simba

  1. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kurudishiwa Viingilio vya Mechi Simba vs Yanga

    Sisi #thecommonwananchi tunauliza sijui sijaona mtonyo ukirudishwa wa ile game iliyochakachuliwa ya Simba na Yanga, sisi watanzania ni wazuri sana wa kusahau na kuvumilia mengi. Nawezekana uliwekwa utraratibu mwingine na wengine hatujui, tuna haki ya kujua au kukumbushwa manake juzi kati...
  2. tpaul

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba hatarini kupokonywa kombe; TFF kufungiwa na FIFA kwa sababu ya Yanga

    Jambo wakuu! Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha. Naomba niwatonye jambo moja la hatari linaloinyemelea soka ya Tanzania endapo TFF hawatachukua hatua zinazofaa kuepushia mbali hatari hii. Mechi iliyopita kati ya Simba na Yanga ilishindikana kuchezeka baada ya uongozi wa klabu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simba na yanga walipishwe kodi

    Kwa Mheshimiwa Waziri wa Fedha na Mipango.Kwa kuwa vilabu hivi viwili yaani Simba na Yanga (Young Africans) ni vilabu vikubwa vya mpira wa miguu tena vina wapenzi kwa mamilioni nazo zitozwe kodi kama biashara zingine zozote. Mpira ni biashara ndio maana wanaoingia kuwatazama wanalipa viingilio...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TFF isione noma kusema Simba SC tumezibabea timu 3 kushiriki CA

    TFF inasema timu zimeongezeka baada ya "Tanzania" kukusanya alama nyingi. Ni sawa, ila kwani kuna ubaya gani mkisema baada ya Simba Sc Lunyasi timu tishio Afrika na mabingwa watarajiwa wa CAF,kukusanya alama nyingi. Naiagiza Serikali itoe tamko kuipongeza Simba Sc
  5. Ghazwat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania Vs Simba SC (0-1) | VPL | CCM Kirumba

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara VPL Kuendelea kupigwa leo Juni 19, 2021 ambapo Polisi Tanzania wanawakabili Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama Mkali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jiji Mwanza. Kocha Msaidizi wa Polisi Tanzania George Mketo, amesema wamejipanga kuhakikisha wanaibuka na ushindi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchambuzi wa EFM Mwanayanga SC Jemedari Said: Yanga SC iache Unafiki kuhusu Mechi yake na Simba SC tarehe 3 July, 2021

    " Ifike muda sasa tuambiane ukweli tafadhali. Yanga SC waache unafiki na kutaka Kuwahadaa Mashabiki wao kwani wameshakaa na Serikali pamoja na Simba SC na Kukubaliana tena hadi kwa Kusaini kuwa watacheza huo Mchezo baada ya Kuahirishwa na Serikali iweje leo wanajitokeza Watu wengine pembeni na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa udhalilishaji wa kila mara wa gazeti la Mwanaspoti dhidi ya Simba SC, nashauri wana Simba tununue Championi tu

    Nianze tu Kwanza kwa kutoa ONYO KALI kwa Wewe Mhariri Mkuu wa Gazeti la Michezo la 'Mwanaspoti' ambaye GENTAMYCINE nakujua ndani nje na ni mwana Yanga SC ' Kindakindaki ' kuwa usipoachana ' Kutudhalilisha ' Simba SC usije Kunilaumu. Kichwa cha Habari cha 'Mwanaspoti' la Leo Jumatano tarehe 16...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC msipokuwa makini na hii 'Mind Game' ya Yanga SC kuwa hawatoleta Timu 03 Julai, 2021 tunaenda kuumbuka kwa kufungwa nao

    Nauonya Uongozi wa Simba SC na Wanachama mpaka Mashabiki wa Simba SC kuwa tuweni makini mno na hii Mbinu ya Nje ya Kisaikolojia ya Mchezo (Mind Game) inayofanywa na Yanga SC hasa kuelekea Mechi yetu nao tarehe 3 July, 2021 kwani tukienda nayo na tukaiamini na Kuwaamini Yanga SC naona Simba SC...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

    "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wa yanga wakataa kuingiza team uwanjani tarehe 3 july vs simba

