FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

uran

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
7,525
10,765
Match Day!

Simba SC Vs Namungo FC
⌚ 04:00pm
🏟️ Uhuru Stadium.


Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa.

20231109_151533.jpg

Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo

PSX_20231109_153451.png

Kikosi cha Namungo Kinachoanza

All the Best Simba.
#Nguvumoja#

Mchezo umeanza
10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo
20' Presha ni kubwa kwa Simba ambao wanaonena kukosa utulivu wanaposhambulia
29' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Reliants Lusajo anaipatia Namungo goli la kwanza baada ya walinzi kudhani ameotea, anamchambua kipa
34' Bado mambo ni magumu kwa Simba

MAPUMZIKO

74' Matokeo bado ni yaleyale, Simba wanafika langoni kwa Namungo lakini hakuna mafanikio
75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOO
Baleke anasawazisha goli kwa Simba akimalizia pasi ya Moses Phiri

90' Zinaongezwa dakika 4
Full Time
 
Match Day!

Simba SC Vs Namungo FC
View attachment 2808440
04:00pm
Uhuru Stadium.


Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa.

All the Best Simba.
#Nguvumoja#
Nenda Simba Nenda Sisi Zetu Dua
Daima sisi tuko nyuma yako

Yaliyopita si ndwele twendeni tukayaganhe yajayo .

Naomba sana huu uzi ufichwe kwa lijamaa limoja likisema kitu kinakuwa linaitwa Tate Mkuu
 
Back
Top Bottom