Simba inaendeshwa kwa presha za mashabiki viongozi hawajui wanataka nini na wafanye nini

Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
2,286
3,018
Kuna hali ya kustajabisha ndani ya uongozi wa Simba katika kusimamia timu.

Hapo awali tuliona jinsi gani uchebe aliondolewa kwenye timu, ilianzia kwa mashabiki huko mwanza kumtupia chupa za maji na kushinikiza kocha hawamtaki, haikuchukua muda kocha akaondolewa klabuni na hali hiyo imewakuta makocha karibia wote walipewa kazi simba kipindi cha utawala wa Mo dewji huwa wanatimulia kutokana na shinikizo la mashabiki wa Simba na viongozi hawafanyi tathmini ya malengo yao bali hutimua tu.

Achana na makocha, hata wachezaji wa kusajiliwa wanasajiliwa kwa kufuata upepo wa mashabiki mfano kilio cha mashabiki ni kurejea kwa Chama na kweli viongozi wakafanya hivyo bila kuangalia uhitaji wake katika kikosi kulingana na timu ilivyo au kupata zaidi ya huyo Chama.

Luis karejea Simba ni kutokana na shinikizo la mashabiki, hivyo basi viongozi wakaufyata leo hii Luis kawa mzigo uwanjani sio Luis wa zamani.

Kuna kipindi mashabiki walijawa na hasira za kumkataa Matola hadi kutaka kuandamana lakini leo hii hiyo huyo Matola karudishwa mashabiki hao hao wamekaa kimya kwasababu roho zao za kumuona Robertinho akitimuliwa zimeshasuuzika

Uongozaji umeamua kumuachisha kocha ambaye kwenye ligi kuu kacheza michezo mingi pasipo kupoteza ila kuna swali la kujiuliza je aliyekutana nao na kuwafunga goli tano kikosi chao kinafanana na alichonacho yeye? Kwa maana ya umri, uwezo na ubora) ni mbingu na ardhi kabisa. Tukiangalia wachezaji tegemeo wa Simba ni wakongwe kiumri hata wapya waliosajiliwa na pia wengine wametumika sana hivyo wamechoka sana lakini cha ajabu zigo anatupiwa kocha kisa tu wanefungwa na Yanga.

Malalamiko yalianza muda mrefu kwa mashabiki kuwa Simba inacheza mpira wa hovyo lakini hapo hapo wanashindwa kujua kwenye mpira ni mchezo wa mbinu kutokana na timu unayocheza nayo, mbona mechi dhidi ya Al Ahly Dar, Simba ndio walioongoza kwa pasi na kucheza mpira mwingi? Ni approach tu za game lengo ni kupata matokeo mazuri lakini kelele za mashabiki jumlisha na kuchungilia mpira wa jirani (Yanga) ndicho kinachomfukuzisha Robertinho na sio kwasababu ya kupata matokeo mabaya kwenye michezo yake.

Kuna tetesi za wachezaji kusimamishwa kisa wamehujumu timu.

Hili nalo ni kituko kingine, mechi ya ngao ya jamii kule Tanga ilikuwa inaonesha wazi dhahiri shahiri kuwa Yanga wapoje safari hii, Simba walikimbizwa mwanzo mwisho hadi mtu unaomba dakika 90 ziishe. Kipindi hicho kocha wa Yanga hakuwa na first eleven, kipindi hicho Aziz Ki aliingia kipindi cha pili na Pacome kipindi hiko hakujulikana kabisa kama ni Zizuu wa Yanga, akapewa nafasi dakika za jioni kabisa hilo ilikuwa ni ishara ya kuonesha quality ya wachezaji wa Yanga ni level nyingine kabisa dhidi ya Simba lakini eti leo hii wachezaji wanashtumiwa kwa uwezo upi huo walionesha hapo kabla?

Kuna wachezaji wabovu wamesajiliwa je idada ya scouting umeajibishwa? Kuna maeneo yenye mapungufu na idara ya scouting imehusika kwa kutoleta mbadala je wameajibishwa kwa lipi?

Kuna wazee kama Saidoo hawezi mpute mpute wa mchaka mchaka hilo nalo uwanjani halionekani? Timu haina mkata umeme hilo nalo ni la kocha?

