simba

  1. K

    JamiiForums Tanzania HATARI: Hakuna Corona Tanzania linapokuja suala la mechi ya Simba na Yanga

    Nimefuatilia uhamasishaji wa mechi hizi za watani wa jadi (Ile iliyopita juzi juzi) na hii inayofanyika Jumapili hii kule Kigoma. Maswali ni mengi kuliko majibu linapokuja suala la jukumu la Serikali kupitia Wizara ya Afya/Habari na michezo/BMT/TFF kuhamasisha wananchi wajikinge na hili janga...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hili suala la Tuisila Kisinda na Clatous Chama linanishangaza

    Huyu ni Clatous Chotas Chama. Huwa hana mbio sana. Ni mtembeaji tu Uwanjani. Ana assist 15. Angalia mwenyewe ASSIST ngapi? 15 na magoli mangapi? 7 kama sikosei Huyu ni Tuisila Tununu Tusinda. Huwa ana mbio sana. Ni mkimbiaji uwanjani. Ana assist 5. Angalia mwenyewe ASSIST ngapi? 5 na magoli...
  3. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Kumbe Perfect Chikwende amevunja mkataba na Simba

    Kwa mujibu wa kipindi cha michezo cha clouds fm cha asubuhi hii ya leo, Perfect Chikwende ameamua kuvunja mkataba na simba na kurejea kwao Zimbabwe ambapo kwasasa anafanya mazoezi na klabu ya fc Platnum. Simba mbona mnatufivha kwenye hili?
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba Sc Vs Namungo | VPL | Mkapa Stadium

    Mabingwa mara nne mfululizo leo wanakabidhiwa ndoo yao wakikipiga na Namungo FC. Hii ni katika mwendelezo wa kuchukua back to back 10
  5. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Fifa yaipongeza Simba

    Rais wa Shirikisho la Kimatiafa la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza timu ya Simba kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2020/2021. Katika barua yake kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia, Rais Infantino alisema kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Video: Swala alivyompiga kanzu Simba

  7. hiram

    JamiiForums Tanzania ELIMU YA HISA: Simba wakipata bil40 za Azam basi 49% ni za Mo Dewji

    Mfanyabiashara Mo Dewji anamiliki asilimia 49 ya hisa za Simba, Kama Simba watapata dili la kama la Yanga la bilioni 41 basi moja kwa moja asilimia 49 ya pesa hiyo itakwenda kwa Mo Dewji ambayo ni sawa na bilioni 20 na milioni tisa. Hisa ni nini? Hisa ni namna ya kuchanga mtaji wa biashara...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wakati Simba wanatembeza Kombe la Ubingwa VPL, Sisi Yanga tunamtembeza Mzee Mpili kwa kutupatia ushindi dhidi ya Simba

    Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa...
  9. mmh

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi namna ya kugawana pesa za Simba SC Tanzania

    Nimeona kuna wanajiita wachambuzi au wanamichezo wanapotosha makusudi ama hawajui haya mambo. Wanadai azam media wakiipa pesa Simba kupitia mkataba wa haki za matangazo basi mudi atakata 49% kinachobaki ndo kinaenda Simba SC Tanzania. Huo ni uongo na upotoshaji. Hesabu za kupata gawio...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Simba yaficha straika hotelini Dar

    Didier Gomes amewaambia viongozi kwamba ; “Iwe iwavyo namtaka yule rasta wa Mbeya City hapa.” Kocha huyo anamaanisha wanase saini ya straika Kibu Denis ambaye watani zao Yanga nao wanamfikiria. Habari za uhakika ambazo Mwanaspoti imezipata ndani ya Simba ni kwamba, Gomes ameonyesha mapenzi ya...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba alikataa ofa na kuwakebehi Azam. Je, Azam kalipa kisasi kwa kuipa yanga dau nono?

