simba

  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga, Nani Amekamata Usajili Dirisha Hili?

    Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa kipute cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mjadala mkubwa unaoendelea miongoni mwa wadau wa soka ni juu ya nani ametisha zaidi katika dirisha hili la usajili kati ya vigogo wawili wa soka la Bongo, Simba SC na Yanga SC. Chini ni mtazamo...
  2. Labani og

    JamiiForums Tanzania Sad news: Simba wakandwa na ENPPI ya Misri bao 4-3

    Simba SC imefungwa mabao 4-3 na ENPPI SC ya Misri katika mchezo wa pili kirafiki uliochezwa Jumapili, Agosti 17,2025 kujiandaa na msimu mpya wa 2025/2026. Mabao ya ENPPI SC mawili yalifunwa kwa penati, huku Simba SC ikifunga kupitia wachezaji wake Kibu Denis, Jean Ahoua, na Jonathan Sowah...
  3. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Moo kapewa 49 ya hisa za simba kwa bilioni 20, hii ni dharau na utapeli

    Simba mliwaza nini lakini? Nikweli timu namba 5 kwa ubora Africa ina thamani hiyo? Halafu yeye anasema kainunua kwa bei hiyo (rejea ile interview yake)
  4. President of China

    JamiiForums Tanzania Yanga hawajapongeza ushindi wa Karia mpaka sasa - Simba na timu zingine zote wamempongeza Rais wa TFF kwa ushindi mnono

    Bango limejieleza hapo juu.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Soka la Tanzania ni la Kubalansi Simba na Yanga kwenye kila Kitu hivyo wenye Akili tulijua bado Nyamlani angekuwa Makamu Rais TFF

    TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo. - Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
  6. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga kucheza na Simba Ngao ya Jamii

    Kanuni mpya za mashindano zimebadilishwa kutoka ule utaratibu wa kukutanisha timu za ligi na mwisho bingwa kupatikana Na Sasa Kwa kanuni mpya bingwa wa ligi atacheza na bingwa wa FA na kama bingwa wa ligi kuu ndo bingwa wa FA, basi mchezo wa ngao ya jamii unakuwa kati ya bingwa na timu ilishika...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba yaondoka Ismailia, kuweka kambi Cairo, Misri

    Kikosi cha Simba mapema leo Ijumaa (Agosti 15), kimeondoka jijini Ismailia kwenda jijini Cairo, Misri kuendelea na kambi ya maandalizi ya msimu mpya 2025/26. Kikosi cha Simba kitaweka kambi jijini humo hadi kitakapokamilisha program ya kocha Fadlu, na kisha kitarejea Tanzania mapema mwezi...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Technically hadi muda huu Usajili wa Simba SC haujanishawishi kukiamini Kikosi changu na naomba niwe wa Kwanza kusema tutaendelea kuwa Wasindikizaji

    Naona ni kama vile tu Simba SC yangu imewekeza zaidi katika kufanya Propaganda na siyo kuwa serious kujenga Timu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Simba imetia aibu

    Jana kulikuwa na harambee ya kuchangia chama cha mapinduzi CCM yanga iliwakilisha vizuri tu lakini simba hakukuwa na mwakilishi wwte yule pamoja na mama kuwapa kila kitu mpk ndege kikubwa wangechangia hata milion 50 bhad sio ivo kukaa kimya sio picha nzuri kwa serikali yetu kwani CCM ndo chama...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mo Dewji wamechanga Tsh. Milioni 150, GSM peke yake amechanga Tsh. Bilioni 10 halafu utegemee Simba awe bingwa

    Familia ya wamiliki wa Simba kina MO dewji wanasifika kwa ubahili na kubana matumizi kama Wapare, Familia hii inayomiliki club ya Simba huwa wakinunua wachezaji wa Bei Rahis ili kuweza kubana matumizi, hali inayopelekea ushindani na club ya yanga kuwa ndogo, kwani yanga kupitia bilionea GSM huwa...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Wakuu! Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka." "Lakini hatutapokea...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Simba itakandwa 4 bila, ngao ya jamii

    Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine). Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi) Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Simba tumeshajiandaa kisaikolojia na figisu ligi kuu za kukosa ubingwa misimu kadhaa kwa kutochangia harambee, tumesimama imara !

