Kuna wanawake ukiwaomba namba ya simu wanamajibu mabaya sana

Expensive life

JF-Expert Member
May 2, 2020
1,694
5,466
Dada zetu mbona mnatutenga sana sisi tusio na kitu? Sasa upwiru tutaupeleka wapi jamani?

Unakutana na mdada mzuri umevutiwa nae, kutokana na haraka alizonazo unaona bora niombe namba ya simu tutayajenga baada, majibu yake sasa.😀😀

1C1C28BF-E8CA-4B36-A76E-ED36F23695F0.jpeg
 
Sasa kwanini umnyime namba ya ofisi, si ungempa namba ya ofisi 😂
Hiyo ndio mbinu yangu pendwa, mpaka nimewahi kuumbuka mara kibao! Kuna mtu nilimpaga bwana, siku akaja sipo akaulizia namba ya ofisi akapewa... akakausha! Siku akaja akanikuta tena, akaniomba tena namba zangu huku akisisitiza nikamtajia, kuandika tu jina likaja la ofisi! Ilikuwa noma,aliniangalia akaondoka hakunisemesha chochote hadi leo naonaga aibu 🤣🤣🤣

Imefikia stage mpaka wenzangu wakiona mtu ananiomba namba tu wanacheka hawana mbavu maana wanajua anapewa za ofisi!
 
😂 si umwambie tu hapana mbona si wengine waelewa sana.
Nna jamaa yangu akiomba namba akanyimwa huyo dada atakoma kwa maneno ya kejeli
 
Hiyo ndio mbinu yangu pendwa, mpaka nimewahi kuumbuka mara kibao! Kuna mtu nilimpaga bwana, siku akaja sipo akaulizia namba ya ofisi akapewa... akakausha! Siku akaja akanikuta tena, akaniomba tena namba zangu huku akisisitiza nikamtajia, kuandika tu jina likaja la ofisi! Ilikuwa noma,aliniangalia akaondoka hakunisemesha chochote hadi leo naonaga aibu 🤣🤣🤣

Imefikia stage mpaka wenzangu wakiona mtu ananiomba namba tu wanacheka hawana mbavu maana wanajua anapewa za ofisi!
Naomba namba yako nifa
 
Back
Top Bottom