simba

  1. JamiiForums Tanzania Simba si mlisema nyie wazalendo ndio maana hua mnaweka "Visit Tanzania". Kipo wapi sasa hivi?

    Jioneee halaf shusha Reply yako. JEZI YA BOSS LA B20 MO EXTRA KILA KONA. Si walisema hawa kua Wenyewe hua hawawek Mdhamini Mwingine Mashindano ya kimataifa ni VISIT TANZANIA tu Ili kumuunga Mkono SAMIA saiv imekuaje? #Yanga imewafunza nahisi
  2. JamiiForums Tanzania Sandaland amezindua jezi mbovu za Simba kuelekea Ligi ya Mabingwa Afrika

    Sandaland katengeneza jezi nzuri kwa Taifa stars. Huku kwa Simba huwa analipua tu. Leo zimezinduliwa jezi za kutumika kwa ajili ya ligi ya mabingwa Africa, jezi hazina ubunifu zipo zipo tu. Hovyo kabisa.
  3. JamiiForums Tanzania Simba msitafute kocha mpya kipindi hiki, mtakurupuka tena.

    Hakuna kocha mzuri asiyekuwa na timu ya kuifundisha, na hakuna timu bora inaweza kuachana na kocha na mchezaji bora katikati ya msimu labda kwa dau kubwa la kufa mtu. Simba haina fedha ya kubwa ya kuzinyanganya timu bara wachezaji na makocha wao bora kabla ya mwisho wa msimu. Hamna haja ya...
  4. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga acheni kuingiza porojo za siasa michezoni, somo la jana mmeliona

    Hakuna haja ya kuleta ujinga kama huu uwanjani, jana Taifa Stars imedundwa na wananchi wameshangilia.
  5. JamiiForums Tanzania Ally Dangote auawa jijini Arusha

    Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai...
  6. JamiiForums Tanzania Hii inaendea kutokea, Simba inaendea kucheza na Asec majukwaa yakibaki empty

    Wakuu Kufuatia mwenendo mbovu wa timu ya Simba, ni wazi sasa mashabiki wamechoka kwenda taifa na kurudi na maumivu Mashabiki wameonekana kuchoka na kugomea kutokea uwanjani,, huku mtaani, mitandaoni kote watu wanasema mechi atashangilia mangungu Ukipita comments kwenye page zote za Simba...
  7. JamiiForums Tanzania Nguzo ya Taifa Stars inashikiliwa na safu ya ulinzi ya Yanga

    Tukiweka ushabiki pembeni, safu ya ulinzi ya Yanga imethibitisha kwa misimu miwili sasa kuwa ni safu ngumu sana kupitika si tu katika mashindano ya ndani ila hata ya kimataifa. Kuna jinsi hawa vijana wanajua kuwajibishana ndani na nje ya uwanja kiasi kwamba kila mmoja wao anahakikisha hazembei...
  8. JamiiForums Tanzania Pitso Mosimane hana timu sasa ila anayetafutwa na viongozi Simba sio kocha bali mzungu asiye na uamuzi kwenye timu ili dili za usajili ziendelee

    Kama simba ipo siliasi kutaka kocha yupo Pitso Mosimane Rcord zake hazina mashaka. Kaongoza timu ya taifa S. A 2010-2012. Akaongoza mamelod 2012-2020. Viongozi hawana huruma na Ela za Mo dewji. Dili zao zote hufanikisha kwenye Wazungu. Aliletwa mzungu Foward kwa karibu Billion 1. Hakuingia...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni yaleyale mlete mzungu. Fernando Da Cruz kocha Mbovu eti ndio kocha mpya Simba, basi Viongozi hawajitambui

    Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki. Huyu kocha hajawahi kuongoza timu yoyote ile kwa miaka miwili mfululizo. Anaishiaga nusu msimu. Viongozi wanaweka siri ili watu...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mashabiki wa Simba waweka bango la ushindi wao dhidi ya Yanga

    Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..
  11. JamiiForums Tanzania Hongera Simba sc kutinga orodha vilabu bora Afrika

