simu

  1. JamiiForums Tanzania Gawio la mitandao ya simu ni kero tupu

    Habari zenu Wanabodi? Natumai mpo vizuri, Niingie kwa mada, Kumekuwa na hizi SMS za mitandao ya simu wakituma Kiasi cha fedha ktk akaunti ya mtumiaji wakidai ni gawio, mara nyingi binafsi huwa napata Tsh 76, na hizi Tsh 200. SASA hoja yangu hapa, ni kuwa hii fedha haisadii kwa lolote kwangu...
  2. JamiiForums Tanzania Kulinda Vifaa vya Kazi vya Kampuni: Ofa Maalum za B2B kwa Simu na E-Devices

    Habari za kazi wakuu, Makampuni mengi sasa hivi yanategemea vifaa vya kidijitali kama simu (smartphones) na tablets kuendesha shughuli zao za kila siku—iwe ni timu za mauzo (sales team), madereva, au wasimamizi wa miradi. Lakini je, una mpango gani kifaa kikiharibika, kikiibiwa, au kikipata...
  3. JamiiForums Tanzania Alikuwa amejiandaa kunyanyua simu alipoona chawa kakataliwa live, akaenda zake kulala

    Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake. Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa taarifa nilizonazo ilikuwa inapigwa simu pale mlimani city

    Ila ndo hivo watu wakamwaga mboga. Wao si wamemwaga ugali. Hii miaka mitatu ni mingi sana. Pia pia alikuwa anatazama live.
  5. JamiiForums Tanzania Mtu unanuka njaa, bado unataka watu wakupigie simu. Ili iweje?

    Ciao, Huwa inashangaza sana kukuta mtu analalamika kuwa circle yake imemtenga kwa namna moja au nyingine baada ya kuyumba kiuchumi. Unakuta mwanaume mzima analia eti fulani sikuiz hanitafuti kabisa kisa nimefulia, bro? Sasa akutafute ili iweje? Come on. Mimi nakumbuka enzi izo najitafuta...
  6. JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika, waliokuwa hawapokei Simu zangu leo nimekuta missed call zao

    Katika maisha, tujifunze kuishi kwa maadili, heshima na adabu. Hata maisha yawe magumu kiasi gani, ukipata nafasi ya kupumua na kuona hatua moja mbele, usisahau kumshukuru Mungu. Kila mtu ana muda wake wa kufanikiwa. Wapo wanaowahi kufika kwenye mafanikio, na wapo ambao safari yao huchukua muda...
  7. JamiiForums Tanzania Nawezaje kukopa kupitia Mtandao wa Simu?

    Habari wakuu, msaada wa mawazo kuhusu jambo linalo nisibu, Mimi nimeajiliwa sehemu, Nimekaa kwa muda kias, Boss wangu, katika Makubaliano, ni kufanya kaz, huku nikihesabu mshahara wangu Hatimae mshahara umefikia 3 million sasa naona kuna namna anataka kuni dhurumu, Maaana naona tu miendo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini unaogopa kukagua simu ya mke/mpenzi wako?

    Usiogope kukagua simu ya mke/mpenzi wako kuna baadhi ya details za muhimu sana utazipata na utajishukuru sana.
  9. JamiiForums Tanzania Kozi ya Jinsi ya Kutengeneza Simu (Mobile Repair Full Course)

    Je, unatamani kuwa fundi wa simu mwenye ujuzi wa kitaalamu au kuanzisha biashara ya ukarabati wa simu? Kozi ya Jinsi ya Kutengeneza Simu (Mobile Repair Full Course) ya ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili kukufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kutambua hitilafu za simu...
  10. JamiiForums Tanzania NECTA mnaposema mumegundua majibu wametumia AI si bora mseme waliingia simu

    Majibu mepesi mepesi ni kama haya haya yanayoendelea kwenye serikali hii mbovu. Unapotangaza mumegundua kuwa majibu ni Ai. Mungesema wameingia na simu maana AI hakuna ya kichwa cha mwanadamu kikajibu kama ilivyo AI.
  11. JamiiForums Tanzania FiFA wafuta red card baada ya Simu ya Trump

    Katika hali ya kushangaza, Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limempa ruhusa mshambuliaji Folarin Balogun kucheza mechi dhidi ya Ubelgiji. Licha ya kadi nyekundu aliyopewa awali, FIFA imetumia mamlaka yake chini ya Kifungu cha 27 kubadilisha adhabu hiyo kuwa “kifungo cha nje” (suspended...
  12. JamiiForums Tanzania Unapendelea muonekano gani wa battery level kwenye screen ya simu yako?