    Kama unafatilia haya mambo utakumbuka miezi michache iloyopita Mo ali weka post huko Twitter ya Manchester united kupewa mamia ya mabilioni kwajili ya haki miliki za matangazo, ni kwamba hii ishu ilitotoke baada ya azam kwenda simba kuomba haki ya matangazo kama alivyofanya kwa yanga ila sasa...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Simba imekua mara 3 ya pale dau lilipokua (bilioni 20), hivyo thamani ya club iwe mara 3 zaidi, sio bilioni 20

    Dau liongezeke basi maana Club imekua mara 3 ya pale ilipokua, na pia hio bilioni 20 kwa sasa si kitu, soka la Tz limekua saizi, si mnaona hata azam tu saizi wanatoa pesa kubwa mno kwajili ya haki ya matangazo tu kwa miaka kumi. Haiwekani Mo achukue kirahisi rahisi klab yetu yeye na familia...
  13. hiram

    JamiiForums Tanzania Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba

    Azam kwanye ile bil 40 yetu tunaomba mtutangulize 20 tuinunue Simba
  14. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Usajili Simba kuelekea 2021/2022 nani aondoke na nani aje?

    Simba ni timu bora Sana afrika hii, inawachezaji wengi wazuri sana linapokuja swala la usaji tunajiuliza aje nani na aondoke nani? Wa kimataifa wapo 11 ukiachana na Kahata, je nani ataondoka kati yao? 1. Medie kagere 2. Mugalu 3. Bwalya 4. Chama 5. Miquesone 6. Morrison 7. Tadeo Lwanga 8...
  15. C

    JamiiForums Tanzania CEO Barbra na wenzako hapo Simba SC ni kweli mna deal kubwa zaidi ya Azam TV?

    Habari ni kwamba mlikataa kulipwa hela sawa na utopolo (hapo nawaunga mkono kabisaaa) lakini milioni 200 kwa mwezi ni nyingi sana inaweza kutumika hata kuongeza mishahara ya wachezaji na technical benchi au hata kuanza kuelekezwa kujenga majukwaa uwanjani kule Bunju. sababu ya pili ni kwamba...
  16. BASIASI

    JamiiForums Tanzania TFF na Simba SC andaeni faini za Kigoma na mjiandae na kipigoo kingine, hatuwaachi

    Baadaaa ya yanga kupigwa faini Naomba tuwajulishe TFF na Simba SC yao mwendo ni uleule Mjiandae Kigoma na faini zingine. Yale mabomu mnayotegaga mi Langoni tunayalipua mwanzo mwisho Hivyo basi andaeni na faini ya kigoma kipigo kilekilee Kauli mbiu-kigoma Fainiiii ijeeeeee Kipigooooooo...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Poleni wana Simba SC Wenzangu kwa Goli lile la 'Kubabatiza' na Kupaki Kwao 'Kontena', ila Mwanaume 'Hatairiwi' mara mbili

    Nilipumzika kidogo kama kwa miaka Mitatu kuwa katika Kamati ya Utamaduni ( Ufundi wa Jadi ) wa Timu yangu pendwa ya Simba SC ila kwa 'Dharau' zinazoendelea hapa mjini sasa 'Mwanamume' narejea Kazini na leo GENTAMYCINE nasema Kitakachowapata Yanga SC huko Kigoma tarehe 25 July, 2021 kitakuwa ni...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sisi Yanga tunashukuru tena Msimu huu Tumefikia lengo letu kumfunga Simba. Hilo ndilo lilikuwa kubwa kwetu

    Nadhani Simba bado mnaugulia kipigo. Poleni sana. Sisi tunaendelea na kufurahia na ushindi wetu dhidi yenu msimu huu. Hilo ndilo lilikuwa lengo letu kubwa na tunashukuru tumefanikiwa sana. Hayo ya Ubingwa si big deal. Wala hatuna presha na mpira au ligi. Tunaendelea ku enjoy ushindi wetu. Na...
  19. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania KMC FC Vs Simba SC (0-2) | Dimba la Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League (VPL) Kuendelea kupigwa leo July 7, 2021 ambapo Kinondoni Municipal KMC FC, wanawakabili Mabingwa wa Nchi Simba SC, kwenye Dimba la Mkapa Jiji Dar es salaam. KMC FC wanaingia Dimbani wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa mkondo wa...
  20. demigod

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Waliopata Kuharibikiwa Wakiwa Simba SC

    Habari wana jamvi. Kuna orodha ya baadhi ya wachezaji ambao wanatarijiwa kuacha a Simba SC. Miongoni mwa wachezaji hao ni wale ambao waliokuwa wakifanya vyema katika timu zao za hapo awali. Simba SC imeetendeleza Tamaduni yake ya kuharibu Vipaji vya Vijana wa Kitazania, haswa kwa kuwahadaa kwa...
Back
Top Bottom