Baada ya k/koo derby :Mashabiki wa simba tunakwama wapi?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Toka kipindi cha kwanza hadi mpira unaisha naona comment nyingi zikiwa zinaelekeza lawama kwa wachezaji
Mzamiru Yasin na John Bocco

Napenda kuuliza hivi ni nini kosa lao?Maana huwa wanajituma lakini wengi wa mashabiki huwa hawataki kuwasikia.

Maoni yangu kwa mechi ya Leo alietua ni refa.
Japo wachezaji Rally Bwalya na kondeboy hawakuwa kwenye peak hasa first half
Pia kocha aone umuhimu wa kuanza na two natural winger maana angeanza Dilunga au kahata tunge tengeneza nafasi zaidi
 
Ole wenu.
Screenshot_20201107-133435.jpg
 
Dilunga huyu huyu..
Hata mzamiru muda wao ndani ya simba inabidi ukome..
Match moja wanabahatisha
Wakipangwa nyingine wanacheza hovyo

We jamaa umeongea bonge moja la point.
Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
 
Pila kuku pila sambusa za samaki.
Pila piza pila baga.
Pila egg chop pila keki za mayai.
Pila ice cream pila juisi ya kuku.

Alafu mechi inaisha tunapigwa.
pamoja na pila biriani lakini magoli kwanza,timu ufunge magoli ipate ushindi.
 
Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
Kwa majeruhi hayo yote umlaumu nani?
Je Leo Bocco kakosa goli la wazi?
 
Dilunga huyu huyu..
Hata mzamiru muda wao ndani ya simba inabidi ukome..
Match moja wanabahatisha
Wakipangwa nyingine wanacheza hovyo
Sizani maana kama nafasi zao zinatakiwa zizibwe na wazawa na wazawa wenyewe ndio akina farid Musa anakosa goli yeye na nyavu naona hatuhitaji tena usajili wa ndani maana tulionao ni bora zaidi
 
Kiukweli simba hatuna kocha hata kisaikolojia nilijiandaa simba tunapoteza hii game Boko huwa anapoteza nafasi nyingi, kagere majeruhi, Fraga majeruhi, Kahata nje, Mugalu nje kwangu mimi kupata draw ni faraja kwangu
Hakika ww unaujua mpira!Wenzako wanakomaa na refa na hawaoni ukuta mbovu wa Simba.
 
Leo mlikua mnakufa
Mna bahati sana, dadek eti pila birian.
Mtateseka sana msimu huu
Tumewaonesha leo kuwa kimataifa mtakula tano tano za kutosha na kikosi chenu kibovu
Mmpeta nafasi moja tu ya wazi aliyokosa Farid...

Penalt ya kupewa ndio unajivunia?
 
Toka kipindi cha kwanza hadi mpira unaisha naona comment nyingi zikiwa zinaelekeza lawama kwa wachezaji
Mzamiru Yasin na John Bocco

Napenda kuuliza hivi ni nini kosa lao?Maana huwa wanajituma lakini wengi wa mashabiki huwa hawataki kuwasikia.

Maoni yangu kwa mechi ya Leo alietua ni refa.
Japo wachezaji Rally Bwalya na kondeboy hawakuwa kwenye peak hasa first half
Pia kocha aone umuhimu wa kuanza na two natural winger maana angeanza Dilunga au kahata tunge tengeneza nafasi zaidi
Tukutane championship, zile hamsa hamsa zinarudi tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom