simba

  1. Waufukweni

    Rasmi Mohamed Hussein (Zimbwe Jr) aondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba SC kwenye mitandao yake

    Wakuu! Nahodha wa Simba SC, Mohamed Hussein maarufu kama Zimbwe Jr, ameondoa utambulisho wa kuwa mchezaji wa Simba kwenye mitandao yake rasmi ya kijamii, hatua inayozidi kuchochea uvumi wa kujiunga na watani wao wa jadi, Yanga SC. Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa mkataba wake na...
  2. Frank Wanjiru

    Wapenzi wa Simba na Watanzania kwa ujumla wanataka kujua haya kuhusu uwekezaji wa MO kwenye timu ya Simba

    1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja? 4. Je ripoti za...
  3. B

    "Mo Dewji na Simba: Mapenzi au Biashara?"

    Habari.... Utangulizi Mo Dewji ni mmoja wa wafanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika. Alipoamua kuwekeza kwenye Simba SC, wengi walijiuliza kama uamuzi wake ulikuwa kwa sababu ya mapenzi ya timu au ni sehemu ya biashara yake. Ukweli ni kwamba, uhusiano wake na Simba unachanganya mapenzi ya...
  4. Mbabani

    Njia pekee inayoweza kusaidia Simba

    Kwa wale wanasimba. Msimu wa 24/25 kuna mambo yametokea ambayo wanasimba wamedhurumiwa kwa nguvu. 1. Simba waligoma kucheza mchezo wowote hadi wahuni waliosababisha vurugu kuelekea mechi ya March 8 washughulikiwe. Kinyume chake Simba waliendelea kucheza mechi, mashabiki na wanachama...
  5. PLOII

    Simba ina viongozi wasiojitambu; Tshabalala mkataba unaisha mnaangalia no negotiation in prior. Utopolo wapo njiani wanaenda kuchombeza sasa mjisahau

    Hello wana Jukwaa, Niende kwenye Mada Kwa ufupi. Hivi viongozi wa Simba umakini wenu aliondoka nao Hans Pope kweli cream kama Tshabalala The Captain, the only one & the top in SIMBA Sports Club hadi contract ina freeze viongozi mpo tu? Hivi ukimtoa Tshabalala pale Simba in terms of...
  6. NALIA NGWENA

    Mashabiki wa Simba SC Wanajikaanga Wenyewe Kama Mkia wa Kondoo kwenye sufuria la moto

    Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu: kushindwa kwa mipango ya usajili, kukosekana kwa mwelekeo wa kiufundi, na viongozi wanaozunguka...
  7. M

    Yanayotokea Simba kwa sasa niliyatabiri miaka 3 iliyopita, Simba iliwekeza kwenye propaganda na sio uhalisia wa vitendo!

    Nadhani hiki kinachotokea Simba kwa sasa sio kitu kigeni kwa waliokuwa wanaifatilia kwa ukaribu utendaji wa viongozi wake kuanzia miaka 3 iliyopita! Kwa wanaokumbuka vizuri kuanzia mchakato wa uwekezaji wa bwana Mo dewji,,masuala mazima ya udhamini wa makampuni( rejea mkataba wa Mbet) wa...
  8. Frank Wanjiru

    Ahmed Ally: Simba hatujitaji kutumia nguvu nyongi kwenye huu usajili,tuna kikosi bora cha kwanza kutupeleka fainali Club Bingwa

    "Msimu huu hatuna kazi kubwa sana kwa sababu hatutengenezi timu tena, sasa hivi tumeshatengeneza misingi imara. Tukisema Simba tusisajili hata mchezaji mmoja, tunacho kikosi cha kwanza cha kuipeleka Simba fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tunayo timu ya kuipeleka Simba kwenye kuwania...
  9. Just Pray

    Fabrice Ngoma apigwa 'Thank you' na Simba SC

    Klabu ya Simba Imempa rasmi Thank you Fabrice Ngoma Baada ya Kuitumikia simba Kwa Misimu Miwili Mfululizo. Asante Fabrice Ngoma kila la heri
  10. Manyanza

    John Bosco Nchindo (23). Ni Mali ya Simba Sports Club

    Ripoti zinaeleza kuwa klabu ya Simba, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Coton Sport, John Bosco Nchindo (23). Mazungumzo baina ya Simba na kambi ya mchezaji yamekamilika kilichobaki ni Simba kumalizana na klabu yake (Coton Sport). Nyota huyo raia was Cameroon alishinda tuzo ya...
  11. M