Je ukiweka mizania ya viwango na ubora wa wachezaji kati Simba na Yanga wanafanana?

Hata aje kocha gani mashabiki watamtimua tu kama wakiona wao hawafurahishwi nae. Matokeo vs mpira mzuri ni mambo mawili tofauti mashabiki wanapaswa walijue hilo.
 
Mkuu wa scouting anakuja
FB_IMG_16993648999722030.jpg
 
Uko sahihi kabisa mkuu.
 
Acheni unonko, hakuna kocha hapa hili tumeliongea sana mkatupuuza mwisho wa siku mnakuja kukumbana na aibu ya kifala kabisa.

Kocha alikuwa na mbinu dhaifu sana ,kiufupi timu ilikuwa ina shinda kwa uwezo binafisi wa wachezaji.
Hakuna kocha kwasababu ya uchezaji mbaya au hakuna kocha kwasababu ya trend yake ya matokeo mabaya? Hilo kwanza ndio swala la kujiuliza.
 
Kila siku mnasema hatuna kocha, leo katimuliwa mnasema mengine tena, mnataka nini?
Shida ni kwamba mashabiki wanapenda sana kuchungilia jirani anavyokula vizuri pasipo kujua uwezo wao. Kilichomtoa Robertinho ni uwezo mkubwa wa Yanga. Mashabiki wanataka wacheze kama Yanga wakati huna rasilimali kama za Yanga. Kocha alijitahidi kutumia rasilimali alizonazo kuunga unga matokeo apate. Je takwimu ya kocha ina ubaya gani ukiachana na mechi dhidi ya Yanga?
 
Kuna hali ya kustajabisha ndani ya uongozi wa Simba katika kusimamia timu.

Hapo awali tuliona jinsi gani uchebe aliondolewa kwenye timu, ilianzia kwa mashabiki huko mwanza kumtupia chupa za maji na kushinikiza kocha hawamtaki, haikuchukua muda kocha akaondolewa klabuni na hali hiyo imewakuta makocha karibia wote walipewa kazi simba kipindi cha utawala wa Mo dewji huwa wanatimulia kutokana na shinikizo la mashabiki wa Simba na viongozi hawafanyi tathmini ya malengo yao bali hutimua tu.

Achana na makocha, hata wachezaji wa kusajiliwa wanasajiliwa kwa kufuata upepo wa mashabiki mfano kilio cha mashabiki ni kurejea kwa Chama na kweli viongozi wakafanya hivyo bila kuangalia uhitaji wake katika kikosi kulingana na timu ilivyo au kupata zaidi ya huyo Chama.

Luis karejea Simba ni kutokana na shinikizo la mashabiki, hivyo basi viongozi wakaufyata leo hii Luis kawa mzigo uwanjani sio Luis wa zamani.

Kuna kipindi mashabiki walijawa na hasira za kumkataa Matola hadi kutaka kuandamana lakini leo hii hiyo huyo Matola karudishwa mashabiki hao hao wamekaa kimya kwasababu roho zao za kumuona Robertinho akitimuliwa zimeshasuuzika

Uongozaji umeamua kumuachisha kocha ambaye kwenye ligi kuu kacheza michezo mingi pasipo kupoteza ila kuna swali la kujiuliza je aliyekutana nao na kuwafunga goli tano kikosi chao kinafanana na alichonacho yeye? Kwa maana ya umri, uwezo na ubora) ni mbingu na ardhi kabisa. Tukiangalia wachezaji tegemeo wa Simba ni wakongwe kiumri hata wapya waliosajiliwa na pia wengine wametumika sana hivyo wamechoka sana lakini cha ajabu zigo anatupiwa kocha kisa tu wanefungwa na Yanga.

Malalamiko yalianza muda mrefu kwa mashabiki kuwa Simba inacheza mpira wa hovyo lakini hapo hapo wanashindwa kujua kwenye mpira ni mchezo wa mbinu kutokana na timu unayocheza nayo, mbona mechi dhidi ya Al Ahly Dar, Simba ndio walioongoza kwa pasi na kucheza mpira mwingi? Ni approach tu za game lengo ni kupata matokeo mazuri lakini kelele za mashabiki jumlisha na kuchungilia mpira wa jirani (Yanga) ndicho kinachomfukuzisha Robertinho na sio kwasababu ya kupata matokeo mabaya kwenye michezo yake.

Kuna tetesi za wachezaji kusimamishwa kisa wamehujumu timu.

Hili nalo ni kituko kingine, mechi ya ngao ya jamii kule Tanga ilikuwa inaonesha wazi dhahiri shahiri kuwa Yanga wapoje safari hii, Simba walikimbizwa mwanzo mwisho hadi mtu unaomba dakika 90 ziishe. Kipindi hicho kocha wa Yanga hakuwa na first eleven, kipindi hicho Aziz Ki aliingia kipindi cha pili na Pacome kipindi hiko hakujulikana kabisa kama ni Zizuu wa Yanga, akapewa nafasi dakika za jioni kabisa hilo ilikuwa ni ishara ya kuonesha quality ya wachezaji wa Yanga ni level nyingine kabisa dhidi ya Simba lakini eti leo hii wachezaji wanashtumiwa kwa uwezo upi huo walionesha hapo kabla?

Kuna wachezaji wabovu wamesajiliwa je idada ya scouting umeajibishwa? Kuna maeneo yenye mapungufu na idara ya scouting imehusika kwa kutoleta mbadala je wameajibishwa kwa lipi?

Kuna wazee kama Saidoo hawezi mpute mpute wa mchaka mchaka hilo nalo uwanjani halionekani? Timu haina mkata umeme hilo nalo ni la kocha?

Je ukiweka mizania ya viwango na ubora wa wachezaji kati Simba na Yanga wanafanana?

Hata aje kocha gani mashabiki watamtimua tu kama wakiona wao hawafurahishwi nae. Matokeo vs mpira mzuri ni mambo mawili tofauti mashabiki wanapaswa walijue hilo.
Mshabiki mbumbumbu nakutana nao kwenye vibanda umiza hadi unashangaa uwezo wao wa kufikiri
 
Umeandika kwa hisia brother.Hujasema kwa nini mashabiki walimchukia kocha.Ukuacha sababu uliyosema,wengi walichukia tabia yake ya kubagua wachezaji na kufanya sub dk ya 88.

Mashabiki walipiga sana kelele juu ya huyu kocha kuwa mwoga kufanya sub wakati timu ina wachezaji wa akiba.Na akifanya sub zinakuwa na utata

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Tutaruka ruka sana ila tatizo la simba ni viongozi.Mashabiki hawana shida kwasababu sio lazima wasikilizwe,hoja zao zinatakiwa zijibiwe kwa matokeo mazuri,wachezaji hawana shida kwasababu wakicheza chini ya kiwango walipaswa wawajibishwe,kocha hakua na shida kwasababu takwimu zinambeba hadi anaondoka,na kama angekua na shida takwimu zingemuumbua.Swali linakuja kwa viongozi je wao wanaposhindwa kuiweka timu vizuri kwenye mambo yakimenejiment nani anawawajibisha.Simba ya sasa imepooza kuliko simba zote zilizopita.Mimi toka nilivyoanza kuona Moo analalamika kwenye mitandao nikajua timu iko na shida za ndani ambazo haziwekwi wazi.Na matokeo ya hizo shida lazima yatokee kwenye kiwango cha timu uwanjani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hali ya kustajabisha ndani ya uongozi wa Simba katika kusimamia timu.

Hapo awali tuliona jinsi gani uchebe aliondolewa kwenye timu, ilianzia kwa mashabiki huko mwanza kumtupia chupa za maji na kushinikiza kocha hawamtaki, haikuchukua muda kocha akaondolewa klabuni na hali hiyo imewakuta makocha karibia wote walipewa kazi simba kipindi cha utawala wa Mo dewji huwa wanatimulia kutokana na shinikizo la mashabiki wa Simba na viongozi hawafanyi tathmini ya malengo yao bali hutimua tu.

Achana na makocha, hata wachezaji wa kusajiliwa wanasajiliwa kwa kufuata upepo wa mashabiki mfano kilio cha mashabiki ni kurejea kwa Chama na kweli viongozi wakafanya hivyo bila kuangalia uhitaji wake katika kikosi kulingana na timu ilivyo au kupata zaidi ya huyo Chama.

Luis karejea Simba ni kutokana na shinikizo la mashabiki, hivyo basi viongozi wakaufyata leo hii Luis kawa mzigo uwanjani sio Luis wa zamani.