    Wazee wa klabu namba 74 kwa ubora barani africa yanga sc wamekataa kuingiza team tarehe 3 july.Team hiyo ya mitaa ya twiga na jangwani ambayo kwa mujibu wa shirikisho la soka afrika ni ya tatu kwa ubora nchini nyuma ya simba na namungo kikawaida huwa ina utaratibu wa jadi na wa kihistoria wa...
  11. demigod

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

    Masoud Djuma (umri 28) akamilisha usajili wake ndani ya Yanga SC kwa dau la USD500,000 (Bilioni 1 & Milioni 150) Yanga imefanikiwa kuwashinda wapinzani wao Simba SC Tanzania baada ya offer yao ya USD 399,000 (Milioni 850) kutupiwa kapuni. Simba SC Tanzania ilimuhitaji Djuma kama mchezaji pacha...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu gani Simba kutangaza hadharani mambo ya ndani ya Jonas Mkude?

    Taasisi zote imara na kubwa huwa zina Mambo yao ya ndani ambayo ni ssiri! Kuna Siri kubwa na ndogo! Hata ktk familia usiri ni muhimu sana! Hii husaidia kujenga uimara na heshima kwa taasisi! Juzi tumesikia sakata la Simba naMchezaji wao Mkude .Kuwa eti anapelekwaa Hositali akapimwe (whatever)...
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jean Makusu na Kabangu nani atatufaa kwa simba hii yetu?

    Jean Makusu na Kabangu nani atatufaa kwa simba hii yetu? Makusu namwona kama soft soft hivi nawasikiliza wadau
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC wala msipoteze muda kumpima akili Mkude; matatizo yake makuu ni haya...

    1. Uvutaji Bange (Bangi) uliopitiliza na yupo Mtu hapo hapo Simba SC (namhifadhi) ambaye alimzoesha Kuvuta na mpaka akawa anamnunulia. 2. Umalaya uliopitiliza kiasi kwamba mpaka hivi sasa ana Mahawara Watano ila kuna Mmoja kampangia Kawe (jirani na Ukuta wa Lugalo) ndiyo amemuharibu kabisa...
  15. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF Club Ranking: Simba SC yasogea Top 10

    Timu tishio Afrika Simba Sc inazidi kujikita kuelekea kuwa timu Kigogo barani Afrika. Ilipo Yanga waulizwe Yanga wenyewe Goo Simba Goo Goo Mo Dewji Goo
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitendo cha Simba kutaka kumpima akili Mkude ni udhalilishaji

    Ni kweli Mkude anayo Makosa ya utovu wa nidhamu, lakini kitendo cha kumpeleka Muhimbili kumpima akili ni kumdhalilisha sana. Kwanini wasimuondoe tu ikiwa wanadhani haendi sawa na utaratibu wa Simba?
  17. Ghazwat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League VPL | Ruvu Shooting Vs Simba SC | Uwanja wa CCM Kirumba

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Juni 3, 2021 ambapo Ruvu Shooting wanawakabili na Simba SC kwenye uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Simba SC anaingia kwenye dimba akiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza kwa bao moja kwa bila dhidi ya Ruvu...
  18. BASIASI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasongo acha vitisho, Yanga hatujui kudanganya msimamo hatuchezi na Simba

    Nianze kwa kumpongeza Kaka Bumbuli. Nimeona sehemu Mwenyekiti wa Bodi anatishia viongozi wafuate kanuni. Haramu huliwa na haramu Mmeacha kufuata kanuni kama BODI nani mtamwongoza acheni VITISHO nawambia wana Yanga msinunue tiketi za Mechi Yanga walishamalizana na Simba mkinunua yanawatokea...
  19. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga hawaitambui mechi vs simba ya tarehe 3 July..

    Watu weweeeeee watu utoooooo people sema utooopoloooooooooooo,dadeki hatari sana hawa watu yaani ile mechi ilihairishwa na wizara inayoongozwa na mwanachama wao waziri bashungwa lakini lawama zote wanaangushia jumba bovu wasiohusika jameni tarehe 3 hawa jamaa wanakimbia tena.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

    Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia. Tafadhali upesi sana Simba SC...
Back
Top Bottom