    GE2025 George SimbaChawene can be the best PM if appointed

    Hello GT! With due respect to NRE and whatever results that can be achieved, baada ya uchaguzi mkuu 2025 kukamilika mtajwa ana uwezo mkubwa wa kuwa PM ikiwa mamlaka itamuona na kumpa nafasi hiyo. Sababu zitokanazo na mtazamo wangu; 1. Mtajwa ana busara, hekima na uwezo wa kuongoza. 2. Ana...
  12. DELETED ACCOUNT

    Msinitag, mimi siyo tena mshabiki wa Simba

    Naona watu wanafukunyua nyuzi na post zangu za nyuma na kunitag ili kunizodoa. Napenda kuwajulisha kuwa mimi siyo tena mshabiki wa Simba. Nimechukua likizo isiyo na muda maalumu katika mpira wa bongo. Pale nafsi yangu itakapokubali kurudi kufuatilia mpira wa Tanzania nitafanya hivyo ila nimeona...
  13. C

    Simba ni sikio la kufa,ujinga ule ule wa miaka yote kuhusiana na usajili naona ndio unaendelea

    Hakika hii timu sasa itakuwa kama Namungo. Huwezi kutengeneza kamati ya usajili ya kipuuzi kabisa na mtu wa hovyo mali ya utopolo ngungu boy akiwemo. Kamati hii huenda ndiyo inayokwamisha upatikanaji wa wachezaji bora na wanaishia kwa wapinzani. Huwezi kusajili kwa vikao kama kamati za kugawa...
  14. Waufukweni

    Mo Dewji kuzungumza na mashabiki wa Simba SC hivi karibuni

    Mohammed Dewji, mwekezaji mkuu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC, amesema klabu haijapotea na iko kwenye mchakato wa kujijenga upya. Katika ujumbe kwa mashabiki, Dewji amesema huu si wakati wa lawama bali mshikamano na hatua chanya. Ameeleza kuwa Simba imejenga kikosi kipya, kuimarisha benchi...
  15. Expensive life

    Huyu hapa mbeba maono wa Simba SC kuelekea msimu ujao 2025/26

    Wakuu, Ngungu kama ngungu, maono ya simba sc yamebebwa na huyu mwamba, ukimuangalia tu kwa jicho la kawaida unaona kabisa ni tapeli pamoja na jopo lake lote. Nadiriki kusema, kama huyu mwamba pamoja na jopo lake hawatong’atuka simba sc, ni vilio tena. Kwanza wapinzani wao wanawamudu. Kugungwa...
  16. Waufukweni

    Ahmed Ally: Usajili utakaofanywa na Simba utakuwa na umakini wa ICU

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema kuwa usajili utakaofanywa na Simba safari hii utakuwa na umakini wa kiwango cha ICU (Intensive Care). "Taarifa tu ni kwamba usajili wetu safari hii unafanyika kwa umakini wa ICU, na wachezaji waliopendekezwa na mwalimu...
  17. kavulata

    Sikiliza hadi mwisho vita kati ya GSM na Mo, Simba wanapoteana

    Mo na Mangungu wanataka kupinduana, lakini mo ameshaanza kuvuta punzi ya moto ya GSM kibiashara. Baada ya Simba kufungwa mara 5 mfululizo bidhaa za mo zimeingizwa chaka na bidhaa za GSM; kunywa maji ya masafi badala ya maji ya GSM ni kichekesho siku hizi. Mangungu anataka kumuondoa mo kutoka...
  18. GENTAMYCINE

    Na Wewe pia unaondoka lini Simba SC Kwetu kwani licha kwamba una Nuksi Isiyotibika kwa Mizimu yote lakini binafsi nakujua Wewe ni mwana Yanga SC 100%

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
  19. GENTAMYCINE

    Huyu huyu anayetoa Siri za Wachezaji wazuri wanaotakiwa na Simba SC kwa Yanga SC ndiyo huyu huyu anayetumiiza kwa Yanga SC kila tukikutana nao

    Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo Dewji anamuamini 100% japo ameshaonywa mno tu juu yake ambaye ni Salim Abdallah Mhene 'Try Agai' Wewe...
  20. M

    Simba wapata hasara baada ya kuukosa ubingwa Nbc

    Waliandaa mpka tishert za ubingwa lakini ikawa tofauti... hivyo kontena nzima ya hizo tishert hazivaliki
Back
Top Bottom