Gawio la mitandao ya simu ni kero tupu

Gawio la mitandao ya simu ni kero tupu

Bijang

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2016
Posts
393
Reaction score
788
Habari zenu Wanabodi?
Natumai mpo vizuri,
Niingie kwa mada, Kumekuwa na hizi SMS za mitandao ya simu wakituma Kiasi cha fedha ktk akaunti ya mtumiaji wakidai ni gawio, mara nyingi binafsi huwa napata Tsh 76, na hizi Tsh 200.

SASA hoja yangu hapa, ni kuwa hii fedha haisadii kwa lolote kwangu, ukija kusikia mtandao wakinadi, utasikia wametoa gawio la 2B, sasa si Bora wakateua watu wachache kwa kuangalia hata transaction nyingi na kubwa walizofanya Kisha wakawapa hata kuanzia 1M nakuendelea kuliko kututmia Sisi hiki Kiasi kidogo. Au kwamba wakituma Kiasi kidogo ndo hawakatwi Kodi kuliko Kiasi kikubwa.

Nawasilisha
 
Kuna kipindi nilipataga gawio la elfu 9 halotelo na hapo baada ya siku moja kupita nilipotoa hela zangu zote. Pumbav zao na za gawio nikazitoa hadi leo sijaweka hela tena
 
Habari zenu Wanabodi?
Natumai mpo vizuri,
Niingie kwa mada, Kumekuwa na hizi SMS za mitandao ya simu wakituma Kiasi cha fedha ktk akaunti ya mtumiaji wakidai ni gawio, mara nyingi binafsi huwa napata Tsh 76, na hizi Tsh 200.

SASA hoja yangu hapa, ni kuwa hii fedha haisadii kwa lolote kwangu, ukija kusikia mtandao wakinadi, utasikia wametoa gawio la 2B, sasa si Bora wakateua watu wachache kwa kuangalia hata transaction nyingi na kubwa walizofanya Kisha wakawapa hata kuanzia 1M nakuendelea kuliko kututmia Sisi hiki Kiasi kidogo. Au kwamba wakituma Kiasi kidogo ndo hawakatwi Kodi kuliko Kiasi kikubwa.

Nawasilisha
Hao ni matapeli na walaghai wasio na haya, serikali yenyewe ni aibu, utampatiaje mtu sh 76? Hainunui ht msg kwao! Wezi wasio na haya
 
Nahs wanautan na wateja wao..

Haiwezekan watume ahsubh.
Mtu unastuka usingzin unaona muamala umethibishwa usingz unakutoka ghafla kwa kujiulza kuna mtu kakosea kutuma nin?

Unafungua mesej chap unakuta umepokea tsh 56
 
Back
Top Bottom