simba

  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Skauti wa Simba Mels Dalder ajiuzulu kwasababu haioni nafasi yake ndani ya Klabu

    Mels Dalder raia wa Uholanzi ambaye ni Chief Scout wa Simba ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kujiuzulu wadhfa wake ndani ya Simba huku akiweka wazi kuwa sababu hajioni kama anapita njia moja na mwelekeo wa Klabu kwasasa, yaani yeye ana vision nyingine ila kinachofanyika ni kingine...
  3. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Simba leo walau imecheza

    Game ya matola nimefurahishwa na uthubutu wake Wa kuanza na kikosi ambacho viungo washambuliaji ni aina ya viungo wanaoweza kukupa kitu IQ ya mpira,kupunguza watu kutokua na ubinafsi japo mpanzu Leo alikua anacheza kibinafsi kupumzishwa kwake ilikua ni maamuzi sahihi Combination ya mutale na...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga inaenda kuwa moja ya Teams kubwa Afrika. Simba mlikosea sana kumdindishia Rais

    Hili nawaambia mfahamu hizi teams si za Wananchi ni za Serikali. Kile kitendo cha Mashabiki wa Simba kujifanya wao ngangari kilimuudhi sana mhusika. Na alisema "haya tutaona" Hakuna kitu mtafanya Simba mfanikiwe hii nchi ina wenyewe na wenyewe ni sisi. Sasa jifanyeni hamchanganyi Mpira na...
  5. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Haijawahi kuonekana Simba mbovu zaidi ya hii ya leo

    I salute you kinsmen Hivi mnajua kuwa haijawahi kutokea Simba mbovu kuliko Hii ya leo? Yaani haina tofauti na mbwinde fc ya kwetu kilimagohe kimbiji. Nachelea kusema wale Gaborone ni kwamba walikuwa wabovu tu nao licha ya kutandaza mpira mwingi sana kama wao ndio wapo nyumbani na hata...
  6. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Walimpa kocha nafasi ya kusajili na bado kawakimbia, simba bado wana akili za kitoto.

    I salute you kinsmen. Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu, Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani. Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka. Hawajui kwa Africa hilo ni jambo impossible kabisa ila wakajifanya wapo Hispania la liga kumbe...
  7. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba bado inacheza kitoto sana

    I salute you kinsmen Kiukweli sisi mashabiki wa Simba tunaumia sana na team yetu. Licha ya fadlu kutukimbia bado tunazidi kuumia na performance yetu mbovu kwa hawa matapeli wawili Morocco na mwenzie matola. Kiufupi kadri upepo unavyovuma ndio nyeti za ndege zinaonekana haina haja ya kuficha...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF yaitoza Simba SC faini nyingine, kuchangisha mashabiki

    Klabu ya Simba Sports Club imekumbana na adhabu mpya kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) huku ikijiandaa kucheza mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Gaborone United Jumapili, Septemba 28, 2025, bila mashabiki na faini ya Dola 50,000 (takriban Sh123 milioni)...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Dili za Viongozi na uwoga ndizo zitakazomfanya Mgunda Asiwe kocha mkuu Simba

    Kwa makocha wote waliopita Simba ni yeye pakee ndio hupata matokeo mazuri. Ata akiwa na wachezaji wadogo kabisa. Lakini likija swala la upigaji kwenye mikataba, Juma Mgunda malipo yake yatakuwa ya kawaida sana. Sasa aje kocha wa kigeni aanze kukataa wachezaji dili za usajili zianze upya. Au...
  10. Think2

    JamiiForums Tanzania Kilichosababisha kocha Fadlu kuondoka Simba

    Kuna kiongozi mmoja wa Simba alimtisha kocha Fadlu Davids kuwa watamfukuza kazi kama Simba itakosa ushindi kwenye Mchezo wowote ule Ujao na kama timu haitocheza vizuri ndani ya mechi mbili zijazo. Hili lilimfanya kocha huyo kuhisi kuwa kazi yake HAIKO SALAMA na kuhisi kuwa anafanya kazi na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamebanwa hawapati tena percentage za usajili, wanasababisha ugumu kwenye mafanikio ya Simba

    viongozi waliopewa dhamana hawajali timu, wanachojali ni matumbo yao. Kwa muda mrefu viongozi walikuwa wakinufaika na 10 percent za usajili wa wachezaji, huo mlango umefungwa, kinachoendelea kwenye team ni visasi vya maksudi (bora tukose wote). hata kufungwa na Yanga mfululizo kuna viongozi...
  12. Think2

