapa

    Mafundi simu
  9. H

    Kutuma pesa mitandao ya simu ya Tanzania ukiwa Kenya

    Habari wana JF Naomba uzoefu Kwa mtu ambaye amekuwa akisafiri kwenda Kenya na ana akaunti NMB je akiwa Kenya aliweza kutumia huduma za kwenye app ya NMB mfano kutuma pesa kwenda mitandao ya simu? Kwa kifupi issue yangu iko hivi nina akaunti NMB nitaenda Kenya hivi karibuni nikiwa huko nitakuwa...
  10. Ogopa Mkopo wa simu Airtel ikishirikiana na Watu Credit, wamsababishia baba shida

    Wakati Baba anahudumiwa, aliambiwa atarejesha Tsh. 13, 600/= kwa wiki. Lakini Baba ametumiwa mkataba kwa njia ya mtandao, alipoufungua amekuta amesainiwa fomu yenye makato ya Tsh.14,300/= kwa wiki, tofauti na aliyofahamishwa, na mkataba haubadilishiki. Imekula kwa Baba.
  11. S

    Phone4Sale Nauza simu aina ya Samsung A04 used

    Habari wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, 👉 Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu. 👉 Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa isipokuwa tu haisomi earphones na badala yake huwa natumia earpod za ku-connect na bluetooth. 👉...
  12. Simu zinazotumia Teknolojia ya "3D Flaslight Level Camera"

    Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
  13. Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  14. N

    Balozi wa Palestina aliepo Tanzania awapigie simu HAMAS waachie watoto wetu waliotekwa na magaidi hao au arudi kwao Palestina

    Ndugu watanzania , Vijana wetu wawili waliomiongoni na vijana wengine waliopelekwa nchini Israel kwa ajili ya mafunzo ya kilimo wametekwa na kundi la kigaidi ambalo linaungwa mkono na palestina vijana hao kwa majina ni Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix Mtenga Taarifa hizi zimechapishwa...
  15. Rukwa kinara kwa majaribio ya Utapeli kupitia simu. Dar inaoongoza kwa usajili wa laini yawa ya 3

    Ripoti ya Takwimu za Mawasiliano Tanzania iliyotolewa na TCRA mwezi Septemba, imeonesha Mkoa wa Rukwa umekuwa Kinara wa Majaribio ya Utapeli kupitia simu ikiwa na Majaribio 8,450 kwa kipindi cha Julai hadi Septemba Hata hivyo kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Rukwa inashika nafasi ya 25 kwenye orodha...
  16. Ewe Mwanamke ambaye baada ya tendo tu unakurupuka na kushika simu yako

    Unamkata mmeo/mpenzi wako stim. Haiwezekani yani mwamba kajitahidi kusukuma mashine hadi jasho linamtoka. Wewe punde tu unakurupukia simu na kuingia kwenye makundi ya vikoba. Unakata stim. Walau pretend.. pitiwa hata na kausingizi kakinafiki...legeza sauti na legeza macho, hii itamfanya mpenzi...
  17. Kati ya simu tatu zinazopigwa, mbili ni za mtu anayetaka apewe pesa

    Wakuu hali ishakuwa tete,, mnafanyaje kuwakwepa hawa wapiga mizinga wanaoamini wao tu ndo wenye shida na maokoto.
  18. Tanzania ina Simu za Mkononi za Kawaida na Smart Phone zaidi ya Milioni 70.6 zinazotumika kila siku

    Kati ya Juni hadi Septemba 2023, kulikuwa na Vifaa 70,613,504 vya Mawasiliano ya Simu za Kawaida (Feature Phone) na Simu Janja (Smart Phone) zilizounganishwa na Mitandao ya Simu sawa na 83% ambapo Simu Janja zilikuwa Milioni 18.9 na Simu za Kawaida za Mkononi (Feature Phone) zilikuwa Milioni...
  19. Watu watatu wakamatwa wakiwa na simu 79 wanazotuhumiwa kuiba wakati wa Tamasha la Wasafi Festival

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, ACP Marco Chilya amesema kupitia Operesheni iliyofanyika hivi karibuni Jeshi la Polisi limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu (3) wote wakazi wa Dar-es- Salaam wakiwa na jumla ya simu 79 ambazo waliziiba katika Tamasha la Wasafi Festival lilifonyika Songea...
  20. Kiama cha marejesho nimechukua simu Infinix note 5 kwa wadaiwa wangu watumishi kama Serikali haiwajali na mimi sina huruma

    Sasa watumishi wanaokopa kwangu kwa riba watakiona cha moto mpaka akili ziwarudi pumbavu zao, marejesho yakichelewa sina huruma na hawa ngedere tukiwaambia waache ujinga wa kujilegeza hawataki. Awamu hii serikali mdebwedo hadi mseme ngedere nyie. Na ikipita leo ngedere watasaga meno niliwaambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…