simba

  1. BASIASI

    TFF na Simba SC andaeni faini za Kigoma na mjiandae na kipigoo kingine, hatuwaachi

    Baadaaa ya yanga kupigwa faini Naomba tuwajulishe TFF na Simba SC yao mwendo ni uleule Mjiandae Kigoma na faini zingine. Yale mabomu mnayotegaga mi Langoni tunayalipua mwanzo mwisho Hivyo basi andaeni na faini ya kigoma kipigo kilekilee Kauli mbiu-kigoma Fainiiii ijeeeeee Kipigooooooo...
  2. GENTAMYCINE

    Poleni wana Simba SC Wenzangu kwa Goli lile la 'Kubabatiza' na Kupaki Kwao 'Kontena', ila Mwanaume 'Hatairiwi' mara mbili

    Nilipumzika kidogo kama kwa miaka Mitatu kuwa katika Kamati ya Utamaduni ( Ufundi wa Jadi ) wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa 'Dharau' zinazoendelea hapa mjini sasa 'Mwanamume' narejea Kazini na leo GENTAMYCINE nasema Kitakachowapata Yanga SC huko Kigoma tarehe 25 July, 2021 kitakuwa ni...
  3. Chizi Maarifa

    Sisi Yanga tunashukuru tena Msimu huu Tumefikia lengo letu kumfunga Simba. Hilo ndilo lilikuwa kubwa kwetu

    Nadhani Simba bado mnaugulia kipigo. Poleni sana. Sisi tunaendelea na kufurahia na ushindi wetu dhidi yenu msimu huu. Hilo ndilo lilikuwa lengo letu kubwa na tunashukuru tumefanikiwa sana. Hayo ya Ubingwa si big deal. Wala hatuna presha na mpira au ligi. Tunaendelea ku enjoy ushindi wetu. Na...
  4. Ghazwat

    KMC FC Vs Simba SC (0-2) | Dimba la Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League (VPL) Kuendelea kupigwa leo July 7, 2021 ambapo Kinondoni Municipal KMC FC, wanawakabili Mabingwa wa Nchi Simba SC, kwenye Dimba la Mkapa Jiji Dar es salaam. KMC FC wanaingia Dimbani wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mkondo wa...
  5. demigod

    Wachezaji Waliopata Kuharibikiwa Wakiwa Simba SC

    Habari wana jamvi. Kuna orodha ya baadhi ya wachezaji ambao wanatarijiwa kuacha a Simba SC. Miongoni mwa wachezaji hao ni wale ambao waliokuwa wakifanya vyema katika timu zao za hapo awali. Simba SC imeetendeleza Tamaduni yake ya kuharibu Vipaji vya Vijana wa Kitazania, haswa kwa kuwahadaa kwa...
  6. Donnie Charlie

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League

    CAF inatarajia kukutana Morocco Julai 16 kwa ajili ya kujadili mfumo wa mashindano ya CAF Super League Timu zilizotajwa 🇲🇦Wydad, Raja, Berkane 🇪🇬Al Ahly, Zamalek, Pyramids 🇿🇦Mamelodi Sundowns, Orlando Pirates, Kaizer Chiefs 🇨🇩TP Mazembe, Vita Club 🇸🇩Al Hilal, Merrikh 🇹🇿Simba 🇬🇳 Horoya...
  7. P

    Msemaji wa Simba anapoinadi mechi ya Simba na viwalo vya New York Yankees

    Msemaji wa Simba alipokuja redioni kuinadi mechi ya Simba na Yanga majuzi, akiwa na advataizi ya mavazi ya timu ya mpira wa baseball ya New York Yankees
  8. M

    Wapenzi wa Yanga na Simba acheni kuvaa fulana za timu zetu wiki nzima

    Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
  9. Analogia Malenga

    TFF wasikitishwa na kauli ya Bashe kuhusu mechi ya Simba na Yanga

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu. Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa na kauli ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye alisema waamuzi wa mechi ya Simba na Yanga...
  10. Gepard

    Viongozi na Mastaa wa Bongo ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga

    Kama uzi unavyojieleza. Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa. Itapendeza zaidi akiwa ndani ya uzi wa club husika. Pia, Kama wewe ni shabiki wa Yanga weka like 👍 yako kama...
  11. M

    Hivi like goli la Yanga juzi Simba walijifunga au lilifungwa na Zawadi?

