Simba aruhusiwe kucheza mechi vs Wydad ianze saa tisa kwa Mkapa kwenye jua. Kama Mamelodi anavyoanza mechi zake na Waarabu saa tisa kwenye jua

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,820
33,540
Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa.

Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia

Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua

Kama CAF wanairuhusu Mamelodi kucheza home game zake saa 9 jua kali. na Simba na yeye aruhusiwe.

Kama haujui kucheza mpira ni haujui tu Mkuu.

UNGEWAPA MBINU ENDELEVU NA SIO JANJA JANJA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
mbona Memelodi anaruhusiwa kila siku anapocheza na waarabu anaanza mechi saa tisa kule south.

ila mamelodi huyo huyo akicheza na weusi wenzake anaanza mechi jua limeshazama
Sasa south hakuna joto kama letu hapa huko wanaweza cheza saa sita mchana na wakavaa makoti..
 
Wanafanya hivyo sababu za kiusalama hujawahi kuishi South Africa kule paone kwa nje tu

Je usalama ni mechi na waarabu tu ?

Mbona mamelodi huyo huyo akicheza na weusi anacheza usiku.

Mwezi uliopita Mamelodi amecheza na Petro luanda kacheza mechi usiku south

Simba ameenda kucheza na kaizer soweto na mechi imechezwa usiku

Simba kaenda kucheza na orlando soweto mechi imechezwa usiku

Mamelodi mjanja mjanja.. anatazama mpinzani wake ubora wake ukoje

Timu zisizo na ubora huwa anacheza nazo jua limeshazama.

Ila timu zenye ubora za kiarabu ila anacheza nazo kwenye jua tena saa tisa mechi ndio inaanza
 
Kwenye hizo kaangalie Mamelodi alicheza kwenye mji gani halafu njoo hapa tena
 
Mamelodi nyumbani kwake ni Pretoria.. ndipo anachezea mechi zake

Pretoria ni mji salama kuliko Johannersburg.

Mechi za Jo burg zinachezwa usiku. Why not pretoria ?

Na kama pretoria sio salama mbona Mamelodi huyo huyo Petro luanda amecheza nae usiku ?

Kwenye kundi lake mamelodi ana mechi na Tp mazembe. Utaona muda atakaocheza na mazembe , utakuwa jua limezama.. huku Waarabu anacheza nao saa tisa mchana
 
Habari wadau. wiki ijayo simba anarudiana na Wydad kwa mkapa.

Ni vizuri mechi hiyo ianze saa tisa jua bado kaii ili iishe saa 11 kasoro jua bado halijazama pia

Hii mbinu anaitumia Mamelodi Sundown anapocheza na waarabu , waarabu hawajazoea kucheza kwenye jua

Kama CAF wanairuhusu Mamelodi kucheza home game zake saa 9 jua kali. na Simba na yeye aruhusiwe
Kutoka kwenye mvua mpaka jua,
 
Un
Mamelodi nyumbani kwake ni Pretoria.. ndipo anachezea mechi zake

Pretoria ni mji salama kuliko Johannersburg.

Mechi za Jo burg zinachezwa usiku. Why not pretoria ?

Na kama pretoria sio salama mbona Mamelodi huyo huyo Petro luanda amecheza nae usiku ?

Kwenye kundi lake mamelodi ana mechi na Tp mazembe. Utaona muda atakaocheza na mazembe , utakuwa jua limezama.. huku Waarabu anacheza nao saa tisa mch

Je usalama ni mechi na waarabu tu ?

Mbona mamelodi huyo huyo akicheza na weusi anacheza usiku.

Mwezi uliopita Mamelodi amecheza na Petro luanda kacheza mechi usiku south

Simba ameenda kucheza na kaizer soweto na mechi imechezwa usiku

Simba kaenda kucheza na orlando soweto mechi imechezwa usiku

Mamelodi mjanja mjanja.. anatazama mpinzani wake ubora wake ukoje

Timu zisizo na ubora huwa anacheza nazo jua limeshazama.

Ila timu zenye ubora za kiarabu ila anacheza nazo kwenye jua tena saa tisa mechi ndio inaanza
Unajua leo Mamelodi kacheza kwenye kiwanja kipi tuanze hapa tuelewane
 
Kacheza kwenye loftus stadium mjini Pretoria

Ndio kiwanja hicho hicho anachocheza na timu za weusi usiku. Ila waarabu ndio anacheza nao saa tisa jua kali

Ndio alicheza na Petro luanda usiku hapo hapo loftus mwezi uliopita
 
Back
Top Bottom