    Tumeshajiandaa kwa lolote hasa msimu huu mpya unaweza kuwa mgumu sana kwa kushindwa kuchangia chochote ccm walioenea kila idara za michezo. hata tukose kombe misimu kadhaa ijayo haitakuwa jambo la kushangaza. kwa upande mwengine Yanga wanaweza kuwa na msimu mwepesi sana kuanzia ratiba, marefa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 5 Niliyoyaona kwenye Video Clip ya Mabao Mawili Safi Kabisa na Yasiyo na Utata ya Simba huko Misri Leo

    1.Dua kubwa na nzito inatakiwa kufanyika kuwalinda wachezaji wetu, narudia kama hakuna Dua wachezaji Hawa wakitua uwanja wa Ndege tu wakati wanarudi wameyakanyaga, asikwambie mtu Utopolo hawana wanachokitegemea zaidi ya kuwategeshea miba.Uwanja wa Bunju hadi wanakokaa wachezaji walindwe kwa Dua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyabaini kwa Beki Hernest Malonga Anayetarajiwa Kujiunga na Simba Kumrithi Msaliti Mohamed Hussein Tshabalala

    1. Hernest Malonga anajua boli kumshinda Mohamed Hussein Tsshabalala 2.Hernest Malonga anacheza beki wa kushoto, anacheza winga wa kulia anacheza winga wa kushoto 3.Hernest Malonga anajua kukaba kuliko Tshabalala 4.Hernest Malonga alimfunga Diara refa akakataa goli kule Mkwakwani 5.Hernest...
  16. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Huku Yanga Vs Esperance de Tunis kule Simba vs Al hilal, Yupi ana nafasi kubwa kupita?

    Mfano ikitokea hivyo itakuwaje?
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC hili la Mchezaji Jonathan Sowah kumpiga Ngumi ya Jicho Steven Mukwala huko Kambini Misri mliweke sawa na Sowah aonywe upesi sawa?

    Mkiambiwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE ni habari nyingine kwa Taarifa za Ndani na sina Mpinzani hapa JamiiForums muwe mnakubali tu na hata kunipigia Saluti Kudadadeki. Haya upesi sana huyu Mchezaji wetu mpya na Fundi wa Kufunga Magoli Jonathan Sowah aitwe na aonywe kuwa Simba SC hatutaki Ndodi za...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Simba SC wanamtaka Nyota wa sasa Uganda Cranes Allan Okello waniambie nimalizane nae hapa hapa Kampala kwani nammudu

    Na hata Timu yao ya Uganda Cranes ilipoweka Kambi yake si mbali na Kwangu na isitoshe Rafiki yake mkubwa wanayecheza nae Vipers FC Hillary Mukindane ni Mwanangu na alishanikutanisha nae miezi kadhaa. Na ndiyo Mchezaji huyu huyu hapa hapa JamiiForums niliwaambia Simba SC nimemwona na atatufaa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mambo matano niliyoyaona kwa kiungo mpya wa Simba Neo Maema alipocheza na Algeria leo

    1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa 2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua 3. Hana maajabu yoyote uwanjani 4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana 5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu 6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania CAF RELEASES 2025 CLUB RANKINGS: Simba yaongoza Afrika mashariki na kati yashika nafasi ya 5 Yanga nafasi ya 12

    Katika viwango vipya vya Shirikisho la mpira Afrika CAF 2025, simba sc imeibuka kinara wa afrika mashariki na kati huku ikishika nafasi ya 5 barani afrika, wakati yanga sc ikishika nafasi ya 12 kwenye orodha hiyo ya vilabu bora.
Back
Top Bottom