Kama mwanamichezo umegundua nini mechi ya Simba na Yanga

Yanga ilitakiwa kumaliza mechi first half,Mbinu za Cedric second half kuwaacha wale mababu kupumua ndiyo imetumaliza Yanga.

Si mbaya,matokeo ya sare kwa Yanga ni faida kuliko mikia
Mashabiki wa simba wanasema ilitakiwa washinde hata kwenye page ya simba wanajinadi. inasikitisha sana zile clear chance za farid zimenishangaza sana
 
Jinsi manara anavyo inadi simba ni tofauti na uwanjani.
mwangalie chama leo kafichwa na mukoko lakini mashabiki wanapinga ile tuzo aliyopewa tonombe hadi bashite amejitolea kumpa mo hussein
Yes,Hussein alicheza vizuri sana na alikuwa kikwazo kwetu, ila Mukoko alikuwa juu kidogo. Bashite amemiss kuandikwa tu kwenye headlines. Tshabalala alicheza vizuri kuliko wenzake ila hakumzidi teacher
 
Yanga ilitakiwa kumaliza mechi first half,Mbinu za Cedric second half kuwaacha wale mababu kupumua ndiyo imetumaliza Yanga.

Si mbaya,matokeo ya sare kwa Yanga ni faida kuliko mikia
Kweli Yanga hata kipindi cha pili wangecheza kama kipindi cha kwanza game ilikuwa yao.

Ila lile bus walilopaki nusra liwaangukie.
 
Yes,Hussein alicheza vizuri sana na alikuwa kikwazo kwetu, ila Mukoko alikuwa juu kidogo. Bashite amemiss kuandikwa tu kwenye headlines. Tshabalala alicheza vizuri kuliko wenzake ila hakumzidi teacher
Mukoko alisaidia sana kuzuia, alipakimbia katikati akawa kama beki namba 4
 
Mashabiki wa simba wanasema ilitakiwa washinde hata kwenye page ya simba wanajinadi. inasikitisha sana zile clear chance za farid zimenishangaza sana
Kwani nafasi za Bocco hukuziona? Dilunga hata Chama pale mwishoni badala ya kupiga shuti akapiga chenga ndani ya box akapoteza
 
Chama kala buti sana leo cha kushangaza refa alikuwa anaangalia tu. Sio.chama tu hata Luis wamemkanyaga sana
Nasubiri kamati ya masaa 72 kuhusu Chama kukatwa na mustapha bila kuwa na mpira kwa kifupi nimegundua yanga ndio wanaongozwa kwa kubebwa na marefa na kupewa penati zisizo halali nawasubiri waandishi wao wataandika nini
 
Utopolo mnaleta mbinu za Morinho,Simba wangekuwa makini kwenye umaliziaji sasa hivi kungekuwa na msiba mkubwa Jangwani.
 
Back
Top Bottom