sikukuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waislamu sikukuu ya mwaka mpya sio yenu, mligomea xmas na hii mtuachie wakristo

    Heri ya sikukuu ya mwakampya kwa wakristo wote Waislamu wengi husherehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Kidunia (Januari 1), ingawa sherehe hii si ya kidini kwao. Kwa Waislamu, mwaka mpya huadhimishwa kulingana na kalenda ya Kiislamu (Hijria), ambapo mwaka mpya wa Kiislamu huangukia katika mwezi wa...
  2. RTO WETU .TUSAMBAZE NA MATRAFFIK LEO SIKUKUU KUNA MENGI SANA MTAKUTANA NAYO KESHO MNGEWEZA KUWATHIBITI

    HESHIMA kwako RTO wangu Nianze kukutakia hero ya MWAKA mpya na kikosi kizima cha barabaran Nisichukue mdawako sana naomba mh traffick wasilale mpaka saa saba wawe barabaran KUNA matukio siku ya leoo MKIWEZA kuthibiti HATA ajali zitapungua keshoooo Mungu awabariki
  3. N

    *Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) na Msimu wa Sikukuu*

    Magonjwa Yasiyoambukiza (NCDs) na Msimu wa Sikukuu Vidokezo vya Ulaji Bora. Utangulizi Tunaelewa kuwa msimu wa sikukuu unaweza kuwa changamoto kwa wale wanaoshughulikia magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama vile kisukari, magonjwa ya moyo, au shinikizo la damu. Vyakula vya sherehe mara nyingi...
  4. K

    TCRA pigeni faini Mpesa na Airtel kwa kushindwa kutoa huduma kwa wateja tangua juzi. Wananchi wanashindwa kuburudika na sikukuu

    Wadau mitandao ya Airtel na Voda ina sumbua wateja sababu haiwezi kupokea pesa kutika Bank nk au kutuma pesa Matokeo yake wananchi wanakula sikukuu kwa shida. TCRA piga fain au fungueni Hawa jamaa kwa siku tatu Hadi waingeze ubora na umakini. Vitendo wanavyofanya wanmzarau Rais Samia?.Mbona...
  5. Namna ya kujaza akaunti ya malipo ya wateja Fiverr

    Heri ya Christmas na Mwaka Mpya. Wataalamu, naombeni ushauri namna ya kujaza njia ya malipo kwa ajili ya wateja Fiverr kwa Tanzania. Maana kuna gig nilipost juzi na nikaanza kupata maoni ya wateja wakitaka kuweka oda, sasa mmoja alisema njia ya malipo sijaweka, na mwingine alisema alihitajika...
  6. G

    Ni ujinga kunywa bia kwa fujo na kupiga misele kwa gari msimu huu wa sikukuu. Halafu January unauza hiyo gari kwa bei ya kutupwa ili ulipe kodi/ada.

    Maandalizi ya kuufanya mwezi January kuwa mwezi dume, yanafanyika msimu huu wa sikukuu. Watu wanaponda mali kana kwamba wanakufa kesho ama wameagana kabisa na shida za dunia. January inapofika inawakuta watu hao wako hoi bin taabani kiuchumi. Wataanza kuhaha kuuza hata kile kidogo...
  7. Wakubwa tukutane hapa mida yetu ya kula sikukuu ikifika.

    Niko hapa nina mialiko minne ya sikukuu na bado sijarudi mkoani kwa mama yoyoo. Sitaki kuwakera maboss zangu walionialika kwa hio nimejigawa, jana usiku nimekesha kwa mmojawapo. Leo saa nne nmeenda kula supu ya jogoo shababi kwenye mwaliko wa pili, hapa naelekea kwenye mualiko wa tatu nikaguse...
  8. Mnikulu, hivi kale ka utaratibu ka kutoa mbuzi na mahitaji kwa vituo vya watu wenye mahitaji maalum wakati wa sikukuu umekasahau?

    Ilikuwa ni kama utamaduni wa jumba jeupe kufanya hivyo kwa mahospitali, vituo via yatima au wazee. Labda mnikulu yuko bize, amesahau kufanya hivyo krismas hii
  9. Mikate imeadimika kabisa huko Kilimanjaro. Sababu wingi wa watu walioenda kusherekea Krismasi na Mwaka mpya

    Hii sasa ni balaa! Mkate umekuwa dili huko Kilimanjaro ================= Kufuatia wingi wa watu waliokuja kusherehekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya mkoani Kilimanjaro, bidhaa aina ya mkate imeadimika katika maduka makubwa (supermarkets) mjini Moshi na kusababisha adha kwa watumiaji wa...
  10. Mtazamo wangu: Sikukuu ya Krismass ni sikukuu ya kawaida ya kijadi ya wazungu kama zilivyo sikukuu zetu za mavuno vijijini

