simba

  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kipa wangu wa JKT to Simba Aliy Salum alikuja na sifa hizi hizi kapewa thnkyu..jiandae kisaikolojia

    Leo nimeona thxkyu ya kijana mkoja alietutesa sana tanga Mungu fundi..tukampta bw mmoja toka jkt Bw huyu kuja bw ali saalum amepewa thxkyu Namkumbusha kipa wangu bora kabisa wa ssc uwe makini Hawao viongozi wa simba sawa na wajumbe Wanakusifia wewe ukiitika wanakugeuka kama alkysalum...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Yanga Kujiandaa Kuikabili Simba Kwa Siku Tatu tu Baada ya Siku ya Mwananchi September 12 Ni Dharau Kubwa Kwetu Simba, Lazima Tuwaonyeshe

    Yanga wana siku ya mwananchi tarehe 12, halafu baada ya siku 3 tu wanaikabili Simba kwenye ngao ya hisani. Je wameona mechi hiyo kwao ni mteremko? Je code zote za Simba bado wanazo ndio hawana presha Je ndio maana msemaji wao anaropoka tu akiwa na uhakika na anayosema? Je upinzani wa Simba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wana simba wenzangu kuleni kwa wingi karanga mbichi, mihogo na kupaka mkongo ili tukampe kichwa Ally Kamwe

    Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
  4. Shark

    JamiiForums Tanzania Crescent Magori Mwenyekiti Mpya Simba Sport Club

  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji amrejesha Simba Barbara Gonzalez kama Mjumbe wa Bodi

    Rais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na majukumu yake mengine na kutokuwepo mara kwa mara nchini. Kupitia taarifa rasmi, amesema ni muhimu Simba...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba heshimu mashabiki, kutoa maoni ni haki ya kikatiba

    Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
  7. A

    JamiiForums Tanzania BADALA YA KUIPUUZA KAGAME CUP, KWANINI SIMBA, AZAM NA YANGA WASINGEPELEKA JUNIOR SQUADS...HII INGEKUWA PRE-SEASON TOSHA KWAO

    Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo... Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi cup ni lazima waende iwe mvua iwe jua tena katikati ya ligi...Je ina maana SMZ wanaweka mzigo mkubwa...
  8. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Washabiki wa Simba amkeni, viongozi wenu wanawaburuza tena…

    Kuna kichaka baadhi ya viongozi wa hovyo wa timu hii wanajificha na hakina afya kwa jamii husika ya Simba Sports Club. Simba wamefungwa na Yanga zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Yanga wamebeba ubingwa zaidi ya misimu mitatu mfululizo. Lakini Leo hiii kuna wapenzi na washabiki ambao Mimi...
  9. This is...

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Simba vs Yanga

    Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA? SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe. Ila wajumbe siyo watu wazuri katika...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?

    Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu. Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye hiki kikosi cha Simba?
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Mbona Bei ya Kofia ya Mamelody (48,000tshs) ni sawa na bei Jezi ya SImba

    Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni ya ULAYA iitwayo PUMA(Ujerumani) Pia kwa mujibu wa Mghana Micky Jnr Jezi ya Esperance ni euro 84...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba wanamtangaza Diadora bure, viongozi hawajui thamani yao

    Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio diadora, Jayrutty ndo alienda nae kumsaka diadora amtengenezee jersey, kwaiyo mwenye haki ya kuonekana...
  13. 888I

    JamiiForums Tanzania Kwanini kulinganisha jezi ya Simba na Yanga?

    Vilabu vinazindua jezi nzuri.Swali ninalojiuliza ni kwanini vyomba vya habari mtandaoni, wanahabari mtandaoni na watu wengine mtandaoni wanalinganisha jezi za timu mbili tofauti wakihoji Jezi Gani Kali ? 😳 Huwa na maana Gani ? Binafsi nafikiri Haina mantiki yoyote kwani Azam mashabiki wake...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Tokea Fred Vunjabei aweke Jezi mpya za Yanga zilidoda ila tangia aweke Jezi mpya za Simba anauza hadi anachoka kupokea Pesa

    Yaani Jezi zitengenezwe Italia zisiuzike halafu zile zilizotengenezwa Tandahimba na kupigwa Chapa Tandale ndiyo ziuze?
  15. Mributz

    JamiiForums Tanzania NANGU ATUA SIMBA KUTOKA JKT

    🚨 𝐔𝐬𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐔𝐦𝐞𝐤𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐤𝐚: Wilson Nangu (22) amejiunga na Simba SC kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea JKT Tanzania. 🇹🇿✨ Kijana huyu mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi anatarajiwa kuwasili Dar es Salaam leo kwa ajili ya utambulisho rasmi. Atavaa jezi namba 31 akiwa na Wekundu wa Msimbazi! 🔴⚪...
  16. veyra

    JamiiForums Tanzania Manara Akanusha Taarifa za Kurejea Simba, Asema Moyo Wake Upo Yanga

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC. Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
  17. D

    JamiiForums Tanzania hizi jezi za Simba, mbele wapi? nyuma wapi? mbona hazieleweki.

    I will be short hizi jezi , mbona kama makengeza, mbele wapi, nyuma wapi?? mcheki kapombe amkuwa kama kanyongwa , ajulikani kageuka mbele au nyumA.
  18. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Simba tunawasubili mzindue na za kiume hizi mlizozindua mbona ni za kike tu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Asanten sana LONDON BOY
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Haji Manara kurejea Simba, na Ahmed Ally kupandishwa cheo

    Habari za uhakika ni kuwa Haji Manara amekubali kurejea Simba, Baada ya Rais wa Club hiyo Mo Dewji kumuomba msamaha sana ili arejee Haji Manara ilikuwa aonekane Leo kwenye uzinduzi wa jersey za Simba, lakini kutoka na malipo yake kutoka Kwa Mo Dewji kucheleweshwa, Sasa ni dhahiri tutamwona...
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Joash Onyango Ajiunga na Kenya Police FC, Umri Wake Wazua Mjadala

    Beki mkongwe mwenye jina kubwa katika soka la Afrika Mashariki, Joash Onyango, amezua gumzo mara baada ya kujiunga rasmi na kikosi cha Kenya Police FC akitokea timu ya Dodoma Jiji ya Tanzania. Onyango, ambaye amewahi kung’ara na miamba wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC na Singida Black Stars...
Back
Top Bottom