Habari Zenu mashabiki bora wa CAF Super League!
Kiukweli tumeingia mkenge Kwa porojo za Utopolo. Simba Kwa Msimu huu tumefanikiwa kufika sehemu ya ndoto yetu wengi hatukuwahi kushuhudia Mnyama akicheza stage hiyo. Haya ni mafanikio makubwa Sana bahati mbaya tumeingia kwenye ujinga wa wauza...
Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna Maumivu utayapata kwani Wazee wa Simba SC nawajua huwa hawana Masihara katika kutuma Makombora ya...
Leo nimeona niiongelee kidogo timu yangu ya zamani, Simba SC.
Kwa hizi sajili, acha, sajili zinazofanyika kila msimu inaonyesha wazi Simba imepoteza kabisa kujiamini. Viongozi hawajui Simba inataka nini hasa na badala yake wanasajili na kuacha wachezaji tu ili waonekane wamefanya. Wachezaji...
I will be short
kuna card za chana 50 k na kuna 40 billion on the table for simba sc shares. hapo kila mtu ana 800k kila card.
Kama vipi simba tuuze tu, naona dp world na bakhresa wanavizia hisa za mo wakati wanachama tupo na kadi hazina hata faida.
anyway ngivuu mmmoyaaa 😂
Baada ya kupewa thank you nyingi na wachezaji wake timu ya Simba ni kama wamechanganyikiwa, kuanzia Mwenyekiti wao mpaka mashabiki kila mmoja anakuja na kauli zake.
Hawana tofauti na wale wajenzi wa mnara wa Babeli lete tofali anapeleka Beleshi.
Nimepita sehemu nimekutana na kauli isiyo ya...
YANGA MSIMU HUU WA CACL huenda akaanzia hatua ya awali Msimu huu. MSIMU uliopita Orlando Pirates na Pyramid walianzia hatua ya awali lakini Orlando akafika nusu fainali na Pyramid akachukua ubingwa
SIMBA huenda akaanzia round ya pili MSIMU huu
MSIMU ULIOPITA PETRO de Luanda TP MAZEMBE na...
Simba haijali mashabiki zake na inawatapeli na kuwaingizia hasara,wakati mwingine kelele anazofanya Ahmed Ally ni kama unafki tu.
* Simba ilileta mchango kwa ajili ya uzio wa uwanja wa Bunju,mashabiki wamechanga baadaye Magungu anasema imeenda kwenye matumizi mengine,na hakuweka bayana ni...
Semaj letu limedai usajili wa msimu ujao no fully mapendekezo ya kocha wetu, ss najaribu kuangalia hao wachezaji anaowapendekeza watemwe, nakuta jina la fundi wa mpira Deborah Fernandez Mavambo.
Huyu wala tusidanganyane kuwa hana uwezo,. Mavambo ni fundi hasa, ana nguvu, ana akili ya ball, ana...
Baada ya kutumikia Simba SC kwa takribani miaka 11, nahodha wa klabu hiyo Mohamed Hussein ameagana rasmi na Wekundu wa Msimbazi kufuatia mkataba wake kumalizika na kutoongezwa tena.
Mohamed Hussein, maarufu kama "Zimbwe Jr", ameacha alama kubwa ndani ya kikosi hicho akichangia mafanikio...
Alipoamua tu kujitetea mwenyewe katika kesi yake ya uhaini, sheria na kanuni za kimahakama ikabidi zibadilishwe haraka haraka.
Kweli binadamu hujafa hujaumbika!
Miaka mingi Yanga imekuwa ikisajili kimyakimya bila promo za majigambo na kutishia timu nyingine ila matokeo yake yalionekana uwanjani ambapo wachezaji wapya walikiwasha hasa, mfano Mayele, Aziz Kii na Pacome katika usajili wao hapakuwa na promo hata kidogo. Tofauti na wenzao wa Simba ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.