simba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Dube kuomba kuondoka Azam

    Klabu ya Azam imethibitisha kupokea barua ya PRİNCE DUBE akiomba kuondoka kwenye klabu hiyo. Taarifa ya klabu inasema Azam FC wamemjibu na kumwambia anaweza kuondoka ila kwa kufikiwa kwa vipengele vya mkataba, yani kama klabu nyingine au yeye mwenyewe anaweza kuilipa Azam FC pesa waliyoweka...
  2. JamiiForums Tanzania Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba

    Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia Waoka Mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020. Mkataba wa nyota huyo raia wa Zimbabwe aliosaini mwaka 2023 utamuweka klabuni hapo mpaka 2026. Hivyo sasa amebakisha...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Simba kumbe aliwekewa hujuma na timu 4 kubwa Asec, Wydad,. Yanga na Galaxy ili aisipenye robo fainali

    Aisee kweli mpira ni vita sasa ni wazi kumbe Simba alikuwa akipambana na hujuma kali kutoka kwa timu 4 ili asiingie robo fainali. Timu hizo ni Wydad ambaye aliamua kucheza mchezo mchafu na kwenda kuwahonga Asec wamuachie goli ashinde kwa uhakika. Timu nyingine ni Asec ambao walikubali kula...
  4. JamiiForums Tanzania Alex Ngereza: Simba ilikuwa kwenye kundi dhaifu sana

    AKILI ZIMEANZA KUWARUDI " Simba kutinga hatua ya robo fainali imepitia kwenye kundi dhaifu sana. Kundi likiwa na mngonjwa mahututi mmoja ambaye ni Wydad ambaye alikuwa ICU msimu huu kuanzia ligi ya kwao mpaka michuano ya #CAF. Huku akiwa pia na timu ya Asec Mimos timu yenye program ya kukuza...
  5. JamiiForums Tanzania Simba sasa kuamua wa kuambatana naye Robo Fainali ya CAFCL

    Uongozi wa Klabu ya Simba baada ya kuona upweke wa kila msimu kuvuka hatua ya makundi hadi Robo Fainali katika mashindano ya CAFCL na kila mara kuwa timu pekee kutoka Tanzania, umeamua kuanzia msimu huu kuanza kuambatana na timu mojawapo ya ligi ya NBC itakayokidhi vigezo itakavyoweka. Msimu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba?

    Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba? Nyerere - Yanga Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi) Mkapa - ???? Kikwete - Yanga Magufuli - Yanga (kuna siku alifurahi sana kuona Simba kafungwa, aliwapiga Simba kijembe "Kagera sugar wametoboa tundu la Simba" huku...
  7. JamiiForums Tanzania Simba yawaonesha Yanga namna ya kufuzu robo fainali

    Kumtwanga mpinzani goli 6 sifuri hatua ya kufuzu robo fainali sio kazi rahisi hata kidogo, sio madako kwamba kila mtu anayo. Jana nilisema simba linapokuja suala la kufuzu robo fainali klabu bingwa Afrika ni sawa na mmasai kubeba sime na rungu, imekuwa ni kawaida kabisa. Kama sio simba iliyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Kati ya viongozi walioiongoza FAT na leo TFF ni Rais huyu wa sasa ambaye amekuwa akiipambania sana Simba(wana Simba tuna kila sababu ya kumshukuru huyu mwamba). Za ndani kabisa zinaonyesha kuwa mwamba anapambana sana kuiepusha Simba isikutane na Al Ahly au Mamelod, anaipigania timu yetu...
  9. JamiiForums Tanzania Upinzani wa kimpira wa Yanga na Simba ni wenye manufaa na wakuigwa

    Bila kupoteza muda, nazipongeza timu zetu Yanga na Simba kwa kuingia kwenye hatua muhimu ya robo fainali Kimsingi, timu hizi zimeonesha uwezo mkubwa na hayo yote yanachangiwa na upinzani na utani wa jadi uliopo baina ya timu hizi mbili Hakika, kwa sasa hizi ndiyo timu zakuigwa ndani ya Africa...
  10. JamiiForums Tanzania Simba kelele nyingi kumfunga kibonde Jwaneng lakini kumbukeni kundi dhaifu kuliko yote lilikuwa kundi lenu