Kuna kipindi mashabiki walijawa na hasira za kumkataa Matola hadi kutaka kuandamana lakini leo hii hiyo huyo Matola karudishwa mashabiki hao hao wamekaa kimya kwasababu roho zao za kumuona Robertinho akitimuliwa zimeshasuuzika

Uongozaji umeamua kumuachisha kocha ambaye kwenye ligi kuu kacheza michezo mingi pasipo kupoteza ila kuna swali la kujiuliza je aliyekutana nao na kuwafunga goli tano kikosi chao kinafanana na alichonacho yeye? Kwa maana ya umri, uwezo na ubora) ni mbingu na ardhi kabisa. Tukiangalia wachezaji tegemeo wa Simba ni wakongwe kiumri hata wapya waliosajiliwa na pia wengine wametumika sana hivyo wamechoka sana lakini cha ajabu zigo anatupiwa kocha kisa tu wanefungwa na Yanga.

Malalamiko yalianza muda mrefu kwa mashabiki kuwa Simba inacheza mpira wa hovyo lakini hapo hapo wanashindwa kujua kwenye mpira ni mchezo wa mbinu kutokana na timu unayocheza nayo, mbona mechi dhidi ya Al Ahly Dar, Simba ndio walioongoza kwa pasi na kucheza mpira mwingi? Ni approach tu za game lengo ni kupata matokeo mazuri lakini kelele za mashabiki jumlisha na kuchungilia mpira wa jirani (Yanga) ndicho kinachomfukuzisha Robertinho na sio kwasababu ya kupata matokeo mabaya kwenye michezo yake.

Kuna tetesi za wachezaji kusimamishwa kisa wamehujumu timu.

Hili nalo ni kituko kingine, mechi ya ngao ya jamii kule Tanga ilikuwa inaonesha wazi dhahiri shahiri kuwa Yanga wapoje safari hii, Simba walikimbizwa mwanzo mwisho hadi mtu unaomba dakika 90 ziishe. Kipindi hicho kocha wa Yanga hakuwa na first eleven, kipindi hicho Aziz Ki aliingia kipindi cha pili na Pacome kipindi hiko hakujulikana kabisa kama ni Zizuu wa Yanga, akapewa nafasi dakika za jioni kabisa hilo ilikuwa ni ishara ya kuonesha quality ya wachezaji wa Yanga ni level nyingine kabisa dhidi ya Simba lakini eti leo hii wachezaji wanashtumiwa kwa uwezo upi huo walionesha hapo kabla?

Kuna wachezaji wabovu wamesajiliwa je idada ya scouting umeajibishwa? Kuna maeneo yenye mapungufu na idara ya scouting imehusika kwa kutoleta mbadala je wameajibishwa kwa lipi?

Kuna wazee kama Saidoo hawezi mpute mpute wa mchaka mchaka hilo nalo uwanjani halionekani? Timu haina mkata umeme hilo nalo ni la kocha?

Je ukiweka mizania ya viwango na ubora wa wachezaji kati Simba na Yanga wanafanana?

Hata aje kocha gani mashabiki watamtimua tu kama wakiona wao hawafurahishwi nae. Matokeo vs mpira mzuri ni mambo mawili tofauti mashabiki wanapaswa walijue hilo.
Hao mashabiki wenyewe ndiyo wale wale walioitwa mbumbumbu na Ismail Aden Rage kipindi kile kwenye mkutano, au ni mashabiki wenginhe?
 
Umeandika kwa hisia brother.Hujasema kwa nini mashabiki walimchukia kocha.Ukuacha sababu uliyosema,wengi walichukia tabia yake ya kubagua wachezaji na kufanya sub dk ya 88.

Mashabiki walipiga sana kelele juu ya huyu kocha kuwa mwoga kufanya sub wakati timu ina wachezaji wa akiba.Na akifanya sub zinakuwa na utata

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kuchukia makocha ni asili ya mashabiki wa Simba, uchebe, pamoja na mazuri yake mashabiki walimpopoa, Sven, Gomez, n.k wote wametolewa kwa kelele na chuki zenu za mashabiki. Hamna jema hata kocha ashinde mtalalamika timu inacheza vibaya.
 
Back
Top Bottom