    Sikukuu hii imekuwepo kabla ya kuhusishwa na Ukristo. Inasemekana ili ukristo ujivunie waumini ilibidi waiingize kwenye dini na kuihusisha na Yesu. Matokeo yake wazungu wengi wasio na dini walivutwa. Mimi ni mkristo, ila siichukulii siriasi licha ya huhusiswa na Yesu. Naichukulia kama Zile...
  11. Mkuu wa Polisi Songwe: Hakuna kupiga fataki katika sikukuu za mwisho wa mwaka bila kibali

    Wakuu, Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limepiga marufuku wananchi kulipua vilipuzi (fataki) bila kuwa na kibali cha Jeshi la Polisi katika Sikukuu Za Krismasi na Mwaka Mpya. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe Kamshina Mwandamizi Msaidizi wa Polisi Augustino Senga amesema Jeshi la...
  12. K

    Mambo kwa ushahidi: Nimeshampa baby wangu Anita hela ya sikukuu

    Ni Mimi David Omujuni rekwanzila mjukuu wa kanyaitodi Tukogee ebu hatari ola ita NIWATAKIE CHRISTMAS NJEMA AND HAPPY NEW YEAR
  13. Syria yatangaza Krismasi kuwa Sikukuu ya umma

    Serikali mpya ya Syria imetangaza Krismasi kuwa sikukuu ya umma. Ofisi za Serikali zitafungwa tarehe 25 na 26 Desemba ya kila mwaka. Cc. Ritz Cc. FaizaFoxy https://x.com/visegrad24/status/1871516597107736691?t=-uBxA8srUJ7bZ61coYFMSg&s=08
  14. SPECIAL THREAD: Heri Ya Sikukuu ya Christmas 2024 Na Mwaka Mpya 2025.

    Welcome On board... Nawatakia wadau wote wa JamiiForum, wakiwemo members na non members na Uongozi mzima Wa JF, ukiongozwa na Director Maxence Melo, heri ya sikukuu ya Christmas 2024 na mwaka mpya 2025. Bwana Yesu amezaliwa kwa ajili yetu, basi tuende tukahubiri upendo na amani, kwetu na kwa...
  15. Wanyakyusa: Mbadilike na nyie muwe mnaenda kwenu wakati wa sikukuu za mwisho wa mwaka. Kwenu mbona kuzuri kama Moshi tu au mlifukuzwa?

    Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah. Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
  16. Mambo ya kuzingatia kwa wanaoenda kusalimia ndugu mikoani nyakati hizi za Sikukuu

    Katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka kama ilivyokuwa desturi ya Watanzania wengi kwenda kusalimia ndugu na jamaa mikoani. Inawapasa kufahamu mambo gani ya kuzingatia zaidi katika safari zako za kwenda kusalimia. 1. Tengeneza bajeti ya safari ikijumuisha gharama za usafiri, chakula, zawadi...
  17. B

    Tunapoelekea msimu wa sikukuu, tuma hela ya Kusuka, hela ya nguo, hela ya viatu lakini usimsahau Mama yako na Baba yako.

    Ewe kijana jitathimini sasa. Mpaka sasa umeshamtumia pesa ya kusuka, pesa ya viatu na mmeshapanga sehemunya kukutana kula bata. Mpak muda huu Atm ishaumia mara kadhaa kqa ajili ya kumnunulia pamba za sikukuu. Je umejiuliza mpaka muda huu umemtumia Baba yako na Mama yako kiasi gani? Panga...
  18. Nina safari ya Singida kabla ya sikukuu, mwenye gari tuungane

    Habari mwenye anasafiri Singida anipe lift booking zinasumbua sana Asante
  19. Latra fwatilien nauli zimepanda gafla na mnajua hili..shida sikukuu ama someni mwananchi la leo

    Ntashangaa kusikia tkt za kulanguliwa hazipo Dec Hii n miradi mirefu sana KUNA jamaa huwa ananunua HATA tkt 30 Dec analangua na ana madalali kabisa ukienda kwenye basi wanakwambia limejaa Basii halijajaaaa kinachofanyika Wana mtu special ana tkt zao ndio maana wakikwambia tkt zimeisha ama...
  20. R

    Swali: Mbinguni Kuna sikukuu ya Christmas 25 December?

    Salaam, Shalom! Msingi wa SWALI LANGU upo katika Sala Aliyotufumdisha Yesu sisi wanafunzi wake kusali Kwa hiyo, kwamba; (Mathayo 6:10) "Mapenzi Yako yatimizwe, hapa duniani kama ilivyo Mbinguni " Swali no 1. Kusherehekea Christmas tarehe 25 December ni mapenzi ya Mungu aliye Mbinguni? Swali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…