  13. JamiiForums Tanzania Korea kaskazini imezindua simu ya kwa jina : 🇰🇵 DPRK Smartphone name Chongsong mean green pine

    Mzee kiduku kaona makombora hayalipi kwenye kuuza wala kuingilia ogomvi. Sasa kaja simu janja zake .Najiuliza hizi smart phone zake zinanyima uhuru wa habari usije shangaa nchi za maditekta wakazinunua ili wananchi wake watumie.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufikia hatua ya kuzima simu kwa siku nzima au zaidi kukwepa calls na messages ?

    Mimi nilikopa pesa kwa mtu wa kawaida, si taasisi. Nilivyochelewa kulipa nikagundua kuna watu kudai ni kipaji walichozaliwa nacho! Simu ikilia moyo ulikuwa unaenda kasi, Notification ikingia, hata kabla sijafungua nilikuwa nachoka, hadi alianza kuazima simu za watu wengine nikipokea nikisikia...
  15. JamiiForums Tanzania SIMU ZA MKOPO MAKAMPUNI MMEZUIA VITU VINGI MNO MTAKULA HASARA

    Simu za mkopo zimezuiwa features nyingi mno za muhimu ambapo kibongo bongo ni ngumu mtu kutumia simu bila kuzigusa. Njia kuu wanayotumia wakiona mtu analazimisha kufikia features hizo ni kuzuia kabisa simu yenyewe isitumike Kinachotokea ni kwamba mtu anatumia simu siku chache akiivuruga inakuwa...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Kuboresha Huduma za Utumaji Fedha Kupitia Mawakala wa Simu

    Hoja kuhusu Kuboresha Huduma za Utumaji Fedha Kupitia Mawakala Ningependa kutoa maoni yangu kuhusu huduma za utumaji fedha zinazotolewa kupitia mawakala wa mitandao ya simu. Kuna haja ya kuweka utaratibu bora zaidi utakaomwezesha mteja kutuma fedha moja kwa moja kwenda sehemu yoyote nchini...
  17. JamiiForums Tanzania Adui Yangu Anaitwa Simu

    Hii sio kawaida! Am cooked, ninetumia GB 10 za intaneti, just in a day(less than 10 hrs) kwa ku scroll pekee! Youtube Insta Fb Site za wakubwa(twice) Na hapo bado nimeenda kuchek mechi(means Kuna kama masaa sikushika simu) .. Kweli nahitaji social media detox, hii imesababishwa na being...
  18. JamiiForums Tanzania Simu za nyumba ni mtego unaomaliza pesa za watu

    Shtuka! Kitu unachotakiwa kuangalia kabla hujanunua simu ya "Mtumba" au ile iliyoandikwa "Refurbished" dukani. Watu wengi wakitaka kununua simu kali (kama iPhone au Samsung) kwa bei nafuu, wanakimbilia simu zilizoandikwa Refurbished (zilizokarabatiwa na kufungwa upya kwenye maboksi) wakiamini...
  19. JamiiForums Tanzania HOJA Msiweke namba za simu kwenye taasisi zenu ili hali mnaona kabisa hamna mpango wa kuzipokea na kuwasaidia watu wapate huduma, mnaudhi sana

    Nianze kwa kuwapongeza customer care wa kwenye private sectors Wapo very active kupokea simu na kutoa maelekezo ya huduma wanazo zitoa kwa wateja hapa nawajumuisha na customer care wa TANESCO. Nije kwa hawa customer care wetu hawa, wanaoweka namba za simu ili watu wapge wapate maelekezo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati wa maandamano ya ukombozi simu nyingi za wazazi zililia kuwaambia watoto wao wasitoke na wabaki ndani wasije wakauawa

    Hamjambo Wote! Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani. Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani. Nakumbuka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…