simba

  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba waliiogopa mno Yanga kabla ya mechi na wakati wa mechi.

    Hakukuwa na ulazima wa Simba kumfukuza kocha peke yake kwa kosa la kufungwa magoli 5 na Yanga. Kufungwa kwa Simba kulisababishwa na sababu na wadau wengi wakiwemo viongozi na wachezaji wenyewe. Simba iliingia kwenye mechi ile wadau wote wa simba (kocha, wachezaji, uongozi na mashabiki) wakiwa...
  2. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba ndio tatizo la kwanza kwenye klabu, wajitathimini wao kwanza kabla ya kuwatoa kafara wengine!

    Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao! Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa ni suala la muda tu ufike waumbuke, awa wakina Try again, mangungu, Mo mwenyewe, wamekuwa ni watu wa...
  3. Smt016

    JamiiForums Tanzania Simba inaendeshwa kwa presha za mashabiki viongozi hawajui wanataka nini na wafanye nini

    Kuna hali ya kustajabisha ndani ya uongozi wa Simba katika kusimamia timu. Hapo awali tuliona jinsi gani uchebe aliondolewa kwenye timu, ilianzia kwa mashabiki huko mwanza kumtupia chupa za maji na kushinikiza kocha hawamtaki, haikuchukua muda kocha akaondolewa klabuni na hali hiyo imewakuta...
  4. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Van Dabroek kutua Simba SC

    Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Robertinho. Kocha huyo kutoka Ubelgiji anatajwa kuwa chaguo la kwanza la uongozi...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naiona Simba ikishuka daraja

    Kipigo cha bao 5 kutoka kwa Yanga, kina dalili zote za kuivuruga Simba kuanzia kwenye uongizi mpaka kwa wachezaji na bench zima la ufundi. Hivyo; busara ikikosekana, kuna hatari ya hii club kusambaratika na kufanya vibaya katika ligi na wasipokuwa makini, club itashika nafasi za chini kwenye...
  6. Mributz

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa kocha (mpya wa muda) wa Simba

    Tulikuwa nae mazoezini jioni ya leo N:B TUMEANZA MAZUNGUMZO YA AWALI NA KISHINGO Anaitwa cadena Neno lako
  7. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Haki za Binadamu watoe tamko la Kulaani Unyanyasaji wa Yanga kwa kumfunga Simba chuma Tano 😂

    Menejimenti imechanganyikiwa Rais wa heshima kachanganyikiwa Benchi la ufundi limechanganyikiwa Wachezaji wamechanganyikiwa Wanachama wamechanganyikiwa Mashabiki wamechanganyikiwa Wachambuzi wamechanganyikiwa Mpaka majirani wamechanganyikiwa
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wachezaji watano wa Simba wasimamishwa kupisha uchunguzi kwa kichapo kikali cha goli 5 kutoka kwa Yanga

    Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili. Wachezaji hao wanatuhumiwa kuihujumu timu kitendo kilichopelekea kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao. Maamuzi hayo...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Timu hajapewa mgunda? Viongozi wa simba wanajiandaa tena kupiga ela ndefu kuchukua kocha wa mchongo.

    Kumpa simba Matola na Cadema ata kwa siku 3 ni ujanja ujanja tu. Kama mgunda akipewa timu mechi ya kwanza tu atafanya wonderful na na Mo atamuelewa hivyo viongozi kukosa upigaji mwingine ws kutosha kupitia. 1. Kugawana posho na marupurupu na kocha huyo. 2. Kupiga dili kupata sehemu ya...
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mzungu Mkoloni alianzisha Simba na Yanga!

    Hivi wamisheni mnaowaita Wakoloni wasingeanzisha Simba na Yanga leo hii mngeshangilia nini? Timu zenu mlizoanzisha kama lipuli, maji maji & Co. hazijulikani hata zilipo, halafu kuna watu wanabeza Ukristu na mchango wa Kanisa tanzania. kabla ya Kanisa kuingia tanzania kulikuwa hakuna timu ya mpira …
  11. ankol

    JamiiForums Tanzania Mambo ya siasa kwenye michezo yasipuuzwe

    Wasalaam wandugu, Kuna kitu naona kina puuzwa siku kadiri zinavyokwenda. Ila huenda ikaja kuwa hatari zaidi mbeleni endapo zitaendelea kupuuzwa. Ni kweli tuna mahaba na vyama vya siasa na wanasaiasa zetu, ila hakuna sehemu nyingine tunayoweza ku express mahaba yetu zaidi ya kwenye kumbi za...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tangu Simba ipigwe 5G kuna members wamekimbia jukwaani. Hebu tuwataje ili watoke huko waliko

    GENTAMYCINE hebu jitokeze Huwezi jifungia ndani siku zote hizo na simu umezima. Toka nje ukafanye maisha, kuna maisha baada ya dakika 90.
  13. political monger senior

    JamiiForums Tanzania Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho). Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Yanga SC players pocket R3.6 million windfall after derby demolition of Simba

    Tanzanian giants Yanga SC players will receive a massive R3.6 million bonus for their emphatic victory in Sunday’s Kariakoo derby against their arch-rivals, Simba SC. Yanga SC pummelled a hapless Simba 5-1 at the Benjamin Mkapa Stadium, the biggest derby defeat in 11 years. The defending...
  15. David Harvey

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Al Ahly, Marcel Koller: Yanga ndio timu tunayoitizamia kwa sasa

    Amenukuliwa na gazeti la African magazine sports kwamba kwa sasa katika group lao timu wanayohiofia ni young africa sport, alihojiwa kuhusu CR Belouzdad na Medeama akasema vijana wa yanga Africa wapo vizuri zaidi ya hao na wasipokuwa makini wanaweza kupoteza game zote home/away. Mbali zaidi...
  16. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

    Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini. Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa. Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba amelinda kibarua Cha AYUB LAKRED

    Robertino aliamua ku risk kibarua chake ili kulinda kibarua Cha Lakred. Afadhali aliamua kumpanga kipenzi cha Wanalunyasi (Manula) na kumuacha Lakred ili asije kufukuzwa usiku wa manane. Hivi ingekuwa vipi kama Robertino angempanga Lakred na akafungwa hizo 5G. Nadhani angetembea kwa mguu hadi...
  18. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa baadhi ya Comments za WanaJf Mashabiki wa Simba walizitoa kabla ya Derby

    Hizi ni baadhi ya Comments za wana Jf nilizochukua Mapema kwenye baadhi ya Nyuzi kabla ya Derby,Ndugu Mpenzi wa Jukwaa leta nyingine kama unayo. Au nisaidie kuwa-Tag waje wajitetee hapa tena.😂😂
  19. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC

    Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa). Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Simba tunakuja: Mzunguko wa pili tarehe 13/04/2024, Yanga jiandaeni kwa maumivu!

    Utakuwa unafanya makosa yatakayokugharimu sana ukimwona Simba amenyeshewa mvua, ukadhani kuwa amegeuka na kuwa paka! Form is temporary but CLASS is permanent!! Mechi ya mzunguko wa pili tarehe 13/04/2023 itakuwa kiyama kwenu! Simba nguvu moja! Hayo ya jana tumeyapokea na kuyatupa nyuma na...
Back
Top Bottom