Mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi wa Simba?

Majok majok

JF-Expert Member
Aug 3, 2023
612
1,563
Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa?

Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na kurundikana baada ya tuhuma nyingine ya kichapo Cha Kono la nyani kutoka kwa vijana wa gamondi kuwa alijapoa!

Timu iyo ya Simba yenye viongozi makini wakiongozwa na mhindi wa Bombay imecheza soka safi ambalo alijawai kutokea nchi hii kitu ambacho kimewafanya mashabiki na wanachama wake kugonga hodi Takukuru na kutaka ifanyike uchunguzi ni kwa Nini wanafungwa wakati wamesajili ukuta wa yeriko?

Nikiripoti kutoka bunju ni Mimi mwanahabari wenu bwana SAWADOGO!!!
 
Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa!...
Aahaaaa
 
Kombe hilooo limeanza safari kuelekea jangwani!! Njia nyeupeee!

Kweli soka ni mchezo katili sana Simba Hawa hawa waliokuwa wakitamba na Kibu Denis mkandaji Leo wameinamisha vichwa kwa aibu kubwa ya kupigwa 5G walizosema Yanga inapiga vibonde na sasa Simba ishakuwa kichwa cha mwendawazimu timu za ligi zishindwe zenyewe tu kuwabutua khamsa maana washakuwa nyanya tu!

Simba imedondosha point 5 mechi 2, wakichapwa tena 7-0 marudiano na Yanga itakuwa the last kicks of the dying horse!!
 
Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa!!!???
Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na kurundikana baada ya tuhuma nyingine ya kichapo Cha Kono la nyani kutoka kwa vijana wa gamondi kuwa alijapoa!!
Timu iyo ya Simba yenye viongozi makini wakiongozwa na mhindi wa Bombay imecheza soka safi ambalo alijawai kutokea nchi hii kitu ambacho kimewafanya mashabiki na wanachama wake kugonga hodi Takukuru na kutaka ifanyike uchunguzi ni kwa Nini wanafungwa wakati wamesajili ukuta wa yeriko????
Nikiripoti kutoka bunju ni Mimi mwanahabari wenu bwana SAWADOGO!!!
Sawa reporter wetu
giphy.gif
 
Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa!!!???
Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na kurundikana baada ya tuhuma nyingine ya kichapo Cha Kono la nyani kutoka kwa vijana wa gamondi kuwa alijapoa!!
Timu iyo ya Simba yenye viongozi makini wakiongozwa na mhindi wa Bombay imecheza soka safi ambalo alijawai kutokea nchi hii kitu ambacho kimewafanya mashabiki na wa nachama wake kugonga hodi Takukuru na kutaka ifanyike uchunguzi ni kwa Nini wanafungwa wakati wamesajili ukuta wa yeriko????
Nikiripoti kutoka bunju ni Mimi mwanahabari wenu bwana SAWADOGO!!!
Nimecheka aisee.... hahahaha 🤣 hahahaha 🤣🤣🤣 hahahaha hahaaaaaaaaaaaa. Kanjibai Mwamedi janja janja sana chupri chupri konyo sana.
 
Back
Top Bottom