Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,996
- 5,615
Hapo vip!
Ni wazi yanga wanalijua hili ndio maana huwa wanacheza na marefa na sio kcheza na Simba.Yanga hana uwezo wa kuifunga au kutoka sare na Simba ila refa na waamuzi wa pembeni ndio huwa wanamfunga Simba au wanasare na Simba mfano darby iliyopita Simba amenyimwa goli lake la halali na waamuzi.pia darby zilizopita Simba amenyimwa penalty nyingi sana dhidi ya yanga ili tu watoke sare au yanga ashinde
Yanga wacheze na waamuzi na sio Simba kwasababu hawana uwezo wa kuifunga Simba