    JamiiForums Tanzania Makocha hao hapo sasa simba kazi kwenu

    Mnaotafuta Kocha kuna huyo Romuald Rakotondrabe pale Madagascar ✍️👊 Mwalimu sana huyu! Nabi Nessredine pia hana kazi kwa sasa✅ Jose Riveiro naye hakijaeleweka saaana ✅ Miloud Hamdi atafukuzwa pale Ismailia muda wowote wiki hii ✅ Wengine mnaoweza kuwatafuta: Miguel Gamondi - Singida Huwa...
  13. feyzal

    JamiiForums Tanzania SIMBA SC mnaua timu kwa kuendekeza ushikaji

    Wakuu habari. Moja ya shida kubwa inatugharimu sisi wanazi wa Simba kukosa furaha na timu yetu kutoeleweka ni kutokana mambo ya kuendekeza ushikaji na huruma za kipuuzi. Mfano zaidi ya misimu minne timu haijawahi kufanya usafi wa uongozi pale juu ,matokeo yake tunaenda na mbinu na mikakati ile...
  14. Red black

    JamiiForums Tanzania Full Time: Gaborone United 0-1 Simba SC | CAF CL Obed Itani Chilume Stadium | Septemba 20, 2025

    Huku Maloid kule Jonathan Sowah.. Klabu ya Simba leo itakuwa dimbani kucheza na klabu ya Gaborone ya Botswana katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika, hatua ya awali. Mechi hiyo itafanyika katika Uwanja wa Francistown Stadium majira ya saa 2:00 usiku kwa muda wa Afrika Mashariki...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA maandamano ya Oktoba 29, na taifa lililojaa watazamaji badala ya wananchi

    Ndugu zangu, kuna jambo moja linazidi kujidhihirisha katika historia yetu ya kisiasa: Tanzania bado ni nchi ya watazamaji, si ya washiriki. Ndio maana kila baada ya muda fulani, Chadema huibuka na tangazo la maandamano, mara hii Oktoba 29, kana kwamba dunia itatikisika, serikali itatetemeka, na...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Beki wa Simba Rushine De Reuck alibabuliwa na mpira usoni akawa anagalagala chini, alipoona hatari golini kwake akasimama kuendelea na mchezo

    Wachezaji wanaojitambua wanastahili heshima ya kipekee. Wachezaji wengi wa Tanzania hawafiki mbali maana hawajitambui. Wanalipwa mshahara, halafu wanageuka tena wanapokea hongo kukwamisha timu zinazowalipa mshahara. Wakifungwa hawajali, yaani kwao kucheza kwa bidii na maarifa siyo shida zao...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC hapa hapa JF nilishawahi kuwaambia ongeeni na Nabi ili mumchukue mkanipuuza, hatimaye baada ya Kipigo juzi mmeanza kuzungumza nae aje

    Mkimpata kila la kheri atatusaidia kwani ninamuona ni bora mara mbili ya Fadlu ila Fadlu ni Kocha wa Kimataifa pekee.
  18. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika kwenye soka la Tanzania ni sawa na kusema,Yanga anawezeshwa kumshinda Simba kama wanamke anavyowezeshwa kwenye mambo mbalimbali

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wazi na uzuri watu wengi sasa hivi wanajua mpira hauwezi kuwadananya. Jana kila mtu ameona yanga akipewa goli la offside tena bila aibu na Arajiga. Nafikiri pia ilikuwa nimpango mkakati wa kusihukuru yanga kwa kuchangia chama na kwa upande mwingine ilikuwa ni...
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Captain ya Yanga Dickson Job akimtambia Captain wa Simba Shomari Kapombe kabla ya kuanza mchezo

    Ukiwa unajiamini bwana, raha sana. Unajua kabisa matokeo yatakayokuwa, unaweza kutamba utakavyo. Kabla mechi haijaanza, wakati macaptain wa Simba na Yanga, Shomari Kapombe na Dickson Job wakiwa na waamuzi kuchagua upande wa kuanza, Job alimwambia mwamuzi Arajiga na Kapombe kuwa hakuna haja ya...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Hakuna kazi ngumu kama kuwatetea Simba na coach Fadlu

    Simba imepokea kipigo cha 6 mfululizo na coach Fadlu akifingwa mara 4 mfulilizo peke yake bila kupata goli lolote Kwa Yanga, Coach Fadlu amefungwa na makocha 4 tofauti wa Yanga Gamondi kamfunga Ramovic kamfunga Milouf Hamdi kamfunga Roman Folz kamfunga Tuliaminishwa 1. Usajili huu kuafanya...
Back
Top Bottom