    Tunaweka kumbukumbu sawa ya kwamba katika makundi yote ya CCL msimu huu kundi lililokuwa dhaifu KULIKO yote ni kundi la Simba, ubora wa timu zilizokuwa kwenye kundi ilo kwa yeyote aliyekuwa anafatilia mechi zao atakuwa shahidi. Asec mimosas kiwango chake kilikuwa Cha kawaida sana lakini ametoa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Rekodi za CAF: Yanga ndio timu iliyofuzu kwa pointi chache zaidi, Simba

    Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13 Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8 Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0 Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

    Sasa Toeni maoni yenu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Quarter final ya Simba ni hatari

    QUARTER FINAL CHOICES ARE SIMBA VS PETRO DE LUADA SIMBA VS AL AHLY SIMBA VS MAMMELODI SUNDOWNS Chama afanye kitu na huku 😅😅 , Kama ni mwamba kweli
  14. L

    JamiiForums Tanzania Simba ibadilike vinginevyo itaweka kambi ya kudumu Robo Fainali

    Nimekwenda uwanjani na nimefurahi tumeingia robo fainali. Lakini kiukwel bado naona kuna mapungufu katika timu yetu. Leo tungecheza na wakubwa kama Al Ahly au Mamelod au Petro au Esperance mambo yangekuwa magumu. Kwanini nasema hivi. Timu bado inafanya sana makosa nyuma, makosa ya dhahiri...
  15. JamiiForums Tanzania Simba SC yaipiku Yanga SC kwa kila kitu CAFCL

    Ama kwà hakika Mpirà ni mchezo wa wazi,hauna longolongo kwà watu wanaoamini Mpirà ni sayansi. Ni wiki sasa tangu ule upande wa MAJINI FC ushinde goli zao nne na kupelekea benchi zima la ufundi likiongozwa na msemaji wao Ally Komwe kuzimia na kulazwa Hospitali ya Mwananyamala 8kutokana na...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Simba yapanda kuwa klabu ya tano kwa ubora Africa michuano ya Caf,

  17. G

    JamiiForums Tanzania Utabiri wangu wa robo fainali. Yanga vs Asec Mimosa, Simba vs Mamelodi, Yanga atatoboa huku Simba ataishia robo.

    Simba kitachomuuma ni kuishia robo huku Yanga ikitoboa mpaka nusu fainali. Simba italaumu sana uongozi
  18. JamiiForums Tanzania Clatous Chama ni mchezaji mzuri. Mimi sipendi aendelee kuwa Simba

    Huyu jamaa, Natamani aondoke Simba. Simpendi kwa kuwa ni mchezaji mzuri. Akiamua huwa anafanya mambo ambayo ni ngumu kuelezea. Ninamwangalia hapa sijui tungempata Yanga huyu ingekuwa moto zaidi. Ni bonge la mchezaji.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Droo Robo Fainali: Yanga vs Mamelodi; Simba vs Al Ahyl

    Mimi ni shabiki wa Yanga na huu ndio utabiri wangu katika droo itayochezwa hivi karibuni katika kupanga mechi za Robo Fainali. Droo ikiwa hivi, basi si Simba wala Yanga ataefuzu. Hata hivyo, ataepangiwa mpinzani tofauto na hao niliowataja, atakuwa na nafasi ya kutinga nusu fainali hasa Yanga...
  20. JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

    [emoji881][emoji881]𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘[emoji881][emoji881] [emoji471] #CAFCL [emoji460]️ Simba SC Vs Jwaneng Galaxy [emoji414] 02.03.2024 [emoji909] Benjamin Mkapa [emoji797] 7:00pm Mungu Ibariki Tanzania!! Mungu ibariki Simbaa #WenyeNchi# Hello [emoji112][emoji112] Tanzania. Timu ya Wenye Nchi, Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…