Kama una simu na uko Dodoma naomba niuzie nimekwama kabisa. Masharti, uwe tayari kwenda kuandikisha polisi au kwa mwenyekiti wa mtaa au kwa mwanasheria kuwa tumeuziana simu.
Tecno Air, Tecno Phantom, Samsung J7, Infinix Note 5 nk.
Usiniambie una Tecno sijui ambayo dukani unauza laki moja au...