    Napenda kutumia fursa hii kutoa pongezi kwa kilabu ya Simba kwa kutinga katika orodha ya vilabu bora barani Afrika kwa mujibu wa Shirika la kimataifa linalojihuisha na takwimu za soka. Hongera kwa uongozi, Wadhamini na benchi zima la ufundi. Tuendelee kuwa mfano kwa vilabu vingine hapa nchini...
  12. JamiiForums Tanzania Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  13. JamiiForums Tanzania Simba msivunje kioo, naweni uso vizuri

    Nimemsikia mtu mmoja akitoa hoja ya kushitaki mahakamani mabango yaliyowekwa na Yanga barabarani. Ukweli ni kwamba aliyeyaweka haya mabango inaitakia mema Simba kuliko huyu anaetaka mabango yapelekwe mahakamani; haitakii mema Simba, Mabango ya Yanga yalipaswa kuisaidia Simba kutafuta wapi...
  14. JamiiForums Tanzania Simba tuvae vitambaa vyeusi kichwani uwanjani kusema imetosha

    Kama tumewachoka viongozi basi hii njia itakuwa nzuri ziaidi, vaeni vitambaa vyeusi kichwani wote na wengine vaeni tshirt za maandishi kama mmewachoka viongozi. Hizi porojo za kila siku redioni hazina maana na hazotawasaidia kamwe. Nawarakia kipigo chema cha uhakika na heshima.
  15. JamiiForums Tanzania Simba atafungwa zaidi ya magoli mawiili mashabiki tujiandae kisaikolojia

    Simba mnyama anaingia kambini kwa mechi ya kimataifa niseme tu kwa huzuni hii mechi simba atafungwa magoli mawili nk. Hakutakuwa na sare...Mpaka sasa naona penalty kwenye hii mechi sijui Upande ganii ila ft simba atapoteza hii mechi Wale wa mkeka mpeni mpinzani wake wi na 2 plus Na mashabiki...
  16. JamiiForums Tanzania Wana Simba tususie kuingia Uwanjani kama Matola na Cadena Wataiongoza Simba mechi ya Asec

    Viongozi lazima wawe siliasi. Kulikuwa na mda wa kutosha kupata kocha mzuri. Na kama Mo amekataa kutoa Mpunga akitaka mumpe timu Mgunda sasa kwanini mzilie kwa kumwachia Matola. Matola kaachiwa timu mara ngapi kaishindwa. Kama wanampenda sana wampe u ceo tu. Kadena Toka aje kama kocha wa...
  17. JamiiForums Tanzania Daniel Cadena kwa alivyoshusha ubora wa makipa. Na figisu zake akibaki Simba hakuna kocha atakaetoboa pale naapa!!!...

    Jamaa anavyeti na mzuri wa mazoezi lakini bingwa wa Figisu na hana uwezo kabisa wa kufundisha ata makipa. Toka aje Simba kama alivyokuwa Azam makipa ndio wanakuwa wabovu zaidi badala ya kuimarika. Anamkuta Ally Salum wa moto anampa mazoezi kama kakulia academy za Man United. Anawachosha na...
  18. JamiiForums Tanzania Hii kisheria ipoje? Simba haiwezi kutafuta tafsiri ya kisheria kwa Yanga kutumia Logo ya Simba kujinufaisha kibiashara?

  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Simba ilisitisha kuvaa nembo ya "Visit Rwanda" kwenye African Football League?

    Watanzania tuna hulka ya kupuuzia mambo ya msingi na kuna katabia kalijengwa na kameota mizizi ambapo ukihoji ukagusa maslahi ya watu fulani wanajaribu kukunyamazisha unaambiwa "acha ujuaji". Matokeo yake watu wanaogopa kuuliza maswali ya msingi na makosa yanajirudia kama siyo matatizo kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Simba Imepata Tuzo ya Kujaza Watu Uwanjani Sio Mashabiki Bora

    Mchambuzi wa Clouds FM Amri Kiemba ameichambua tuzo waliyopata Simba SC siku ya jana , yeye kwa upande wake anaitazama kama tuzo ya watu wanaojaa uwanjani na sio mashabiki bora . Upi mtazamo wako kwenye hili ____? Chanzo Clouds Media https://www.instagram.com/p/CzlOwmVKVCx/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…