FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Auto-Marvelt

JF-Expert Member
Jul 13, 2019
727
1,390
πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜
#CAFCL
️ Simba SC Vs Jwaneng Galaxy
02.03.2024
Benjamin Mkapa
7:00pm

Mungu Ibariki Tanzania!!
Mungu ibariki Simbaa
#WenyeNchi#

Hello Tanzania.

Timu ya Wenye Nchi, Simba sports Tanzania hatimaye inaenda kukamilisha hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezo unaanza saa moja kamili usiku masaa ya Afrika mashabiki

Je Simba ataendeleza ubabe wa kandanda safi East Africa?

Je Jwaneng Galaxy atafanya aliyoyafanya 2021?

Nchi ni ile ile, Timu ni zile zile na Uwanja ni ule ule.

Welcome for the show
====== ==

Timu ya Simba inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Jwaneng Galaxy ya Botswana katika mchezo wa mwisho wa Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jijini Dar es Salaam, leo Machi 2, 2024.

Ushindi utaifanya Simba ifuzu kuingia Robo Fainali kwa kufikisha pointi 9 hata kama Wydad itashinda dhidi ya ASEC Mimosas (imeshafuzu) na kufikisha pointi 9 pia, Simba ina faida ya kuwa na magoli mengi katika mechi baina ya timu hizo zilipokutana (head-to-head).

Aidha, Jwaneng nayo ina nafasi ya kufuzu, hilo litawezekana ikitokea imeshinda (itafikisha pointi 7) kisha Wydad ikapoteza.

Pamoja na yote ikumbukwe Jwaneng iliwahi kuiondoa Simba katika Raundi ya Pili ya michuano hiyo Msimu wa 2021/22, mchezo wa kwanza Simba ikishinda 2-0, marudio Galaxy ikashinda 3-1.

=========

Welcome for the show

KIKOSI CHA MNYAMA

simbasctanzania-20240302-0001.jpg


1' mechi imeanza
3' KIBU anashindwa kuwatengenezea wenzake, amepokwa mpira kwenye boksi
6' Chama ananyumbulika sio kitoto, kona ya kwanza
7' GOAL,, Saidoo assist kutoka Kwa mwamba wa Lusaka

Simba anazidisha mashambulizi lango la Jwaneng
12' Jwaneng wanafanya shambulizi, off target
14' GOAL, Jobeee assist ya Saidoo
15' Jobeeee, off target
21' GOAL, Kibu Denis assist ya Chama
26' Jwaneng!!! off target
28' Saidoo Ntibazonkiza yuko chini
34' Jwaneng wanapata free kick, haijazaa matunda
37' Chamaaaa, inagonga nguzo
39' Sesinyii, anakaa vizuri Che Malone
41' Chamaaaa, inagonga post Kwa mara nyingine
41' Chamaaaa, offside
Zimeongezwa dk 3

HALF TIME

Kipindi Cha pili kimeanza
46' Jobeee, offside
48' Saidoo anapiga krosi, inaondolewa na mabeki wa Galaxy
50' Simba anapata kona
56' Rudath (Jwaneng)
57' Chamaaa, off target

65' SIMBA 3: 0 JWANENG
67' Saidoo anachezewa faulo, free kick
68' Jobeee, offside
76' GOAL, Chamaaaa Simba 4: 0 Jwaneng
79' Jobeee, off target
81' Mshambuliaji hatari wa Jwaneng, Thabang Sesinyi anafanyiwa mabadiriko
82' Simba wanafanya mabadiliko
In> Freddy, Miquison & Chasambi
Out> Kibu, Jobe & Saidoo

86' GOAL, Chasambiiiii Wamekula mkono,

87' GOAL, Ngomaaaa chuma Cha sita

Zimeongezwa dk 4

FT Simba 6: 0 Jwaneng
 
Back
Top Bottom