simba

  1. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu kuelekea Simba v Al Ahly | "Total war - Point of no return"

    “Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati yetu Simba na Al Ahly kutoka nchini Misri itapigwa saa 10:00 jioni siku ya Jumanne Februari 23, 2021. Ni mechi kubwa sana kwa Simba, Tanzania na Afrika Mashariki.”- Haji Manara . 🖋️ “Mabingwa wa Afrika ambao wametoka kushiriki ubingwa wa dunia wamefanikiwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Form ya Simba na Vita kuelekea mpambano wao

    Hii ndio "form" ya Simba na Al Ahly kuelekea mpambano wao tarehe 23/2/2021. Yaani matokeo ya mechi kadhaa kabla ya mpambano wao na matokeo ya mipambano yao kadhaa yaani "head to head". FORM ALL All Home Away Feb 12, 2021 VIT 0 - 1 SIM W Feb 07, 2021 SIM 2 - 2 AZA D Feb 04, 2021 JIJ 1 - 2 SIM W...
  3. M

    JamiiForums Tanzania "Form" ya Simba na ile ya Al Ahly kuelekea mpambano wao

    Hii ndio "form" ya Simba na Al Ahly kuelekea mpambano wao tarehe 23/2/2021. Yaani matokeo ya mechi kadhaa kabla ya mpambano wao na matokeo ya mipambano yao kadhaa yaani "head to head". FORM ALL All Home Away Feb 12, 2021 VIT 0 - 1 SIM W Feb 07, 2021 SIM 2 - 2 AZA D Feb 04, 2021 JIJ 1 - 2 SIM W...
  4. JamiiForums Tanzania Wachezaji Simba SC waoga hela, kila mtu alamba $5,000

    Simba Sc ndio habari ya dunia
  5. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga: Simba SC zinacheza hela, sio wachezaji

    Hawa watu wanahitaji msaada wa kisaikolojia. TFF watoe onyo kwa Yanga na mashabiki wao,ipo siku watasababisha vurugu kubwa sana itakuwa too late. Wasiachwe hivi. Kwa upuuzi huu kuna siku watakuja kuzua vurugu kubwa. Cheki tofauti kabisa na mashabiki wa Simba Sc,ni wastaarabu...
  6. JamiiForums Tanzania Simba wamepewa ulinzi

    Tunashukuru serikali kupokea Ombi letu la Wana wa Msimbazi kupewa ulinzi. Sasa mashabiki wote wa Simba jiandaeni kwa ulinzi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC mliokaribu na Beki Mohammed Hussein Tshabalala nisaidieni Kuniulizia hili Swali langu Kwake tafafhali

    Kiwango chake cha Uchezaji kwa Siku za karibuni si tu Kinashuka bali Kinaporomoka vibaya mno hadi naanza Kujiuliza Maswali mengi na kupatwa na wasiwasi. Tshabalala sasa amekuwa Mzito Uwanjani, hakabi kama Kawaida yake, hasa Kasi yake ile, anapitika Kiurahisi sana na Washambuliaji lakini pia...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa Al Ahly hii ya Klabu ya World Cup, hata Mungu hawezi kuisaidia Simba SC

    Kwanza kabisa mimi ni msimbazi damu. Ukinikata damu yangu ni nyekundu kama bendera ya simba ilivyo. Nimeangalia mechi zote za FIFA Club world cup Qatar hawa waarabu hawana masihara. Bora Ahly iliyopita ila siyo hii ya iliyoshika nafasi ya 3 kwenye mashindano hayo Msimbazi tuanze kujipanga...
  9. JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Afrika: As vita club 0-1 Simba dimba la Stade de Martyrs 12/2/2021

    Naaaaam Barabara kabisa, Ndugu wadau wa Michezo wa hapa Jamiiforums na kwingineko karibuni katika Live updates(Matukio Mubashara) kutokea hapa Kinshasa katika Dimba la Stade De Martyrs, uwanja wa nyumbani wa Timu ya AS VITA CLUB ambapo kuna "patashika nguo kuchanika" au unaweza kusema kipute...
  10. JamiiForums Tanzania Simba kukosa nyota wanne kwenye mchezo dhidi ya AS Vita

    Kikosi cha Simba sports kimeondoka siku ya Jumannne kuelekea DR Congo kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita Club. Mchezo huo ambao utapigwa siku ya tarehe 12 Ijumaa, Simba anaingia kwenye mchezo bila nyota wake wanne, wachezaji hao ni Erasto Nyoni, John Bocco, David...
  11. JamiiForums Tanzania Nini Simba ifanye kuvuka group stage ya CAF CL

    Ijumaa hii Simba ataanza kampeni yake ya kutinga robo fainali ya CAF CL kwa kumenyana na AS Vita Club ya DRC katika uwanja wa mashujaa pale Kinshasa. Pambano la mwisho uwanjani hapo alipoteza kwa 5–0 lakini mambo mengi yamebadilika katika vikosi vya timu zote mbili. Vita Club waliuza wachezaji...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kupooza kwa Bunge ndio kuliwafanya wachezaji wa Simba SC walale usingizi Bungeni?

    Kuna picha nimeziona kupitia Clouds TV zikiwaonyesha wachezaji wa Simba wakiwa wamelala usingizi bungeni wakati kikao kinaendelea na wao wakiwa ni wageni wa Spika. Ingekuwa aliyeuchapa usingizi ni mchezaji mmoja nisingeanzisha uzi wa swali lakini ni zaidi ya wachezaji watano na mmoja...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu hasa za Simba kuingia Bungeni ni zipi ?

    Mwenye majibu anieleweshe
  14. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona kichekesho kama hiki cha Simba SC

    Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati? Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi. Simba Super Cup: BINGWA (Simba) Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba) Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba) Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba) Mchezaji bora mechi ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs TP Mazembe, ila nna hofu Leo jamaa wanaondoka na Konde Boy!

    Mlio uwanjani ,mtuletee updates! Ila ninahofu Hawa jamaa leo wanaondoka na Konde Boy ...Kama walivofanya kwa Samata
  16. JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez CEO wa Simba SC nakukubali kiutendaji, ila acha kumdharau Senzo Mazingisa kwani hujafikia hata 15% tu ya uwezo wake

    BARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu" Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa. Nimesimama imara, najiamini kwenye uwezo wangu, Kama mtu anatafuta sehemu ya kuji-brand, namuona mtu huyo ni...
  17. JamiiForums Tanzania CEO Simba SC: Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi

    "Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo na kuna baadhi ya wanasheria wanatusaidia kwenye hiyo kesi. Naona Yanga bado wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi. Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado...
  18. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Azam Tv juu ya kurusha mechi za Simba Sc

    Kutokana na pira biriani kuku linalooneshwa na Mnyama pamoja na usajili wa viwango vya SGR, Tunaomba uongozi wa Azam media uhamishie mechi zetu ktk channel ya ESPN1 au ESPN2 Kuendelea kurusha mechi zetu ktk channel za Azam Sports ambapo Uto a.k.a chura nae anarushwa humo humo ni kutoitendea...
  19. JamiiForums Tanzania CEO Simba Sc: Tulitaka kuwaalika Yanga Simba Supercup lakini wakakosa vigezo

    Dar es Salaam. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez amesema walikuwa na wazo la kuishirikisha Yanga katika mashindano yao ya wiki moja ya ‘Simba Super Cup’. Mashindano hayo ya Simba yanayoshirikisha timu tatu pekee yanatarajiwa kuanza kesho kwa wenyeji kuwaalika TP Mazembe, kabla ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

    Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…