Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,829
Reaction score
39,751
Katika mkutano mkuu wa mwaka, thamani ya club ya Yanga imewekwa wazi kuwa ni billions 100

Yanga wanajiendesha Kisasa na uwazi kabisa,
Yanga imekuwa ikifanya mikutano ya mwaka Kwa uwazi na kusoma mapato na matumizi na bajeti ya msimu ujao

Hii ni tofauti Kwa mtani mbapo mara mwisho kufanya mkutano mkuu mgeni rasmi alikuwa Manzoki
 
1000357759.jpg
 
Yani tangu Yanga aseme amechangia milion 100 mbogambogq habari zao naziona tu kama hivi waendelee na ungese wao na home nimewambia sitaki mtu ananimbia sijui Yanga day sijui dabi uwanjani sipeleki mtu na ole wenu nisikie mtu kaenda uwanjani anahama umu ndani na kifurushi kimeisha sinunui mpaka ujinga day sijui dabi ipite shubamiti zao
 
Huna akili
 
Kweli wenye akili kule ni wawili tu
Timu haina kiwanja hata cha mazoezi wala hosteli
Timu toleo lake jipya la.jezi kuanza msimu mpya zinasuasua kununulika huko madukani mpaka yule msemaji wao anaelilia kichwa cha mwanaume simba anafoka bila jezi mpya hakuna mtu kuingia kwenye siku yao walilia kichwa kama sio upuuzi ni nini kumbafu kabisa
1000358816.jpg
 
Boss wangu.
Tumewaachia uwanja kumbe bado mna hizi toto?

"Ukishabikia sanaaaaa simba na yanga unakuwa Mwehu".

Yani thamani ya yanga ni zaidi ya Al ahal!!!!!

Hizo timu hazina thamani yoyote zaidi ya upuuzi upuuzi tu.
Zimejawa na mbumbumbu na mazwazwa.
 
Back
Top Bottom