Tusidanganyane, Hakuna mchezaji mzuri sana ambae hakuonwa na timu kubwa za Ulaya, Afrika Kaskazini au Afrika Kusini. Ukiona mchezaji anakubali kuja kucheza kwenye ligi yenye viwanja vibovu kama Mkwakwani, Mabatini, Manungu, Kambarage au Lake Tanganyika ujue kuwa huyo ni mchezaji wa kawaida sana...
Mhadhiri na mhutubu maarufu Dr Sulle amedai kuwa maneno ya aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya @simbasctanzania Haji Manara yalikuwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya timu hiyo na wala sio kuwa watani wao wa jadi Yanga walikuwa hawana timu lahasha.
Dr Sulle anaamini #simbasc msimu ujao haitakuwa...
Team zote zinasajili na kutangaza sajili zao ila club ya Soka ya Simba Tanzania zinasikika tetesi ila hazikamiliki!
Je hiyo ndo professionalism au? Maana dunia nzima hata huko ulaya kuna hekaheka na wadau wanasikika lakini he sie Simba ndo tumekua proffesional kuliko hata huko ulaya...
Kiufupi ule ubabe wa Yanga aka uto in dhahiri umerejea. Naona wengi sasa wanasimba tunawabeza lakini ukweli tusipoangalia hawa jamaa wanakuja kuchukua mafanikio yetu.
Kumbuka tuna wachezaji umri umewatupa kama John Boco, Onyango wakipata injury tu basi tumekwisha msimu ujao.
Tatizo la huu mjadala yeyote anayehoji kuhusu Mambo ya kimkataba anaonekani ni Chura au utopolo na kuzimwa ghafla. Wanasimba tumeamua kutia Pamba masikioni kama tuko kwenye honeymoon tukifurahia mahusiano. What about the Dark days?
Tuliambiwa katika kanuni za huu mchakato wa uwekezaji wa Klabu...
Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote.
"Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna...
Katika mambo yote yanayohusu matumizi ya fedha huwa kuna pande mbili. Upande wa mnunuzi wa pesa 'Buy side' upande wa muuzaji wa pesa 'Sell side'. Kwahiyo tayari hii ni transaction kamili kama vile ilivo mtu unavoenda dukani kununua mkate, mnunuzi unahitaji mkate ili ukanywe chai na muuzaji...
Binafsi nilimsikiliza Mohamed Dewji kuhusu utoaji wa 20 billion za hisa 49%. Huyu Bwana anaonekana anatoa hela lakini ananung'unika na kulalama kama vile mtu anaelazimishwa. Anataka aonewe huruma na watu wasihoji chochote kwakuwa anatoa pesa. Yaani asiwepo mtu anayehoji kwakuwa timu inaleta...
Kanda ya Unaf washatoa mshindi anayeenda champions league ya wanawake africa , wana simba tuna matarajio makubwa simba ashinde zone ya cecafa huko nairobi next month na kukata ticket ila jana wameonyesha kiwango duni, matter of fact wameonyesha kiwango duni tangu siku ile wanacheza na twiga...
Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze kwa wapenzi wa timu ya Simba kwa support yao isiyokatika kwa timu yao.
Tumekuwa tukifuatilia...
Mchakato wa mabadiliko Simba umekamilika- Mo - "Time ya Ushindani (FCC) imeshatupa ruhusa, hivyo mchakato wa mabadiliko ya Simba umekamilika, tumepewa vipengele vichache vya kufanyia kazi kama kutoa fedha," - Mohammed Dewji.
====
MWENYEKITI wa Bodi ya wakurugenzi ya Simba, Mohamed Dewji "Mo...
Kwa tunaomjua Ezekiel Kamwaga ni Simba damu na ameshafanya kazi hadi za kujitolea pesa yake mifukoni enzi hizo hakuna cha Mo wala nani.
Kashafanya kazi hadi ya kuwa Kaimu katibu Mkuu, watu wakiwa hakuna timu haina hela.
Wengine watakaokuja kumuita msaliti huko baadae hata Dar hawaijui...
Kwanza niseme tu hewa imekuwa nyepesi mno baada ya kusikia manara kaondoka.
Mechi ya juzi kiukweli Yanga tulistahili kushindwa, Mukoko kitu alichofanya sio cha kiungwana kabisa na matokeo yake akaipa timu mzigo mkubwa wa kucheza pungufu, Ila bado niliona vijana walijitahidi licha ya kucheza...
Investment kubwa hapa dunian nikuwekeza katika watu.
Chadema haitoweza kufutika hapa Tanzanian kama ilivyo CCM hivi vyama, vitamake headlines mpaka mwisho.
Just imagine hawako bungeni lakini bado ni threat kwa serikali ya CCM.
Pendekezo amani ya nchi inabidi kupewa kipaumbele kwa kutoa Haki...
Je, ni Haji Manara ambaye baada ya Kuuamisha Umma kuwa anaonewa hivyo alitamani Simba SC ifungwe majuzi ili aje Kummaliza vyema Adui yake Kisha akaendelee zake Kupiga Pesa ASAS Diary, Azam Products na GSM au ni CEO Barbara Gonzalez ambaye pamoja na Shutuma zote alizopewa ila alichagua Kunyamaza...
======
Hajj Manara mwisho wake ni leo, Gsm poleni sana yuda iskarioti is out, Ezekiel ni kama vile anapewa miezi miwili ya transition ili kuendeshwa kitofauti na kusafisha u snitch ulisababishwa na tamaa za kuchukua mahela ya kuishi kifahari mjini.
=====
BAADA ya maneno mengi bila vitendo...
Hakuna Mtu wa Simba SC hasa hao Viongozi uliowataja wakiongozwa na Salim "Try Again' Wala Nahodha wa Simba SC John Boko aliyekushauri kuwa usifanye ile Press Conference yako uliyoiahidi bali dhamira inakusuta na roho yako ya Kinafiki inakutesa.
Kama hawa uliowataja hapa unawaheshimu na...
Huu ni upumbavu kabisa!
Aliekuwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera aliadhibiwa kwa kuvaa pensi
Kitendo cha Morrison kubaki na chupi nilitaraji kusikia Waziri husika, BMT na TFF vikikemea tendo lile
Mpaka sasa hakuna aliyeamka kuongelea inasikitisha sana sana
Unawaza shida n isimba ama shida ni...
Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC.
Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.