    Kwanza tuwapongeze Yanga kwa ushindi wa juzi ni furaha saaana kumfunga Bingwa mtarajiwa kwa Mara nne Mfululuzo, pia Robo finalist wa Klabu Bingwa wa Afirka, aliyewafunga finalist wa Mwaka huu Kaizer Chief na Al Ahl. Turudi kwenye mada, hivi lile goli la Utopolo, ambalo Zawadi alipiga shuti...
  12. Mnyuke Jr

    Mambo kumi (10) ya ali kamwe katika derby ya Simba na Yanga

    Anaandika @alikamwe Mambo 10 nilioyaona Simba vs Yanga 1: DAR ES SALAAM is GREEN & YELLOW 🟢🟡. WENYE NCHI NI WANANCHI🙌 Pointi 3 za HESHIMA. Pointi 3 za KIBABE. Yanga wanaweza kukosa Ubingwa, Lakini angalau wameweka alama isiyofutika kwenye moyo wa Rais, Mama Samia..👏 2: WHAT A MATCH! Yanga...
  13. M

    Simba vs Yanga na CCM vs CHADEMA

    Ipo hivi Simba ikiwa inacheza na mwadui FC na Simba ikashinda zomea zomea na maneno mengi yatarushwa kwa Yanga ambao hawahusiki na mechi husika ndivyo hivyo hivyo Yanga ikiwa inacheza na lipuli fc na ikashinda tambo zinapelekwa kwa Simba hali kadhalika wakifungwa tambo zinakuwa hivyo hivyo...
  14. Mohamed Said

    Yanga na Simba unazi wa zamani: Kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru

    YANGA NA SIMBA UNAZI WA ZAMANI: KISA CHA MZEE MANGARA TABU NA AYUBU KIGURU Nina rafiki yangu anaitwa Kazua leo asubuhi kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru. Wakati wa ujana wake Kazua alikuwa mkoba, yaani "centre half," wa Dundee United. Leo mimi na sahib yangu Kazua akitutokea...
  15. M

    Taarifa za uhakika nilizonazo Manara ndiye anaihujumu Simba SC kila ikicheza na Yanga SC atimuliwe

    Msemaji wa Simba SC Haji Manara binafsi nakuheshimu mno na nisiwe pia Mchoyo wa Kukusifia na Kukupongeza kuwa ndani ya Klabu ya Simba nawe umeweka Alama yako ya Mchango wako mkubwa wa Kuitangaza vyema Simba SC na kuwa Brand hivi ilivyo sasa. Hata hivyo Msemaji wa Simba SC Haji Manara leo...
  16. mdudu

    Wauza nazi wagomea kuwauzia mashabiki wa Simba

    Wakuu, Kunataaliga zilizosamba toka jana na leo kuwa,wauza Nazi masoko yote ya Dar walikataza kuwauzia Nazi wapenzi na maahabiki wa timu ya simba, ndiyo sababu ya kupoteza mchezo kwa watani wao wa jadi Yanga
  17. C

    Hata Abass Tarimba na Sportspesa yake wanaamini Simba anashinda hii game

    Atapiga sana makelele kuongea propaganda za uongo lakini ikija kwenye reality anakuwa mpooooleeeee. Tarimba anakuambia kwamba u ki bet laki moja kwamba simba anashinda, akishinda utapata 167,000 u ki bet laki moja kwa yanga wakishinda utapata 485,000, UNAJUA NI KWA NINI?
  18. Ghazwat

    FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

    Naaaam..! Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi. Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo unaobeba hisia za mashabiki wengi Tanzania na nje ya Tanzania kati ya Watani wa Jadi, Kariakoo Derby...
  19. BASIASI

    Simba wasijiamini sana, wataaibika kwa Mkapa kwa sababu hizi

    Derby ya Simba na Yanga inakaribia Najua wengisana wameichukulia upande mmoja yaan ushindi kwa Simba. Niweke wazi Simba isijiamini sana hi mechi inaweza shangaza wengi ulimwengu wa soka Si la kuficha upande wa kiwango watani wako juu sana sana Ila hili lusiwayumbishe niwajulishe tu Simba na...
  20. kavulata

    Mechi ya Simba na Azam kombe la FA ni ushahidi mwingine dhidi ya TFF na Simba

    Kama kitendo cha Morrison kunza mpira bila kusubiri amri ya mwamusi ni halali basi soka la Tanzania limefungua ukurasa mpya. Timu zitaiga kilichofanywa na simba. Hivyo, kuanzia sasa tutashudia magori ya vile. Hakuna atakae subiri filimbi ya refa tena. Mechi ile irudiwe kwa maslahi ya mpira wetu...
Back
Top Bottom