Hapo vipi?
Naomba nichukue fursa hii kuishauri Simba SC iazishe vyombo vyake vya habari kama television na redio...
Sababu
1. Kwanza Simba SC ni timu kubwa namba 1 na bora Tanzania, Afrika Mashariki na kati.
2. Siasa imeingia kwenye mpira hivyo kuna baadhi ya waandishi wa habari makanjanja...