rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 17,305
- 24,210
Hii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa mashabiki.
Baadae akaja Shabalala pamoja na magoli mengi yalikuwa yanatokea kwake bado mashabiki wakaendelea kumpamba mpaka uongozi kila ukileta mchezaji anaonekana hafai, akaja Chama masifa mengi sasa hivi karudi amechoka ukiacha mechi na Azam aliyotolewa nyingi anabaki hadi mwisho wakati pumzi aliyonayo si ya kucheza muda wote.
Aliposajiliwa Libase Gueye wakaanza kumponda Mpanzu na tatizo hilo limehamia kwa Kibabage akicheza anacheza na jukwaa kiasi anapotakiwa kupiga pasi hapigi, anajiona muda mwingi anapaswa kushambulia matojeo yake sehemu yake inabaki wazi kulazimisha muda mwingi mabeki wa kati kucheza eneo lake.
Wa mwisho ni Kagoma, amekuwa akifanya makosa mengi hasa anapoanzishiwa mpira na kipa option yake ni kurudisha nyima na anaponyang'anywa anakimbilia kucheza rafu ila mashabiki ndio wanaongoza kumsifia matokeo yakr anashindwa kurekebisha mapungufu yake.